Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 372,655
- 863,525
kwamba;
1.kuna sehemu inaitwa mwembebasha, ukijipumzisha hapo mchana, lazima utapitiwa na usingizi na ukiamka umelowa makalioni
2; kuna warembo wa kiarabu lakini miguu kwato za ng'ombe
3; vifuu havipigwi teke, ukifanya hivyo kitakuuliza unanipigia nini?
4; kuna gesti chumba no 8 ukilala hapo lazima popobawa akupitie
5; usibebe hovyo wachumba wengine majini, unabeba mnaenda kulala gesti, ukiamka asubuhi uko ufukweni uchi au juu ya mti!!! kuna stori nyingi sana za kweli na za uongo ukifika huko sikiliza zote halafu amua mwenyewe