Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,631
- 3,543
wakiniban nani atakugongea senks unazani?
mmmhhhh kweli,manake Hashy alikuwa ananigongea siku hizi hamna kitu......mkishapataga mnachotaka kwani mna maana tena???
miss you Marytina baby!!!!
wakiniban nani atakugongea senks unazani?
punguza hasira basi. nina ka mkopo ka benki natafta mwenzangu tukamalize ujue.baki huko huko, huku utatumalizia upepo.
Lol!
Halafu leo unatukandamiza.
Hufai kuwa mtetezi wetu tena.
unataka ninyima nini?......l.o.l
kamanda mistari ikiisha nishtue nikandamize na ya kwangu. nikiamua kuhubiri nyote mtatubu zambi zenu hapa. kulaleki!unataka ninyima nini?......l.o.l
a new tactic....its working i can see......lol
hapo red kama sjaelewa hivi? dah! hashy! why hashy?mmmhhhh kweli,manake Hashy alikuwa ananigongea siku hizi hamna kitu......mkishapataga mnachotaka kwani mna maana tena???
miss you Marytina baby!!!!
punguza hasira basi. nina ka mkopo ka benki natafta mwenzangu tukamalize ujue.
kamanda mistari ikiisha nishtue nikandamize na ya kwangu. nikiamua kuhubiri nyote mtatubu zambi zenu hapa. kulaleki!
mmmhhhh kweli,manake Hashy alikuwa ananigongea siku hizi hamna kitu......mkishapataga mnachotaka kwani mna maana tena???
miss you Marytina baby!!!!
Sisi kwetu tofauti mke anakuwa na kazi moja tu...........
unataka ninyima nini?......l.o.l
ahhahhaaaa.....mie mmasai bana!
Hapo sasa mkuu, sijui tuwafanyie nini hawa wapinzani wetu...........
Niliwahi kusikia wanaume ni kama watoto, eti hawakui,
Hata kama alikuwa anajitaidi kujipikia, kujifulia, na kujipigia pasi, kabla hajaoa,
Akishaoa anasahau yote, anarudia hali yake ya utoto, kufuliwa, kupikiwa, kutengewa chakula,
kuandaliwa nguo ya kuvaa achilia mbali kupiga pasi.
Wakati mwingine mpaka akumbushwe kula, akila ataulizwa kama ameshiba,
maji ya kuoga anatengewa, viatu, soksi anasafishiwa, hata kuchana nywele wakati mwingine lazima akumbushwe,
Sijui kama ni kweli lakini kwa mantiki hiyo, inabidi tujifunze kuishi na na ninyi hivo hivo mlivyo.
[/COLOR]
loved the way you finish it...
Thanks hc, sometimes hatuna haja ya kushindana sana na ninyi kina baba bwana, manake mi naona
mlishaumbwa hivyo, Tangu mwanzo Mungu alimwambia Eva mwanaume atakutawala na Tamaa yake itakuwa juu yako,
Tujifunze kuikubali hiyo, ukifanya hayo kwa mapenzi ni vizuri pia, lakini ukweli upo pale pale.
Mwanaume ni Mwanaume tu.