tinkibiruka mhaya
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 926
- 790
Shida njiani Halafu hajuiUna kila haki ya kutandikwa viboko kwa kujifanya mjuaji wa vitu usivyovijua.
Ndio nikuelimishe sasa!! kuna magari huwa yanapakia wateja waliokata tiketi wanaokutana sehem kama hotelini ili kusafirishwa kwenda airport, hufaamika kwa jina la shuttle.
Achana na zile gari ambazo zinawashusha abiria ndege ikitua, ili waende sehemu ya kubebea mizigo yao.