kwa kaka zangu wa JF....

Enzi zetu sisi, mwanaume mzuri ni yule mwenye kufanyakazi au mwenye uwezo wa kulima ekari kadhaa shambani. Lakini siku hizi mwanaume mzuri ni yule mwenye uwezo wa kushindana na wanawake kujipodoa mbele ya kioo.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Enzi zetu sisi, mwanaume mzuri ni yule mwenye kufanyakazi au mwenye uwezo wa kulima ekari kadhaa shambani. Lakini siku hizi mwanaume mzuri ni yule mwenye uwezo wa kushindana na wanawake kujipodoa mbele ya kioo.

ex pastor hao wanaojipodoa hata mie siwataki.
 
mi sura yangu mbaya na pesa sina lakini kuna mwanamke mkali kichizi anataka nimuoe...kila tukikutana nikimpa yule cobra pale chini anapiga kelele 'nioe, nioe, nioe handsome wangu'..kumbe pamoja na ubaya wangu mm handsome duh!
 
mi sura yangu mbaya na pesa sina lakini kuna mwanamke mkali kichizi anataka nimuoe...kila tukikutana nikimpa yule cobra pale chini anapiga kelele 'nioe, nioe, nioe handsome wangu'..kumbe pamoja na ubaya wangu mm handsome duh!

anapiga hayo makelele ya nioe nioe sbb hapo zinakua zimemruka,na hapo anakua hakuwazi ww,labda kichwani mwake kuna picha ya mmoja wa hawa mahandsome hapa,
subiri avae gagulo kama utasikia akisema tena nioe.
au labda ww ni handsome lkn hujijui.
 
It's all in a 'man' weather he believes he is handsome or not. If he is handsome but he thinks the otherway he ain't handsome no matter how much money he's got. If one believes he is handsome thats all he needs. Damn i'm Handsome,my avatar speaks 4 it self.
 
kaka,
kama unamuonekano wenye viwango kama vya hawa ktk picha basi fahamu kuwa wewe ni handsome.

Kama huna muonekano huu lkn account yako ina kiasi cha kutosha kumuhonga mwanamke PRADO, basi usihuzunike sana maana hata wewe ni handsome.

kama huna muonekano kama wa hawa ktk picha na huna pesa basi wewe ni ugly man.

NB:nafanya tu kama nyie wakaka mnavyoweka picha za wadada hapa na kutoa mitazamo yenu ambayo mingine inakera hivyo kwa atakayekereka anisamehe bure.

week-end njema kwa mahandsome popote mlipo,
kwa ma ugly men fanyeni kazi kwa bidii.

2dalvud.jpg



rich.jpg







216912_159500157443742_120677067992718_356213_7536320_n.jpg
si rizki hawa wanaonekana
 
May be utupe qualification za handsome maana hapo umeweka tuu sura za watu. Hebu tupe mwanaume handsome ana qualification gani. Maana mwanaume hasifiwi sura bana. Kuna wanaume wana mshiko na wanafanya kazi vizuri hao ndio wanaume sio sura bana. Kwani mwanaume unataka sura nzuri ya kazi gani.
 
Mungu alipoumba kila kitu katika ulimwengu huu alisema 'Tazama ni chema sana', hivyo mimi naamini hakuna mwanadamu mwenye sura mbaya bali ubaya huo unatafsiriwa na mtazamo ama maono ya mwonaji. Pita mitaani utaona kwa mfano mwanaume ambaye kwa mtazamo wako ana sura mbaya lakini ana mke wake anayempenda sana. Vivyo hivyo hata kwa akina mama unaweza kumwona mwanamke mwenye sura mbaya kwa mtazamo wako lakini ana mume anayempenda sana wala haoni aibu ama haya kumsifia mkewe hata mbele za marafiki zake.

Conclusion: Kila mwanamke ni 'beautiful na kila mwanaume ni 'handsome'; Ugliness inakuja mbele yetu kwa kufuata mitazamo yetu tu!
 
Makoye nakubaliana na wewe. Binadam sisi ndio tunawacategorize watu kwenye handsome na beautiful ila Mungu alipotuumba alituumba tukiwa na sura zetu. Ila ukishafika sasa huku duniani kuna mtu atakuona anasema huyu ni handsome au huyu ni beautiful. Ila ni machoni mwake yeye muonaji na sio lazima viwango hivyo vifanane na vya mtu mwingine maana kwa mtu mmoja naweza kuwa handsome ila machoni mwa mwingine nikawa wa kawaida sana. Kila mtu ni mzuri kwa jinsi alivyo na ni notion iliyowajaa watu kusema huyu ni handsome au huyu ni beautiful. Ila machoni mwa Mungu kila mtu ni either handsome au beautiful kulingana na alivyoumbwa.
 
sasa cheusi nitafanikiwa kweli mimi? mtazamo wangu kuwa na dem anaonekena kama avatar yako na mimi mwenyewe huyo hapo, namaanisha 26164134409931761410851.jpg nitakubalika???????????????????????????????????????
 
mwanaume pesa ndevu urembo.
pamoja na hayo hao wote nimewakatia mbali fwedha,legsome.
na ukizingatia sijarithi hata sent tano na wazazi wangu ni wakulima huko kijijini.
 
Back
Top Bottom