Dkt. Nchimbi hujateuliwa Katibu Mkuu CCM ili Umfumbie Mafumbo ya Chuki Hayati JPM na Umpambe Kinafiki Rais Samia, bali pambana CCM iwe Moja

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,573
108,930
Na tunakujua tunajua hukuwahi kabisa si tu Kumpenda bali hata Kumheshimu Rais Samia pale alipokuwa Makamu wa Rais chini ya Hayati Magufuli na leo tunakushangaa unavyojifanya Kumpamba na Kumpenda Mwenyekiti CCM Taifa Rais Samia Suluhu Hassan.

Acheni Unafiki na msitulazimishe tuanze kusema na mengine halafu Nafasi zenu wakapewa Wengine na msiamini.

Mshukuru sana Chalinze CCM Godfather kwa Kukupigania uwe hapo ili Uwatengenezee Mazingira Watu wake Watatu Kimkakati ambayo Mmoja ataanza kwa Kuchokota mwakani ( 2025 ) ila Wawili wao lengo lao ni 2030.

Rais Samia ( Mwenyekiti CCM Taifa ) narudia tena leo kukuambia kuwa usipende sana Kusifiwa na kuwa makini na Wanafiki wanaokusifia sasa kwani Wakikutana katika Vijiwe vyao vya Siri huwa Wanakusimanga, Wanakudharau na wala Hawakupendi vile vile.
 
Ugomvi wa 2015 wa Lowassa umefufuliwa na uteuzi huu.
The clock has been turned back to 2015.
Nakumbuka yule mdada,kada wa CCM alikuwa anaongea cheerfully kwenye group,anasema,"Unajua,ipo CCM A na CCM B".
Wakati anaondoka,nikamkimbilia kumuuliza," Samahani,ulikuwa unasema pale ipo CCM A na CCM B,unaweza kufafanua zaidi?".
Akasema,"Kabla sijakueleza,kwanza niambie,wewe ni CCM A au CCM B?"
 
Na tunakujua tunajua hukuwahi kabisa si tu Kumpenda bali hata Kumheshimu Rais Samia pale alipokuwa Makamu wa Rais chini ya Hayati Magufuli na leo tunakushangaa unavyojifanya Kumpamba na Kumpenda Mwenyekiti CCM Taifa Rais Samia Suluhu Hassan.

Acheni Unafiki na msitulazimishe tuanze kusema na mengine halafu Nafasi zenu wakapewa Wengine na msiamini.

Mshukuru sana Chalinze CCM Godfather kwa Kukupigania uwe hapo ili Uwatengenezee Mazingira Watu wake Watatu Kimkakati ambayo Mmoja ataanza kwa Kuchokota mwakani ( 2025 ) ila Wawili wao lengo lao ni 2030.

Rais Samia ( Mwenyekiti CCM Taifa ) narudia tena leo kukuambia kuwa usipende sana Kusifiwa na kuwa makini na Wanafiki wanaokusifia sasa kwani Wakikutana katika Vijiwe vyao vya Siri huwa Wanakusimanga, Wanakudharau na wala Hawakupendi vile vile.
Kweli kabisa kwa dharau za Nchimbi saa 100 hakuw hata anamfikiria....kwanza anamuona Kilaza....sasa anasogeza siku ....funika kombe....
 
Back
Top Bottom