Mr Equalizer
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 611
- 724
Kimsingi nimejifunza mambo mengi sana kupitia youtube kuliko hata nilipokuwa chuo kikuu.
Je wewe umejifunza nini kupitia youtube?
Je wewe umejifunza nini kupitia youtube?
mod naomba uweke sawa hiyo heading ina makosa.Kimsingi nimejifunza mambo mengi sana kupitia youtube kuliko hata nilipokuwa chuo kikuu.
Je wewe umejifunza nini kupitia youtube?
Heading ipo sahihi kwa 100%Kweli hii ni Tanzania ya viwanda , kwa uandishi huu kweli hawa wanafunzi watafaulu ?? Kama Mwl.Ambaye amefika
kikuu anashindwa kuandika Essay na kuitetea je vijana wetu wataandika nn??
hebu soma vizuri ulichoandika , usijifanye mjuaji wakati na wewe una makosa kwenye uandishi wako.Kweli hii ni Tanzania ya viwanda , kwa uandishi huu kweli hawa wanafunzi watafaulu ?? Kama Mwl.Ambaye amefika
kikuu anashindwa kuandika Essay na kuitetea je vijana wetu wataandika nn??
hebu soma vizuri ulichoandika , usijifanye mjuaji wakati na wewe una makosa kwenye uandishi wako.
Safi saaanaHii ni hoja bora kabisa ila kwa kuwa tunapenda mambo mepesi hata wala haitapa wachangiaji wengi. Hongera kwa kuanzisha hii mada.
Youtube ni zaidi ya shule.
Kwa uchache nimejifunza haya
1. Kutengeza na kuboresha vifaa vyangu vya umeme (electronics devices). Nikienda kwa fundi huwa naanza kuwelekeza na spare parts nanunua mwenyewe.
2. Arrangement ya sebule yangu
3. Namna ya kuandaa vyakula vya aina mbalimbali
4. Namna ya kuinstall na ku-operate machine. Hii imeniwezesha kupata pesa kutoka ofisi nyingi kwa kwenda kuwafungia yale maprinter makubwa /photocopier na kutoa elimu jinsi ya kuyatumia.
( wapo wanaodhani labda nimesomea mitambo na machine mabalimbali). Last week nilikuwa Morogoro kufunga mtambo mmoja wa kitabibu. Week ijayo nina deal nyingine Lindi.
4. Malezi bora ya mtoto
5. Design mbalimbali ya unique furnitures
6. Matumizi mazuri na bora ya vifaa vya umeme
7. Namna ya kupanga mipango mbalimbali na kufikia malengo.
Kumbuka nimeajiriwa lakini napata pesa nyingi ya ziada kupitia Youtube.
Vijana, ingia youtube kujifunza. Ukishajua muziki mzuri na mbaya itakusaidia nini maishani.
Umenena mkuu.Hii ni hoja bora kabisa ila kwa kuwa tunapenda mambo mepesi hata wala haitapa wachangiaji wengi. Hongera kwa kuanzisha hii mada.
Youtube ni zaidi ya shule.
Kwa uchache nimejifunza haya
1. Kutengeza na kuboresha vifaa vyangu vya umeme (electronics devices). Nikienda kwa fundi huwa naanza kuwelekeza na spare parts nanunua mwenyewe.
2. Arrangement ya sebule yangu
3. Namna ya kuandaa vyakula vya aina mbalimbali
4. Namna ya kuinstall na ku-operate machine. Hii imeniwezesha kupata pesa kutoka ofisi nyingi kwa kwenda kuwafungia yale maprinter makubwa /photocopier na kutoa elimu jinsi ya kuyatumia.
( wapo wanaodhani labda nimesomea mitambo na machine mabalimbali). Last week nilikuwa Morogoro kufunga mtambo mmoja wa kitabibu. Week ijayo nina deal nyingine Lindi.
4. Malezi bora ya mtoto
5. Design mbalimbali ya unique furnitures
6. Matumizi mazuri na bora ya vifaa vya umeme
7. Namna ya kupanga mipango mbalimbali na kufikia malengo.
Kumbuka nimeajiriwa lakini napata pesa nyingi ya ziada kupitia Youtube.
Vijana, ingia youtube kujifunza. Ukishajua muziki mzuri na mbaya itakusaidia nini maishani.
hongera sana mkuu.Nilijifunza computer repair and maintainance, pamoja na kutatua matatizo ya Simu nimewasaidia wengi Sana ingawa Bado nasoma chuo cha YouTube pia Kupata marafiki nje wahind na wameniweka vizuri programing