Wanaume, utapata mke anaye reflect jinsi ulivyo

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
11,247
Reaction score
22,335
According to the laws of attraction, we are what we think.

Sio hapo tu, we subconsciously become who we believe to be so. Wengi tunaishi maisha tusiyo yataka kwasababu that's what we resist consciously but believe subconsciously.

Maskini ni maskini kwa sababu anabelieve kuwa yeye ni maskini at his or her core. Ukizaliwa mazingira yenye umaskini kuna likelihood kubwa ya wewe kuwa maskini kwa sababu Uta adapt tabia za kimaskini.

Na kama tujuavyo behavior are built by repetition and not intelligence thus, hata usome vipi bado kuna zile elements mama ambazo zitatawala maisha yako bila ya wewe kujua na Uta attract people, places and things ambazo zita reflect core beliefs zako ambazo ziko embedded in the subconscious mind.

OK, hiyo ilikuwa intro, Twende kwenye mada.

Kumekuwa na kasumba kubwa sana ya watu hasa wanaume kulia lia baada ya kupigwa matukio na we za wao. Unakuta mwanaume anasema alidhani kapata kumbe alipatikana. Ya kuwa mwanamke aliyedhani anafaa kamcheat, au kabadilika na kuwa toxic.

Niwaambie tu, ukweli ya kuwa the universe gives what you deserve and not what you want. If you're a cheater utachapiwa pia...

Ukiangalia hata kwenye jamii watu wenye wake walotulia ni wale ambao na wao wametulia. Huwezi kuta mke wa mtu anayejielewa anaruka ruka mtaani. Ni nadra sana na hata ikitokea sio coincidence. Kuna namna tu huyo jamaa ana act kinamna fulani ila Kuna vitu vya ovyo anafanya.

If you really want a faithful and loyal partner inabidi ianzie kwako.

Are you seeing yourself as loyal to yourself first? Do you live your words?

The energy never lies.

angalieni couples maarufu duniani ambazo zime sustain! Unakuta kabisa mwanaume ambaye ndo leader anakuwa mtu asiye na drama. Kama ni mwajiriwa kazini hana mazoea ya kidwanzi, ni mtu anayemwongelea mke wake na familia yake. Ni mtu asiyependa kujumuika na wanaume wapenda chini anaweza kuwa mtu wa starehe ila ni kheri akaifanya na familia yake kuliko mashangingi ya town.

Na hii sio kwamba yeye ni mtakatifu, ila amekuwa kifikra kutambua kuwa starehe iliyo bora na yenye manufaa both kwa ajili ya well being and progress kimaisha ni ile itokayo kwa familia sio watu baki wenye msalaba yao pia.

Hivyo basi wanaume inabidi tuanze sisi wenyewe kujitathmini na kuishi maisha tupendayo we zi wetu wayaishi. Lasivyo vilio na matukio yatabaki kuwa constant.

Ni hayo tu,
Morning wisdom... Day one1
 
Haiko hivi. Maisha hayana mtindo mmoja au kanuni maalumu ya mafanikio au kushindwaa.

Tumeshuhudia Mume malaya wakati mke Ametulia.
Tumeshuhudia Mume mlevi wakat mke hanywi bia.
Tumeshuhudia mume Mgomvi/ana gubu nk wakat mke ni mtu mwema.

Kwenye Process ya Maisha kuna mabadiliko, kutabirika , bahat mbaya au nzuri, kuvumilia au kukata tamaa nk ambayo yanashape Maisha yetu ya Kila siku.

Turudi kwenye Suala la Maisha ya Ndoa na Mahusiano, mnaweza mkaanza vizur na mkaishia kubaya au kuanza vibaya na kuishia kuzuri.

Hakunaga Formula sahihi.
Kwamba ukiifuata bas utakuwa na chance 100% ya kufanikiwa.

Tuombe Kudra.
 
Ni kweli ila wengi huangalia vitu juu juu tu na hapo ndo wanamiss deeper aspects.
Tumeshuhudia Mume malaya wakati mke Ametulia.
Tumeshuhudia Mume mlevi wakat mke hanywi bia.
Tumeshuhudia mume Mgomvi/ana gubu nk wakat mke ni mtu mwema.
Ni kweli ila ni rare cases. Na inatokea pale mtu anapokuwa attracted na shadow aspects zake. Kuna watu wamelelewa na wazazi walevi na huattract wapenzi wenye traits hizo hizo. Au hujui kuhusu trauma bonds?
Turudi kwenye Suala la Maisha ya Ndoa na Mahusiano, mnaweza mkaanza vizur na mkaishia kubaya au kuanza vibaya na kuishia kuzuri.

Hakunaga Formula sahihi.
Kwamba ukiifuata bas utakuwa na chance 100% ya kufanikiwa.

Tuombe Kudra.
Ni sahihi ila a huge probability ni wewe. Mwenyewe kuishi maisha utakayo mwenza wako ayaishi.

Kudra inaanzia kwako.
 
Haiko hivi. Maisha hayana mtindo mmoja au kanuni maalumu ya mafanikio au kushindwaa.

Tumeshuhudia Mume malaya wakati mke Ametulia.
Tumeshuhudia Mume mlevi wakat mke hanywi bia.
Tumeshuhudia mume Mgomvi/ana gubu nk wakat mke ni mtu mwema.

Kwenye Process ya Maisha kuna mabadiliko, kutabirika , bahat mbaya au nzuri, kuvumilia au kukata tamaa nk ambayo yanashape Maisha yetu ya Kila siku.

Turudi kwenye Suala la Maisha ya Ndoa na Mahusiano, mnaweza mkaanza vizur na mkaishia kubaya au kuanza vibaya na kuishia kuzuri.

Hakunaga Formula sahihi.
Kwamba ukiifuata bas utakuwa na chance 100% ya kufanikiwa.

Tuombe Kudra.
Lbd upo sahihi
 
According to the laws of attraction, we are what we think.

Sio hapo tu, we subconsciously become who we believe to be so. Wengi tunaishi maisha tusiyo yataka kwasababu that's what we resist consciously but believe subconsciously.

Maskini ni maskini kwa sababu anabelieve kuwa yeye ni maskini at his or her core. Ukizaliwa mazingira yenye umaskini kuna likelihood kubwa ya wewe kuwa maskini kwa sababu Uta adapt tabia za kimaskini.

Na kama tujuavyo behavior are built by repetition and not intelligence thus, hata usome vipi bado kuna zile elements mama ambazo zitatawala maisha yako bila ya wewe kujua na Uta attract people, places and things ambazo zita reflect core beliefs zako ambazo ziko embedded in the subconscious mind.

OK, hiyo ilikuwa intro, Twende kwenye mada.

Kumbe kuwa na kasumba kubwa sana ya watu hasa wanaume kulia lia baada ya kupigwa matukio na we za wao. Unakuta mwanaume anasema alidhani kapata kumbe alipatikana. Ya kuwa mwanamke aliyedhani anafaa kamcheat, au kabadilika na kuwa toxic.

Niwaambie tu, ukweli ya kuwa the universe gives what you deserve and not what you want. If you're a cheater utachapiwa pia...

Ukiangalia hata kwenye jamii watu wenye wake walo tulia ni wale ambao na wao wametulia. Huwezi kuta mke wa mtu anayejielewa anaruka ruka mtaani. Ni nadra sana na hata ikitokea sio coincidence. Kuna namna tu huyo jamaa ana act kinamna fulani ila Kuna vitu vya ovyo anafanya.

If you really want a faithful and loyal partner inabidi ianzie kwako.

Are you seeing yourself as loyal to yourself first? Do you live your words?

The energy never lies.

Sangalieni couples maarufu duniani ambazo zime sustain! Unakuta kabisa mwanaume ambaye ndo leader anakuwa mtu asiye na drama. Kama ni mwajiriwa kazini hana mazoea ya kidwanzi, ni mtu anayemwongelea mke wake na familia yake. Ni mtu asiyependa kujumuika na wanaume wapenda chini anaweza kuwa mtu wa starehe ila ni kheri akaifanya na familia yake kuliko mashangingi ya town.

Na hii sio kwamba yeye ni mtakatifu, ila amekuwa kifikra kutambua kuwa starehe iliyo bora na yenye manufaa both kwa ajili ya well being and progress kimaisha ni ile itokayo kwa familia sio watu baki wenye msalaba yao pia.

Hivyo basi wanaume inabidi tuanze sisi wenyewe kujitathmini na kuishi maisha tupendayo we zi wetu wayaishi. Lasivyo vilio na matukio yatabaki kuwa constant.

Ni hayo tu,
Morning wisdom... Day one1
Nunao watu ladhaa ninaowafahamu mahusiano yao yanakinzana na ulichoandika.
 
Haiko hivyo mkuu
Kwa nini? Mbona kila kitu kiko proved psychologically?
Wengi hudhani inatokea kwa bahati eti mtu ndivyo alivyo ila Ukija kuangalia deeply we attract people fitting our core beliefs
 
Wanaume vicheche wanaoa wanawake watulivu, ukikuta mwanamke mcharuko mumewe huwa ni mpole sana,

Ingekuwa hivyo unavyosema kesi za ndoa zisingekuwa nyingi, kicheche aoe malaya, mwanaume mkali aoe mwanamke mkali nyumba isingekalika
 
Haiko hivi. Maisha hayana mtindo mmoja au kanuni maalumu ya mafanikio au kushindwaa.

Tumeshuhudia Mume malaya wakati mke Ametulia.
Tumeshuhudia Mume mlevi wakat mke hanywi bia.
Tumeshuhudia mume Mgomvi/ana gubu nk wakat mke ni mtu mwema.

Kwenye Process ya Maisha kuna mabadiliko, kutabirika , bahat mbaya au nzuri, kuvumilia au kukata tamaa nk ambayo yanashape Maisha yetu ya Kila siku.

Turudi kwenye Suala la Maisha ya Ndoa na Mahusiano, mnaweza mkaanza vizur na mkaishia kubaya au kuanza vibaya na kuishia kuzuri.

Hakunaga Formula sahihi.
Kwamba ukiifuata bas utakuwa na chance 100% ya kufanikiwa.

Tuombe Kudra.
Uzi ufungwe hapa..watu siku izi kila mtu anakuja na philosophy zake aisee.yani kila mtu siku izi ni motiveshino speeker.akishashiba ugali anaona sasa atoe ushauri kwa watu.
Tumechoka kusikia ushauri kila mtu afanye analoona ni sahihi kwake .
Kwanza hapa duniani ni mara yetu ya kwanza kuishi..
 
Back
Top Bottom