Kwa mtizamo wa Malasusa hata Serikali ikiua RAIA wake hawezi kukemea kwa sababu hajalelewa hivyo; alikaa kimya wakati wa JPM hata sasa aendelee

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Unapokuwa na kiongozi wa kidini asiyejali malengo ya Mungu kuwaleta wanadamu Duniani ni hasara kwa kanisa.

Ukimsikiliza Askofu Malasusa na ukifuatilia namna ambavyo amekuwa akitekeleza majukumu yake utabaini wazi kwamba siyo kiongozi wa kidini bali ni mtu aliyekaa kwenye dini kama Sehemu yake ya ajira.

Simfahamu vizuri lakini anaonekana ni kama alikuwa mchungaji kwa sababu tu amezaliwa kwenye familia ya mzee wa kanisa au amezaliwa na wazazi ambao ni viongozi wa kiroho. In short upo uwezekano ametoka familia ya kurithishana kazi kwamba baba alikuwa askari na mtoto askari au baba alikuwa mchungaji na mtoto mchungaji.

Ni kiongozi asiye vaa machungu ya waumini wake, ni kiongozi ambaye kwake fedha na mali za dunia ndiyo kipaombele lakini siyo njia za Mungu.

Nayasema haya kutokana na namna ambavyo amekuwa akishiriki meza za wasio na haki. Alishiriki meza ya viongozi wa dini walioitwa kamati ya amani ya Dar es salaam. Hakuna siku amewahi kutamka chochote pale watu walipopotea au kulipoibuka kundi la wasiojulikana. Leo ndiye askofu wa kanisa.

Kiongozi wa dini unawezaje kusema kwamba ujakuzwa kukosoa au kukemea maovu ya serikali? Kwamba serikali inaundwa na Mungu? Kwanini serikali hiyo hiyo imeweka sheria za kuadhibu wanaokosea? Misalaba na madhabahu hazijawahi kumwacha kiongozi mnafiki salama......endeleeni kutumia madhabau kama Sehemu yakuendesha matashi yenu mtakuja kukutana na adhabu hapa hapa Duniani. Mpasuko
 
Malasusa you are stupid, narudia tena , wewe ni shetani. Kama serikali haitendi haki hupashwi kusema/kukemea? Mpuuzi mkubwa sana wewe. Stupid kula sadka unenepe bladifaken
 
Back
Top Bottom