Nilipoiangalia Dodoma mji haujajengeka sana kama inavyosemwa. Lakini ukiangalia vitu alivyofanya Hayati Magufuli ndani ya kipindi cha miaka 5 wanadodoma hawatamsahau kamwe. Hivi vitu vitatu tu vya mfano:
1. Stendi-Nanenane
2. Ikulu Chamwino na taa zake
3. Mji wa Serikali-Mtumba
Huu mji bila Magufuli ungekuwa vijumba na vipori tu.
Pamoja na mapungufu yake ila Magufuli angetufikisha mbali kwa mtazamo wañgu.
ILA DODOMA KUNA VUMBI KILO MIA MOJA.