Kwa mimi youtube ni zaidi ya chuo kikuu

Kwa mimi youtube ni zaidi ya chuo kikuu

Yaani ofisini naonekana mkali sana kisa nnafahamu mambo mingi kuhusu excel na program nyengine za computer ambazo karibia zote nnazipata youtube, kwa kweli hutumia muda wangu wa ziada kupakuwa video za mafunzo nyingi kupitia huu mtandao viva youtube

Kumbe tupo wengi mkuu, kuna jamaa anaitwa 'Excellisfun' ni mkali wa Excel balaa! Kuna mavitu ya Excel nilijifunza kwake nikawa nafanya ofisini wkadhani mimi sio wa dunia hii!
 
Kweli hii ni Tanzania ya viwanda , kwa uandishi huu kweli hawa wanafunzi watafaulu ?? Kama Mwl.Ambaye amefika
kikuu anashindwa kuandika Essay na kuitetea je vijana wetu wataandika nn??
Toa Uzi wako nawewe bas...
We changia hoja uswe kma bibi uswege faizafox
 
Ilini improve ktk kuuelewa mziki in deep..
Ninaclip za madarasani kwa syllabus zote za music...now niko improved sanaaa
 
Kumbe tupo wengi mkuu, kuna jamaa anaitwa 'Excellisfun' ni mkali wa Excel balaa! Kuna mavitu ya Excel nilijifunza kwake nikawa nafanya ofisini wkadhani mimi sio wa dunia hii!
haaa haaa
 
Binafsi nimefaidika na YouTube kwa mambo mengi sana,imenisaidia kuongeza knowledge inayohusu taaluma yangu niliyosomea....na sio YouTube pekee,mitandao kama JF, Instagram,na Telegram vipo vitu muhimu sana kama unapenda kujifunza.
Shida ni kwamba vijana wanapenda umbea kuliko mambo ya muhimu.
Huko sahihi mkuu
 
Mbona hujataja hata moja ulilojifunza Mkuu?

Alafu eti ulifika chuo. Looh!!
 
Kweli hii ni Tanzania ya viwanda , kwa uandishi huu kweli hawa wanafunzi watafaulu ?? Kama Mwl.Ambaye amefika
kikuu anashindwa kuandika Essay na kuitetea je vijana wetu wataandika nn??
Jamaa amethibitisha jinsi mtiririko wa mawazo yake Ulivyo.

Ni kijana kutoka chuo eti!
 
Kweli kabisa mkuu youtube ni zaid ya shule huitaji gharama ni tu mb twako tyuu!! Mie napenda kujifunza mazoezi na hua na yaaply yananipa raha sana
 
Yaani mimi nilikuwa nikienda Home Kijijini smartphone yangu haina Network kabisa hakuna Mawasiliano au mara nyingine nikirudi chuo unakuta Geto ninalokaa hamna network ya Internet kwahio unakuta ni mpaka nitoke nje Usiku ndio ni download au niperuzi mtandao lakini Kupitia Youtube nilijifunza namna rahisi ya Kutengeneza Kamtambo ka Kuboost na Kuvuta mawimbi ya Network kwa mazingira Yoyote
Yaani saivi ni Full raha niende Kokote TZ hata mtandao wowote mimi network ni full 3G/4G hata nikiwa Geto ni mwendo wa 3G/4G cha mihimu niwe na Bundle Langu tuu bass
Safi sana
 
Back
Top Bottom