Kwa nini wanaume....................??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini wanaume....................???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by St. Paka Mweusi, Feb 1, 2011.

 1. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  KWA NINI WANAUME/AKINA BABA WENGI WANAFIKIRI WAO NDIO WAAMUZI/WAFALME WA NYUMBA?  Suala hili limekuwa likinikera sana akilini mwangu kwa miaka mingi. Ya kwamba akina baba/wanaume wao wanafikiri kazi yao kubwa katika nyumba ni kuwa MUME/BABA basi. Mara nyingi utasikia wanasema mimi ndio mkubwa wa nyumba. Na kama wanafanya kazi za ofisini basi ndo itakuwa kero mno. Kwani hapa atataka anaporudi toka kazini akute chakula mezani, maji ya kuoga bafuni tena ya moto, nguo zmepigwa pasi n.k. Na kinyume kama hana kazi basi atakuwa anashinda kilabuni(UGIMBI) na akirudi toka huko basi ni kelele tu, hakuna amani wala maelewano

  Bado naendelea, kuna wengine wanaona kupika, kulea watoto, kutafuta chakula ni kazi ya wanawake. Yaani hawawezi hata kujipikia chai kwa vile wao ni wanaume au hata kumbadili mtoto nepi, Mtoto amabaye ni wake. Kikubwa wanachofanya ni kukaa kitini/sofani na kuletewa kile wanachotaka. Wanasahau kabisha jambo la USAWA.

  Bado wanaishi dunia ya mababu, mababu na mababuzi. Tuache UBINAFSI tuishi kwa kushirikiana/kusaidiana kwani wote ni SAWA. Nasema tena tuishi kwa kusaidiana hapo wote tutafurahia maisha. Tuache mambo ya UTUMWA

  Na: Yasinta Ngonyani
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Wewe ni jinsia gani?

  Mbona siku hizi wanaume tunafanya mengi mno zaidi ya hayo....?

  Mimi wife huwa nampelekea chai kwenye kitanda.....na kumfanyia massage juu...
   
 3. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  mkuu hawa viumbe hawaeleweki, unaweza ukawapa hiyo kampani wakakupakazia *b*w*e*g*e! mimi nazani hawa wadada wenyewe wa kibongo wana mentaliti hiyo hiyo ambayo unaidefend.
   
 4. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wa kunyumba habari za leleno??? Uyumuike?? Pali pali penyewe hapo. Umeongea pointi sana wakunyumba.
  Hawa wanaume bwana ukimwambia na wewe leo nipikie chai mungu wangu utatimuliwa kama kuku wa kienyeji
  Eti oohhh umeanza dharau wewe eehhhh
  Bwana wewe ukiongoea sana unapewa mistari ya Bibilia (Mungu alimuumba Adamu akapewa msaidizi wake Hawa tena toka kwenye ubavu wake) mwenyewe unanyamaza
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mimi mwenyewe nashangaa.
  Wanaume mnataka kufanyiwa kila kitu.
   
 6. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Mnajishtukiaga tu kuwa mtaonekana mmewekwa kwenye kiganja cha mkono..Kusaidiana na partner wako siyo jambo baya wala jipya duniani..
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kila kitu?????
  Tunawalipa mahari,,,
  tunagharamia nyumba,
  kula,kuvaa,
  na mahitaji yote karibu,
  wewe kupika na kupiga pasi unaona kazi?

  Mbona wanaume wakupika na kufanya kazi za ndani wapo wengi,
  kwanini msiende kwa hao?mfano wanaume wa commoro....
   
 8. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  ukisaidia sana mpaka ukacross border hata yeye pia atakuzarau kuna majukumu yako feminine zaidi. najua hapa mnafurahisha tu lakini mnajielewa BJ bana. eniwei mbona ulipoteaga sana? au JF mpya hatuonani?
   
 9. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Hapo sasa mkuu, sijui tuwafanyie nini hawa wapinzani wetu...........
   
 10. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  sio kila kitu bana, lakini acheni mwanaume aitwe mwanaume. kuna majukumu mwanaume akifanya haipendezi labda asaidie siku moja moja tu kwa zarura
   
 11. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  tuwasaidie lakini kwa tahazari na mipaka. kuna rafiki angu mmoja hapa anamfanyia waifu wake kila kitu , yaani anajitahidi kweli in the name of love lakini mdada anawaambia washkaji nje eti mume wake anafanya yote yale kwa sababu anajua akimpoteza yeye hawezi kupata mrembo mwengine kma yeye dah! jamaa mpaka sasa hajaskia hizo taarifa lakini namuoneaga huruma kweli aisee
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Wapo wanaume wa kicongo
  wao wanaweza mpaka kuwapaka lips stick...
  Wanafua na kupiga pasi nguo za ndani za wake zao...
  Ili mradi mwanamke awe na pesa..
  Sasa si muende kwa hao muache kulalamika humu....
   
 13. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Napata wasiwasi na wewe!!
   
 14. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Basi msaidie kwa kiasi ambacho mnakipima nyie wenyewe. Mie kweli naomba nipate mtu tusaidie na akikubaliana kuwa hiyo iwe katiba ya mji wetu basi hatutajali jamii inahisi vipi ni kuheshimiana na kushirikiana...Hebu msaidie mamaa na wewe!!
  Nipo klorokwin, majukumu yalitinga pia likizo ya mwisho wa mwaka ilichangia mana mikiki mingi. Nimerejea na JF naona imetulia!!
   
 15. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ndo maana mimi kwa kulitambua suala hili la usawa nilitoa vigezo hakuna aliyeni-PM.......mimi shurti upike,upasi,ufanye usafi,uende sokoni,uogeshe watoto,ukawachukue shule etc......nikiwa na maana hayo ni majukumu yetu wote.....wewe ukitaka kutoka kazini uweke miguu kwa kiti,unadai kahawa sijui bites za kusubiria mlo wa jioni,utaumia....nasi tunafanya kazi na tunachoka....tusaidiane.......kuna ubaya gani kuwa ***** kwa mkeo.....si ndo mapenzi kusaidiana,nyie mwataka hadi mkimaliza tendo na kufutwa mfutwe....haloooooooooooo:laugh::laugh:
   
 16. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Nadhani huyu Yasinta Ngonyani, ameandika hii habari 30 years late...., hii ingebidi aitoe kwenye 70s au 80s, hata 90s angekuwa amechelewa.., she is living in the past
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  honestly hili la kufutwa sikuwahi kuli demand...
  sasa nitaanza kuli demand.kumbe tunahaki nyingi hivi?zingine sizijui lol
   
 18. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mna haki nyingi sana......yaani mno......hadi zimewazidi..........:laugh::laugh:
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  sasa kama wewe mwenewe unakubali ni haki zetu,why complain?
  kwa nini usiwe mpole na kuzitoa tu taratibu?
   
 20. tama

  tama JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 604
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tusaidieni kwa kipimo,au unapanga ratiba ya kumsaidia mkeo.
   
Loading...