Aisee we paka kidogo unikwaze katika hii thread yako.
Kumbe anayelalamika ni Yasinta Ngonyani!
Mwambie akome kuolewa na mgambo wa Kikurya!
its crazy kusika mtu anataka mwanaume afanye vitu ambavyo systematically are for women.....
Wanawake wa siku hizi wanachanganyikiwa na ndio maana ndoa hazidumu. Vikazi vidogo mnalalamika. Mfano mwanaume atajenga nyumba, atamvisha mke na watoto, bill za maji, umeme, na matumizi mengine lazima achape kazi ili kukidhi matumizi hayo. Bado mke anaishi raha mustarehe then anaona kupika ni issue kubwa? Kumfulia mmeo nguo unaona kero? Mbona yeye hakuona kero kukununulia nguo? Wanawake na wanaumbe hata siku moja hawawezi kua sawa, hata vitabu vya dini vinaelekeza hivyo.Kama wote mnafanya kazi basi ajirini mtumishi wa Ndani. Mbona kazi tunazofanya wanaume hatulalamiki? Mwanamke akishajiona amesoma kidogo basi taabu tupu, majukumu ya mke kwa mme na mme kwa mke yako pale pale.
KWA NINI WANAUME/AKINA BABA WENGI WANAFIKIRI WAO NDIO WAAMUZI/WAFALME WA NYUMBA?
Suala hili limekuwa likinikera sana akilini mwangu kwa miaka mingi. Ya kwamba akina baba/wanaume wao wanafikiri kazi yao kubwa katika nyumba ni kuwa MUME/BABA basi. Mara nyingi utasikia wanasema mimi ndio mkubwa wa nyumba. Na kama wanafanya kazi za ofisini basi ndo itakuwa kero mno. Kwani hapa atataka anaporudi toka kazini akute chakula mezani, maji ya kuoga bafuni tena ya moto, nguo zmepigwa pasi n.k. Na kinyume kama hana kazi basi atakuwa anashinda kilabuni(UGIMBI) na akirudi toka huko basi ni kelele tu, hakuna amani wala maelewano
Bado naendelea, kuna wengine wanaona kupika, kulea watoto, kutafuta chakula ni kazi ya wanawake. Yaani hawawezi hata kujipikia chai kwa vile wao ni wanaume au hata kumbadili mtoto nepi, Mtoto amabaye ni wake. Kikubwa wanachofanya ni kukaa kitini/sofani na kuletewa kile wanachotaka. Wanasahau kabisha jambo la USAWA.
Bado wanaishi dunia ya mababu, mababu na mababuzi. Tuache UBINAFSI tuishi kwa kushirikiana/kusaidiana kwani wote ni SAWA. Nasema tena tuishi kwa kusaidiana hapo wote tutafurahia maisha. Tuache mambo ya UTUMWA
Na: Yasinta Ngonyani
Wapo wanaume wa kicongo
wao wanaweza mpaka kuwapaka lips stick...
Wanafua na kupiga pasi nguo za ndani za wake zao...
Ili mradi mwanamke awe na pesa..
Sasa si muende kwa hao muache kulalamika humu....[/QUOkuna wanaume wengine we The boss hawezi hata kumuurumia mke wake huruma utafikiri anambebesha punda mizigo eti kisa mahali manazo zitoa hiyo sio inshu bwana hulazimishwi kufanya kazi ila sometime unaweza kusaidia
kwani kutoa mahari ndio iwe sababu ya nyie kututumikisha hivyo?
Basi tutaanza kutoa sisi mahari.
umewahi kujiuliza kwanini matiti yamewekwa kwa mama na sio kwa baba?