Usinicheke banaHaha haha
Usinicheke banaHaha haha
Umenikombusha mbali sana mambo ya markoncov theory na RungekutaUsinicheke bana
Kichwa namba 8 [emoji28][emoji28][emoji28]Mimi nimejifunza jinsi ya kulifanya taifa langu liwe la viwanda nataka nimpelekee maoni yangu kichwa namba 8
nimevutiwa sana na hii, embu niambie namna ya kupata hii elimu youtubeYaani mimi nilikuwa nikienda Home Kijijini smartphone yangu haina Network kabisa hakuna Mawasiliano au mara nyingine nikirudi chuo unakuta Geto ninalokaa hamna network ya Internet kwahio unakuta ni mpaka nitoke nje Usiku ndio ni download au niperuzi mtandao lakini Kupitia Youtube nilijifunza namna rahisi ya Kutengeneza Kamtambo ka Kuboost na Kuvuta mawimbi ya Network kwa mazingira Yoyote
Yaani saivi ni Full raha niende Kokote TZ hata mtandao wowote mimi network ni full 3G/4G hata nikiwa Geto ni mwendo wa 3G/4G cha mihimu niwe na Bundle Langu tuu bass
Hilo limekusaidia nini mkuu baada ya kulifungua?nimejifunza kufungua third eye kupitia youtube.
Ni kwema, mkuu ni kwa ajili ya heshima na kumbukizi ya Baba wa taifa tuMkuu kwema umebadili muonekano
nimejifunza kufungua third eye kupitia youtube.
Daaaah!!! yaan bro aibu naona mimi kwa hii comment yako.... so sad kwa kweli.YouTube haiwezi kuwa zaidi ya shule hata siku moja ndugu yangu. Hizo contents unazo ziona ndio zimekusaidia kuliko mkufunzi wako chuo kuuu, zimewekwa na mtu aliye kwenda shule na kufahamu kama mwanafunzi anatakiwa afanye nini.
Hivyo mnavyovisifia havijajiweka YouTube, vimewekwa na binadamu mwenye maumbile na ubongo kama wako tofauti ni kwamba yeye alijua anapaswa kufanya nini zaidi ya pale anapoishia mwalimu wakati wewe ulipokuwa chuo alipokuwa anaishia mwalimu wewe uliishia nyuma yake kidogo.
Hivi unadhani Mmilikiwa Facebook alifundishwa chuoni namna ya kutengeneza facebook? ama muanzilishi wa YouTube alifundishwa darasani namna ya kutengeneza hicho unachokiona ni bora!
Hongera sana Mkuu nifundishe na mimiNakumbuka nlipokua chuo, mwalimu aliyekua anafundisha english topic ya phonology alikua haeleweki, nikazama youtube na kumpata teacher mkali wa phonology, huwezi amini nlipiga A wakati weng wakiwa na sap
umetisha mkuu , hiyo elimu uliyopata ni ajira tosha kabisa.1. Nimejifunza namna ya kuandika script and still nina darasa youtube bure kabisa.
2.Nimejifunza namna ya kutengeneza nywele... hii style kwa saloon ni elfu 50 so nimesave pesa nyingi.
3.Aina mbalimbali za mapishi ya kibongo hadi ya kigeni mf vyakula vya kijamaica napika km nipo jamaica vile... lol
4.Mambo mengi ya afya hususani ya ngozi nimejifunza youtube mpk sasa naelimisha na wengine.
5.Namna ya kudesign chumba changu na rangi.
6.Still naendelea kujifunza zaidi.
Third eye - WikipediaHilo jicho la tatu ndio hili la huku kalioni au?
Na wewe angalia ulichokiandika,Mwl.unaanza na herufi kubwa badala ya ndogo?Amefika kikuu ndio nini?Au ulimaanisha chuo kikuu?Tulia,andika kitu kinachoeleweka,unakimbizwa au uwe wa kwanza kujibu uzi?Mharibifu wa lugha wewe,huna tofauti na unaowasema kuhusu kufaulu.Kweli hii ni Tanzania ya viwanda , kwa uandishi huu kweli hawa wanafunzi watafaulu ?? Kama Mwl.Ambaye amefika
kikuu anashindwa kuandika Essay na kuitetea je vijana wetu wataandika nn??
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106]Na wewe angalia ulichokiandika,Mwl.unaanza na herufi kubwa badala ya ndogo?Amefika kikuu ndio nini?Au ulimaanisha chuo kikuu?Tulia,andika kitu kinachoeleweka,unakimbizwa au uwe wa kwanza kujibu uzi?Mharibifu wa lugha wewe,huna tofauti na unaowasema kuhusu kufaulu.