Kwa mimi youtube ni zaidi ya chuo kikuu

Haha YouTube imesaidia sana japo sio zaid ya chuo
Nimeweza kuweka Custom Roms kwenye sim na pia namna ya kurudisha stock Roms pia kuweka patches kwenye ma game kusolve problems ndogo ndogo kama missing .dll vitu kibaoooo
 
Muwe mnalipa fees basi kwa youtube despite MBs mnazotumia
ACC no, [HASHTAG]#214580[/HASHTAG]
 
Yaani mimi nilikuwa nikienda Home Kijijini smartphone yangu haina Network kabisa hakuna Mawasiliano au mara nyingine nikirudi chuo unakuta Geto ninalokaa hamna network ya Internet kwahio unakuta ni mpaka nitoke nje Usiku ndio ni download au niperuzi mtandao lakini Kupitia Youtube nilijifunza namna rahisi ya Kutengeneza Kamtambo ka Kuboost na Kuvuta mawimbi ya Network kwa mazingira Yoyote
Yaani saivi ni Full raha niende Kokote TZ hata mtandao wowote mimi network ni full 3G/4G hata nikiwa Geto ni mwendo wa 3G/4G cha mihimu niwe na Bundle Langu tuu bass
We jamaa naomba Nipe mbinu za kuboost network
 
ulifanikiwa?

yah ila sikushauri ufungue ni hatari sana mkuu. kuna sauti utaziskia ambazo kwa hali ya kawaida hutaweza kuziexperience na kuna vitu utaviona kama ni muoga unaweza kufa kwa presha.. please usifungue utajilaumu sana baadae.
 
ww uli overcome vp
 
uliona nini cha ajabu?..,mazuri hukuyaona.,vipi kuhusu future yako uliiona? natamani sana nifungue third eye

mazuri yapo mfano mtu akikuwazia mazuri au mabaya basi kama ukilala kila kitu unaletewa kichwani ila kwa mafumbo (nafkiri kwasababu nimefungua third eye peke yake ila sijapractice kufungua vingine zaidi) mabaya ni kama ghosts. unaweza ukakaa peke yako ukahisi kuna uwepo wa mtu pembeni yako anazunguka zunguka unaziskia kabisa sauti sa uwepo wake, usiku ni utulivu ila unaweza ukasikia kelele za ajabu za wanyama/ mtikisiko wa ulimwengu & etc kama mwisho wa dunia vile. acha mkuu usijaribu, na kama utafungua basi usiharakishe maana negative spirits zitakuwa nyingi kuziona kuliko positives.. vingine haviandikiki hapa ingia youtube mwenyewe uone waliofungua walicho-experience ndo utaelewa nakwambia nini.
 
Mimi mbona nimejaribu sjahisi chochote mkuu
 
ulifunguaje nitumie maelezo pm
 
Mimi mbona nimejaribu sjahisi chochote mkuu

halifunguki kwa haraka hivyo mkuu inahitaji muda hata miezi..meditations kwa sana na ukiforce likafunguka kwa muda mfupi ndo hatari. kuna uzi humu walifungua kina pasco na Rakims umewekwa steps zote.
 
Yaani mimi nilikuwa nikienda Home Kijijini smartphone yangu haina Network kabisa hakuna Mawasiliano au mara nyingine nikirudi chuo unakuta Geto ninalokaa hamna network ya Internet kwahio unakuta ni mpaka nitoke nje Usiku ndio ni download au niperuzi mtandao lakini Kupitia Youtube nilijifunza namna rahisi ya Kutengeneza Kamtambo ka Kuboost na Kuvuta mawimbi ya Network kwa mazingira Yoyote
Yaani saivi ni Full raha niende Kokote TZ hata mtandao wowote mimi network ni full 3G/4G hata nikiwa Geto ni mwendo wa 3G/4G cha mihimu niwe na Bundle Langu tuu bass

Mkuu hii scenario ikoje hapa kuhusu hiki kifaa kuvuta mawimbi
 
Kusema kwamba dini zimetengenezwa simaanishi hakuna Mungu. Hizi dini hazikufikishi alipo Mungu, ni biashara hivyo tumia imani yako mwenyewe, usisubiri eti mtu akuambie Mungu anakupenda, au akuondolee dhambi, tumia akili yako kumjua Mungu wa kweli.
Very true asee
 
Back
Top Bottom