YouTube kwisha Habari yake imepata mpinzani balaa

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,374
Reaction score
2,811
Bilibili-Chinas-YouTube-Just-Went-Global.-But-Its-Not-New.jpg

Ebhana Wachina wameamua kuleta upinzani na Wamarekani bhana wameleta mpinzani wa YouTube 😃.

China sasa inaongeza nguvu kwenye vita vya majukwaa ya video! 🎥🔥 Bilibili, platform maarufu nchini China inayojulikana sana kwa anime, gaming, livestreaming na maudhui ya vijana, inaanza kupanua uwepo wake kwa watumiaji wa kimataifa.

Kinachofanya Bilibili iwe tofauti ni nguvu yake kwenye 🎨anime, 🎮gaming,🎬 entertainment, 💬livestreaming na community-driven content. Ikiwa itaweza kuvutia creators wengi nje ya China, tunaweza kuona ushindani mkubwa zaidi kwenye dunia ya video mtandaoni. 👀

Ambapo kupitia bilibili pia creator wanaweza kujipatia kipato kupitia machapisho mbalimbali 🔥.

🔥 YouTube imepata mpinzani mpya wa kimataifa kutoka China unasemaje?
 
View attachment 3656080

Hizi zote zimegeuka visemeo vya mafisadi na kunyazisha wapingasfisadi Acha zifie mbali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom