Fremu ya biashara, ina pangishwa-KCMC Mapipa road, Moshi-Kilimanjaro

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,193
5,129
Habari ,

✨✨✨✨✨
Nawaleteeeni fremu ya kupangisha mahususi kwa biashara yoyote ile mfano saluni ya kike , mgahawa wa chakula , duka , mini-market au any designed business

Fremu ni kubwa kindani na ipo karibu na chuo cha KCMC yaani geti dogo unaliona ilo hapo , mida kama hii vyuo vinavyofunguliwa ndio sehemu nzuri ya biashara ....


✨✨✨✨
Picha
IMG_20231013_121756_990.jpg
IMG_20231013_121801_480.jpg

Mazingira kwa nje ,ni barabara ya lami na watu wanapita wengi sana hasa hasa wanachuo
img_20231013_121520_835-jpg.2780869


Kuiona fremu physicaly ni Free no charges .....

For more contact ; 0672701329...
 

Attachments

  • IMG_20231013_121520_835.jpg
    IMG_20231013_121520_835.jpg
    1.3 MB · Views: 31
Lami Kuanzia Kibosho Road Mpaka Longuo Yaani Unakwenda Mbele
Hiyo barabara ina lami kwa sasa yaani unatokea kcmc madukan mpka kibosho road kwa lami mpaka kule shanti road kwa mengi nako kumeweka lami mzee
 
Hivi Pale Juu Kutoka KCMC Unakwenda Kushoto Longua Lile Eneo Ni La Kanisa Kuna Utulivu, Migomba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom