Kwa laki moja tu unapata driving licence

Kwa laki moja tu unapata driving licence

Hebu tuache chuki binafsi, ukame wa fikra na jazba za kisiasa zisizo kuwa na tija na baadala yake tujikite katika mada husika. Naona unajaribu kwa nguvu zote kuikwepesha mada husika na kuanza kuongelea watu binafsi. Hii mada haimhusu Dr. Slaa wala Mbowe hata kidogo. Sasa zijui chuki zako kwa watu hawa zinatokana na nini!

Haiwahusu? wao si wana kambi kuu ya upinzani bungeni? au hulijui hilo? ulishawasikia wakalikemea hata siku moja bungeni au kupeleka mswaada wa mambo haya ambayo kila siku tunayo mitaani?

Wao ndio wanatakiwa wawe wapinzani wa kwanza wa mambo hayo, kinawashinda nini? au wako pale kuchezeana tu na mahawara zao waliowajaza viti maalum bungeni? Lakini hilo limeshastukiwa 2015 hakuna tena upuuzi huo.

Fikiri nje ya box.
 
zote zinapatikana kwa ulaini kuliko,mtu hajui hata clatch iko pande gan lakin analeseni,
kila kitu kinapatikana hapa tz anzia mihuri ya moto mpk vitambulisho vya tume!khaaa
 
Tunaweza kuwanyooshea viongozi kadhaa suala la rushwa iliyokithiri - lakini ukweli ni kwamba wananchi wengi kabisa tunashabikia rushwa na tukipata nafasi tutaiendeleza kwa usongo. Shuhudia huko mitaani kijana anavyosifiwa akinunua gari kali na kujenga baada ya mwaka moja tu wa kazi ya mshahara wa kawaida serikalini!
 
Hatuna serikali Tanzania..kila mtu vululu tu
 
Watu wengi tz wanapenda rushwa,hat ww ukae sehem kam hiyo lazima upokee rushwa,ila mim ninavyo jua lesen daraj C,upaka uwe na chet cha driving bils hiyo huwez pata daraja C,huo ndio mfumo uliopo TRA kwa ss,na chet cha chuo kinacho tambulika na serikali
 
Mkuu, hicho cheti cha chuo nacho huweza kupatikana kwa rushwa bila kukisomea!
 
Back
Top Bottom