Kwa mahitaji ya vyumba vya kupanga karibu na hospitali ya KCMC-MOSHI

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,193
5,127
Habari , nawaleteeni huduma ya upatikanaji vyumba vya kupanga katika hospitali ya KCMC MOSHI,
Maalumu kwa ajili ya INTERNS personels wanaokuja hapa hospital kuja kufanya mafunzo yao kwa vitendo (INTERNSHIP)

Vyumba /apartments zilizopo ni za 120,000 ambazo ni self rooms, vikubwa sana na double rooms za 150,000 per month zilizopo karibu na hospitali ya KCMC (HAKUNA HAJA YA KUPANDA BAJAJI WALA PIKIPIKI , NI MWENDO WA KUTEMBEA TUU CHINI YA DAKIKA 4 KUFIKA GETINI UKITOKEA KCMC HOSPITAL)

GHARAMA NI NAFUU SANA NA SIO LAZIMA KULIPA YOTE YA MWEZI MZIMA.

MAWASILIANO NI 0672701329

KARIBUNI SANAπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ

Picha. Video
 
Mbona zimechakaa...hasa hiyo nyeupe
Umepelekwa vyumba vya 30,000 , 40,000 , sasa unasema hivyo , mkuu !!!! Hvi unajua vyumba (kama inavyoplay hiyo video clip) vyimba vilivyoko high classic na vingine vipo ghorofani kabisa !!!!!! Embu acha hizo za kusema hivo , kama wewe umepelekwa kwenye hivyo vyumba, pole

Wasiliana na mimi kwa namba hiyo hapo juu nikukutanishe na mmiliki wa ghorofani chumba cha juu kabisa barabara ya rami na hospitali ya KCMC uwe unaiona kila ufunguapo. Dirisha, afuu urudi huko ulikopanga kwa hivyo vya 30,000 mkuu

Mimi nina vyumba high classic 100,000 , 120,000 tena kwa gharama nafuuu.
 
Umepelekwa vyumba vya 30,000 , 40,000 , sasa unasema hivyo, mkuu. Hvi unajua vyumba (kama inavyoplay hiyo video clip) vyimba vilivyoko high classic na vingine vipo ghorofani kabisa !!!!!! Embu acha hizo za kusema hivo , kama wewe umepelekwa kwenye hivyo vyumba ,pole

Wasiliana na mimi kwa namba hiyo hapo juu nikukutanishe na mmiliki wa ghorofani chumba cha juu kabisa barabara ya rami na hospitali ya KCMC uwe unaiona kila ufunguapo. Dirisha, afuu urudi huko ulikopanga kwa hivyo vya 30,000 mkuu

Mimi nina vyumba high classic 100,000 , 120,000 tena kwa gharama nafuuu.
Nilisema hivyo kabla ya clip yako..na lengo lilikuwa kukuamsha kwamba tangazo ni lazima liwe na vielelezo.
 
Nilisema hivyo kabla ya clip yako..na lengo lilikuwa kukuamsha kwamba tangazo ni lazima liwe na vielelezo.
πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
 
Karibuni πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
 
Back
Top Bottom