TrueKwa hiyo wote mliosoma chuo kikuu mnakili kabisa YouTube ni zaidi ya chuo kikuu???real???
Mnasahau ya kuwa hayo madude yamewekwa na wenzenu waliosoma kama nyinyi?? YouTube haijajiwekea material kuna watu walipata elimu ya darasani wakafanya beyond kazi kwenu.
Wat wanafanye biashara kupitia uislam??Kusema kwamba dini zimetengenezwa simaanishi hakuna Mungu. Hizi dini hazikufikishi alipo Mungu, ni biashara hivyo tumia imani yako mwenyewe, usisubiri eti mtu akuambie Mungu anakupenda, au akuondolee dhambi, tumia akili yako kumjua Mungu wa kweli.
Ukifungua unakua mtu wa namna gani? Naomba nisaidie faida kadhaa nimejarb naona nashindwanimejifunza kufungua third eye kupitia youtube.
Vitu gani utaviona?yah ila sikushauri ufungue ni hatari sana mkuu. kuna sauti utaziskia ambazo kwa hali ya kawaida hutaweza kuziexperience na kuna vitu utaviona kama ni muoga unaweza kufa kwa presha.. please usifungue utajilaumu sana baadae.
Tatizo una paparaKwa hiyo wote mliosoma chuo kikuu mnakili kabisa YouTube ni zaidi ya chuo kikuu???real???
Mnasahau ya kuwa hayo madude yamewekwa na wenzenu waliosoma kama nyinyi?? YouTube haijajiwekea material kuna watu walipata elimu ya darasani wakafanya beyond kazi kwenu.
Link tafadhaliMimi kwangu inanisaidia kujua na kuona/kujifunza mambo mengi ya kiulimwengu hasa mambo ya kiintelejinsia..
Ukiwa sio mvivu utapata kujifunza vitu vingi sana.
haha yaani kama mimi kabisa..,huwa sisemi siwezi kitu fulani nachofanya nakimbilia youtubeYou tube imenipa ujiko sana kwa mke wangu na majirani wanajua mi mtaalam wa kila kitu maana kila likitokea jambo nakuwa naweza kulitatua kumbe naenda kula lecture
[emoji23] dah umenikumbusha muhimu nililosahau ....vitu muhim vyote jilijifunza u tube nilivyofika chuo cha udereva ilikuwa n practical tunilijifunza kuendesha gari kupitia youTube