Kwa mimi youtube ni zaidi ya chuo kikuu

Kwa mimi youtube ni zaidi ya chuo kikuu

Ila pia imenisaidiaw kuwa mkali wa ArchiCAD. Kuna yule dogo anaitwa 'Uswazi TV' toka chuo cha Mbeya huko alinisaidia sana kwa clip zake youtube! Kama ataona hapa ale bia nakuja kulipa!

Nilipata project ya kuchora, nikataka nitafute mbobezi aifanye ila nikasema mwanaume ni kupambana kwanini nisiingie net nijifunze nipige? Nikajikakamua nikazama Youtube nikakutana na huyo dogo. Nadnani alikua Diploma ya Architecture. Mzee baba niña degree ya Marketing ila nina passion ya kuchora chora! Nikazama nikapiga mzigo client akalipa na bonus juu!
 
Kimsingi nimejifunza mambo mengi sana kupitia youtube kuliko hata nilipokuwa chuo kikuu.

Je wewe umejifunza nini kupitia youtube?
mimi nilichofaidika nacho youtube ni jinsi ya kupakua video za kikubwa tuuuuu..
 
youtube ni nzuri sana kwa kujifunza sema watu wengi huitumia vibaya sana
 
Yaani mimi nilikuwa nikienda Home Kijijini smartphone yangu haina Network kabisa hakuna Mawasiliano au mara nyingine nikirudi chuo unakuta Geto ninalokaa hamna network ya Internet kwahio unakuta ni mpaka nitoke nje Usiku ndio ni download au niperuzi mtandao lakini Kupitia Youtube nilijifunza namna rahisi ya Kutengeneza Kamtambo ka Kuboost na Kuvuta mawimbi ya Network kwa mazingira Yoyote
Yaani saivi ni Full raha niende Kokote TZ hata mtandao wowote mimi network ni full 3G/4G hata nikiwa Geto ni mwendo wa 3G/4G cha mihimu niwe na Bundle Langu tuu bass
Mkuu naomba chanell hii.Nasi tujifunze nimevutiwa nayo.
 
Nipe maujanja nami niunde wangu
 
Kweli hii ni Tanzania ya viwanda , kwa uandishi huu kweli hawa wanafunzi watafaulu ?? Kama Mwl.Ambaye amefika
kikuu anashindwa kuandika Essay na kuitetea je vijana wetu wataandika nn??
Mbona umehukumu haraka sana?
 
Aisee you tube imenisaidia saana kupata knowledge mpka nimemaliza chuo,ila bado haijaanza kunilipa.
 
Kusema kwamba dini zimetengenezwa simaanishi hakuna Mungu. Hizi dini hazikufikishi alipo Mungu, ni biashara hivyo tumia imani yako mwenyewe, usisubiri eti mtu akuambie Mungu anakupenda, au akuondolee dhambi, tumia akili yako kumjua Mungu wa kweli.
 
Nilikuwa mvulana mwenye aibu mbele ya wasichana kwa kifupi nilikuwa sijui kutongoza lakin kupitia Youtube nimetatua tatizo langu
 
mie napenda ,kuna tutorial mpaka za vyuo vikuu vikubwa duniani,so unaweza pandisha material sawa na mtu anayesoma kwenye hivyo vyuo LOL
 
Ni kweli ni rahisi kujifunza kwa undani zaidi kwa wakati wako kupitia Youtube.
Unapata lecture za ukweli sana.

mie napenda ,kuna tutorial mpaka za vyuo vikuu vikubwa duniani,so unaweza pandisha material sawa na mtu anayesoma kwenye hivyo vyuo LOL
 
Back
Top Bottom