Kwa uchapakazi huu wa Rais Samia, CHADEMA tujipange sana 2025, tunaweza kukosa hata Mbunge mmoja

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,486
20,437
Muonekano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato utakavyokuwa mara baada ya ujenzi wake kukamilika kwa awamu ya kwanza inayohusisha barabara za kuruka na kutua ndege pamoja na jengo la abiria.

Mkataba kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja hicho unagharimu takriban shilingi bilioni 165 za kitanzania na unatekelezwa na kampuni tatu kutoka China ambazo ni Sinohydro Coorporation limited, M/s Beijing Sino-Aero Construction Engineering Co. Limited pamoja na M/s China Jiangxi International Economic and Technical Cooperation Co. Ltd ambapo unatarajiwa kukamilika ndani ya kipindi cha miezi 36 kutoka sasa.

 
Hicho kiwanja wale wagogo wa chamwino ambao hata mlo mmoja ni shida na wao watapanda ndege??

Utopolo
 
Kumbuka Katavi hawana madarasa na nilikuwa nasoma document moja nimetumiwa na inner core ya magogoni kwamba nchi inapumulia pabaya no money πŸ’° nchi nane zimepunguza misaada Kwa asilimia 25!!

nchi zinazotukopeshaga bado hazijaridhika na mwenendo wa tawala hii Kama inatekeleza haki za binadamu sawa sawa Pia na kujua jinsi wanavyoyalinda maisha ya binadamu wake,

in few weeks to come china naye Ana tamko
 
Kwa namna hii JPM Asingefikisha 5 years
 
Hamtarudia hilo kosa. Wenyewe mmeona changamoto za bunge lenu wenyewe.

Amandla...
 
Wanajengewa wabunge hao wagogo jukumu lao ni kukatwa tozo.
Waje Dar kuombaomba maana naona ndio wamebakia kufanya hiyo ndio economic activity yao na ni kama hata viongozi wao hawana mpango wa kuwapa mbadala.
 
Waje Dar kuombaomba maana naona ndio wamebakia kufanya hiyo ndio economic activity yao na ni kama hata viongozi wao hawana mpango wa kuwapa mbadala.
Huyo anae wawakilisha bungeni aliupiga mwingi mpaka kuwa mgonjwa ghali zaidi Afrika.
 
Ukisikia: "kwa mambo haya ya Mama" unaweza kufikiri kuwa siyo mwizi wa kura!🚢🚢🚢 Propaganda bhana!😁😁😁
 
Tume ikiwa huru mtapata wabunge wengi sana tu. Wananchi wanachukia tozo kuliko wanavyopenda Kiwanja cha ndege, si umeona Chato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…