Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Hao wote unakuta na Vibamia na wanaishia ku-compensate huo upungufu wao kwa kujiweka Sex Metro.
Vijana/Wazee wenye kimguu cha mtoto hawahitaji kujiweka WAREMBO namna hiyo.....
Halafu usidanganye watu hapa, Wanawake mnapenda sana BAD GUYS na UGLY guys..... Wakumbuka Whitney Houston alivyokuwa anahaha kuwa na Mvuta miunga Bobby Brown? Kisa tu kajamaa kalijisifu kwenye wimbo (sijui kweli?) kuwa kanaweza ku-pump till a lady is hot.....
Vipi ukiolewa na Lil Wayne na kila ukiamka unamuona kalala pembeni? Hizo hela zake .............. Ila kama hana Kibamia, ahhh, itakuwa kama Kibuyu cha Mtusi cha maziwa na INZI. Mtafukuzana tu kulalia kitanda chake ili na nyie awamimbe maana jamaa kwa ku-Mimba vibinti, hajambo.