Kwa laki moja tu unapata driving licence

Tanzania mahali pazuri mno pa kuishi hata kama huna ujuzi wala elimu yoyote almradi tu uwe na shekeli kidogo, unahitaji chochote utapata iwe kibali cha kuishi na kufanya kazi nchini, hati ya kusafiria vyeti vya shule, chuo nk! lakini fungakazi ya yote ni leseni za udereva, karibia kika mgeni anamiliki leseni na ukienda kwenye database ya POLISI na TRA utakuta wametimiza vigezo vyote, ila katika uhalisia si kweli. vijana wengi wa bodaboda wanazo leseni lakini hata mlango wa chuo cha udereva haujui. uzalendo umetutoka kabisa kila mtu anaangalia anapata bei gani kwenye nini! na kwa njia hii tunaimaliza nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe

najipanga nikanunue udead afu baada ya 2015 uwaziri nikajichotee na mimi mijihela
 
Mzizi wa matatizo yote ni CCM

Basi achemshwe awe dawa tumnywe. Au tuukate tuuchome.
Najua watasema tuun'goe halafu tuupande mpya utaota vzr. Nasema tusikubali. Tuuchome na majivu yake tutupe baharini ili balaa hili liende pande nyingine ya dunia
 
Na mfumbuzi wa matatizo ni CCM.

Imagine ingekuwa Serikali ya chadema, ikiwa Mwenyekiti anampigia simu hawara ageuze na aache safari ya kikazi aelekee Dubai kula bata badala ya kazi aliyotumwa na bunge, tena kwa gharama za bunge. Ingekuwaje?

Waswahili tuna msemo, aheri nusu shari kuliko shari kamili.

My dia tumekuwa tunaumia sana kwa kauli hz. Kwa nini waoga kujaribu kitu kipya?
Nina hamu sana kuona tz inakuwa chini ya rais kutoka chama kingine ili tuweze kuona uwezo wao pia tukishindwa tutarejea kwa ccm si kitakuwapo?
 
Tatizo vyama vingine sijaona Presidential Material, chama kikuu cha upinzani sasa hivi ni chadema nacho kimeonesha katika chaguzi ndogo tatu zilizopita kuwa hakikubaliki na wananchi walio wengi.

1. Chopa tatu kata Tatu - wameanguka vibaya sana.
2. Kalenga
3. Chalinze

Licha ya hayo, nani wa kumpa Urais chadema? Mbowe? ambae nimesema juu huko ana rekodi mbovu kabisa ya uongozi, chama chake hakina demokrasia, kabadili katiba yao ya kipindi cha uongozi kinyemela, haambiliki, hashauriki, kafukuza wanachama wenye akili kubwa kwa kuwa tu hawakubaliani nae. Kaweka hawara bungeni kwa upendeleao na huyo huyo alipotumwa na Serikali kwenda visiwa gani sijui huko, yeye akamrudisha kutokea New York. Sasa tuchaguwe kiongozi kama huyo?

Slaa ndio usiseme, nae nimeshamwelezea mapungufu yake huko juu.

Hakuna upinzani.

Bora tuwachague humohumo CCM. Zimwi likujualo halikuli likakwisha.
 
Tanzania mahali pazuri mno pa kuishi hata kama huna ujuzi wala elimu yoyote almradi tu uwe na shekeli kidogo, unahitaji chochote utapata iwe kibali cha kuishi na kufanya kazi nchini, hati ya kusafiria vyeti vya shule, chuo nk! lakini fungakazi ya yote ni leseni za udereva, karibia kika mgeni anamiliki leseni na ukienda kwenye database ya POLISI na TRA utakuta wametimiza vigezo vyote, ila katika uhalisia si kweli. vijana wengi wa bodaboda wanazo leseni lakini hata mlango wa chuo cha udereva haujui. uzalendo umetutoka kabisa kila mtu anaangalia anapata bei gani kwenye nini! na kwa njia hii tunaimaliza nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe

mkuu matumizi ya pesa kupata ukitakacho sio hapa kwetu tu hata hizo nchi zilizoendelea haya mambo yapo aisee
 
samahanini wandugu mimi nmepoteza licence yang je kuipata mpya mpk zle process za mwanzo?mana hapa nina tin number na cheti cha driving school nlikopata mafunzo
 
Tatizo kubwa la CCM ni upinzani mbovu.

Upinzani ukiwa na nguvu hutayaona yote hayo.

Bili kuwa na upinzani wa kweli na wenye nguvu, tukubali matokeo.

Mtakazana CCM mbovu wakati wao ndio chama pekee chenye ushawishi kwa wananchi walio wengi, unategemea nini?

Fikiri kwa rekodi ya Slaa ni nani mwenye akili timamu atamchaguwa kuwa Rais? Unataka tuongozwe na mtu hata maadili ya Kanisa lake alilosomea kanuni zake ameshindwa kuzihimili.

Wacha weee!!!!!!
 
Chezea pesa wewe unadhani utathubutu kuacha pesa kama ni wewe? Maisha mazuri huletwa na pesa wala sio kitu kingine.
 
Tatizo vyama vingine sijaona Presidential Material, chama kikuu cha upinzani sasa hivi ni chadema nacho kimeonesha katika chaguzi ndogo tatu zilizopita kuwa hakikubaliki na wananchi walio wengi.

1. Chopa tatu kata Tatu - wameanguka vibaya sana.
2. Kalenga
3. Chalinze

Licha ya hayo, nani wa kumpa Urais chadema? Mbowe? ambae nimesema juu huko ana rekodi mbovu kabisa ya uongozi, chama chake hakina demokrasia, kabadili katiba yao ya kipindi cha uongozi kinyemela, haambiliki, hashauriki, kafukuza wanachama wenye akili kubwa kwa kuwa tu hawakubaliani nae. Kaweka hawara bungeni kwa upendeleao na huyo huyo alipotumwa na Serikali kwenda visiwa gani sijui huko, yeye akamrudisha kutokea New York. Sasa tuchaguwe kiongozi kama huyo?

Slaa ndio usiseme, nae nimeshamwelezea mapungufu yake huko juu.

Hakuna upinzani.

Bora tuwachague humohumo CCM. Zimwi likujualo halikuli likakwisha.

Hili zimwi pamoja na kutujua lishakula limetumaliza

Kila upande unanuka

Polisi kunanuka rushwa

Mahospitali kunanuka rushwa
Mashuleni rushwa
Mahakama ndo hazisemeki aibu tupu

Tra na maofisi mengine ya serikali yananuka rushwa

Mpaka serikali za mtaa zinanuka rushwa

Ni rushwa rushwa rushwa rushwa ..... hakuna uwajibikaji wala uzalendo..ni mwendo wa kukamata fursa tu

Wachache wakinufaika na wananchi walio wengi wakiumia

Ushabiki wa kisiasa ukae pembeni na kutazama tatizo hiki kwa jicho la tatu
 
Mkuu biashara hiyo imeshamiri pale Mayfair Plaza Mikocheni,hadi kwa shs 80,000/= unapata tena siku hiyo hiyo kama ukienda saa 2 asubuhi au Kesho yake tayari una ganda,pale bwana hadi vyoo vyao vinanuka rushwa maana watu wanakula na kuny.a rushwa kwa kwenda mbele!!!

Acha ujinga kushabikia rushwa,
 
Tatizo vyama vingine sijaona Presidential Material, chama kikuu cha upinzani sasa hivi ni chadema nacho kimeonesha katika chaguzi ndogo tatu zilizopita kuwa hakikubaliki na wananchi walio wengi.

1. Chopa tatu kata Tatu - wameanguka vibaya sana.
2. Kalenga
3. Chalinze

Licha ya hayo, nani wa kumpa Urais chadema? Mbowe? ambae nimesema juu huko ana rekodi mbovu kabisa ya uongozi, chama chake hakina demokrasia, kabadili katiba yao ya kipindi cha uongozi kinyemela, haambiliki, hashauriki, kafukuza wanachama wenye akili kubwa kwa kuwa tu hawakubaliani nae. Kaweka hawara bungeni kwa upendeleao na huyo huyo alipotumwa na Serikali kwenda visiwa gani sijui huko, yeye akamrudisha kutokea New York. Sasa tuchaguwe kiongozi kama huyo?

Slaa ndio usiseme, nae nimeshamwelezea mapungufu yake huko juu.

Hakuna upinzani.

Bora tuwachague humohumo CCM. Zimwi likujualo halikuli likakwisha.
Hebu tuache chuki binafsi, ukame wa fikra na jazba za kisiasa zisizo kuwa na tija na baadala yake tujikite katika mada husika. Naona unajaribu kwa nguvu zote kuikwepesha mada husika na kuanza kuongelea watu binafsi. Hii mada haimhusu Dr. Slaa wala Mbowe hata kidogo. Sasa zijui chuki zako kwa watu hawa zinatokana na nini!
 
Mada inahusu rushwa ya laki moja ili kupata driving licence.. Sasa unatuletea utumbo gani hapa?????!!!! Au ndio matokeo ya shule za kata?????

Fata mjadala ulipoanzia, usidandie daladala kwa mbele utaumia.
 
Back
Top Bottom