Kwa mara ya kwanza niliijua maana halisi ya "Mtoto wa kishua" kupitia huyu dogo. Kuna watoto wamezikuta pesa aisee!

Ndo hivyo mkuu Kuna madogo ukimhadisia life la ulikotoka anakushangaa,shida anasikiaga tu!! mm Kuna dogo tulisoma nae ss Kuna sku dogo akaamua kuja na semi trailer mpya kabisaa,tunashangaa semi imeleta nn ,kumbe dogo kaja nayo,halafu akashuka akaenda mpaka nyuma ya trailer akapanda na kutoa begi ya madaftari .kumbe dogo alifanya makusudi kisa Kuna siku alinyimwa lift na tcha .
Lake secondary hii mwanza miaka ya 90's kama sijakosea
 
acha ushamba, usikariri.
sio kila unachokisoma jf kimeandikwa ili wewe ujifunze.
mengine ni kwa ajiri ya inspiration and motivation.
We nawe Usijikute mjuaji wakati huna jambo.. ....Ndio maana nikauliza story yake inafundisha nini au ndio tusogoe tu . Sijaona hiyo inspiration Wala motivation

Wewe ungejibu tu hapa tunapiga porojo ningekuelewa.
 
Michezo ya Foresh hill Sec School miaka ya 2006 kurudi nyuma, waliopita kule ..kulikuwa na packing za Ndiga,Bike na Baiskeli.😀😀😀😀

Kuna vijana wa Balaboo ..Omar Awadhi..hahaha wanatembea na wapambe 😀😀😀😀
 
Halafu eti mnasema maisha hayana shortcut?

Kuzaliwa familia yenye mpunga kama huyo dogo hiyo tayali ni shortcut.

Masikini tuache kujifariji.

Mjukuu wa Bakhresa tayali keshapita shortcut.
Shortcut ni nyingi we penyeza hela tu utaona jinsi mambo yalivyo mepesi. Kwa maisha ya duniani humu mpunga ndio kitu cha kwanza cha maana. Mungu atusaidie tu nasisi watoto wetu waje kuishi kishua.
 
Sawaa... Kwahiyo story yako inatufumdisha nini ? Au ndio tusogoee tu

acha ushamba, usikariri.
sio kila unachokisoma jf kimeandikwa ili wewe ujifunze.
mengine ni kwa ajiri ya inspiration and motivation.

We nawe Usijikute mjuaji wakati huna jambo.. ....Ndio maana nikauliza story yake inafundisha nini au ndio tusogoe tu . Sijaona hiyo inspiration Wala motivation

Wewe ungejibu tu hapa tunapiga porojo ningekuelewa.
Mkuu sio lazima uandikiwe moral of the story / inafundisha nini, vitu vingine ukitumia tu kichwa chako mbona vinaonekana wazi tu.

-tafuta hela watoto waishi fresh
-usiwe na dharau ukiwa na pesa
-usipende kujitapa tapa una pesa
-kuwa makini na wanawake ukiwa na pesa

n.k
 
Dah,mzeya ndo umeamua kunianika kiasi hiki?Anyway,hebu acha hicho unachofanya uje tulisongeshe.Mishe zangu binafsi kwa sasa zimetanuka zaidi so nadhani itakuwa poa ukija tukaendeleza mapambano kama ilivokuwa chuo.
Ila ukija hakikisha umeacha hukohuko tabia ya kuwaonea donge madem,mana walichonacho wewe huna.Pesa ya hapa na pale hutakosa.
 
Michezo ya Foresh hill Sec School miaka ya 2006 kurudi nyuma, waliopita kule ..kulikuwa na packing za Ndiga,Bike na Baiskeli.😀😀😀😀

Kuna vijana wa Balaboo ..Omar Awadhi..hahaha wanatembea na wapambe 😀😀😀😀
Huyu balabuu sijui yupo wapi kwa sasa na sheli zake za tiot
 
Mkuu sio lazima uandikiwe moral of the story / inafundisha nini, vitu vingine ukitumia tu kichwa chako mbona vinaonekana wazi tu.

-tafuta hela watoto waishi fresh
-usiwe na dharau ukiwa na pesa
-usipende kujitapa tapa una pesa
-kuwa makini na wanawake ukiwa na pesa

n.k
Sawaa makofi kwako tafadhali 👏👏👏 Nilikua naku-challenge kidogo 😀
 
49 Reactions
Reply
Back
Top Bottom