kwa kaka zangu wa JF....

kwa kaka zangu wa JF....

tatizo unadhani sisi wakaka tunajali! Hujui psychology ya mwanaume na mwanamke ni tofauti! Kweli nakuonea huruma! Hata kama mimi ni ugly kiasi gani, bado nitapata k tu! Maana kupata k haijalishi unavyoonekana. Nyie mtu asiposema wazuri, basi mnaumia kweli!

WEWE JAMAA NAKUKUBALI SANA. Umenena kama nabii!!
 
Cheusie babygirl, nilikuwa sijitambui. Ahsante kwa kunifahamisha rasmi kumbe mimi babu Ni Bonge la Handsome.
 
Da Cheusimangala huo ni mtizamo wako, mbona wengi hapo wamekaa kisharobaro? Kama unahusudu sharobaro kalaghabaho. Dume rijali shurti ligangamale bana, na ndicho wanachomaindi dadaz wengi.
 
Mbona siwaelewi ma HB wenyewe, maana wamekaa utadhani mashoga, subiri wiki ijayo nitakuletea sampo za ma HB na mimi mwenyewe nikiwepo.
 
Mimi vigezo vyote ninavyo, kwa muonekano ni handsome kama ninavyoonekana katika avatar, na pesa pia ipo.....
 
Mimi vigezo vyote ninavyo, kwa muonekano ni handsome kama ninavyoonekana katika avatar, na pesa pia ipo.....

katavi unafahamu fika kuwa nakukubali kama mmoja wa mahandsome,na thread nilikuwekea,ila nilikua sijui kama na pesa pia unazo,ukijumlisha na hizo pesa u r the most handsome guy in all JF
 
kaka,
kama unamuonekano wenye viwango kama vya hawa ktk picha basi fahamu kuwa wewe ni handsome.

Kama huna muonekano huu lkn account yako ina kiasi cha kutosha kumuhonga mwanamke PRADO, basi usihuzunike sana maana hata wewe ni handsome.

kama huna muonekano kama wa hawa ktk picha na huna pesa basi wewe ni ugly man.

NB:nafanya tu kama nyie wakaka mnavyoweka picha za wadada hapa na kutoa mitazamo yenu ambayo mingine inakera hivyo kwa atakayekereka anisamehe bure.

week-end njema kwa mahandsome popote mlipo,
kwa ma ugly men fanyeni kazi kwa bidii.

2dalvud.jpg

rich.jpg

216912_159500157443742_120677067992718_356213_7536320_n.jpg
Fanya ufanyavyo....kuwa na Elimu pia Pesa za kutosha,sababu hakuna plastic surgary ya Pesa au Elimu.
 
Cheusie babygirl, nilikuwa sijitambui. Ahsante kwa kunifahamisha rasmi kumbe mimi babu Ni Bonge la Handsome.

We kidonge labda hela uwe umepata leo!kama sio refer no.3 KK(Usimind dogo)
 
katavi unafahamu fika kuwa nakukubali kama mmoja wa mahandsome,na thread nilikuwekea,ila nilikua sijui kama na pesa pia unazo,ukijumlisha na hizo pesa u r the most handsome guy in all JF
Tehe tehe teheeeh!!
 
Cheusimangala mambo ya uzuri sio ishu kwetu sisi wanaume ila kuwa na balls ni lazima.
 
rich.jpg

CHEUSIMANGALA, NAOMBA CONTACT ZA HUYU HAPA,
manake naona moyo umehama kifuani mwangu mara baada ya kuiona hii picha,
sasa sijui na mvuto wa kwenye picha tu, au ana mvuto wa asili kweli????,
Manake hizi picha wakati mwingine mmmh!!........lol
 
hahah mie nampenda chausi na mada zake....mtata saana wewe....
hio definition ya ugly man imeniacha hoi lol:happy::happy:
 
offcoz kama una pesa k utapata,
lkn usitake kuniambia kuwa hamna wanaume wanaotamani k na hawazipati la sivyo msamiati 'nyeto' usingekuwepo.
au kama ww ni ugly na pesa huna unaweza kupata K lkn ni zile ugly Ks..
by the way what does K mean?maana najisemea tu hata sielewi maana yake.

aaahahahaha..my ribs!
 
aaahahahaha..my ribs!...
 
rich.jpg

CHEUSIMANGALA, NAOMBA CONTACT ZA HUYU HAPA,
manake naona moyo umehama kifuani mwangu mara baada ya kuiona hii picha,
sasa sijui na mvuto wa kwenye picha tu, au ana mvuto wa asili kweli????,
Manake hizi picha wakati mwingine mmmh!!........lol

kumbe tuna taste zinafanana,
yaan huyu baba ....ngoja nisiseme sana,halafu kuna wababa wengine mvi zinawafanya wawe hot,wengine mvi zinawafanya waonekane wamechoka.
huyu ni handsome tena zaidi hata ya kwenye hii picha,nilishawahi kumuona live,hebu pata picha jinsi roho yangu ilivyokua ikitapatapa siku hiyo.
ni movie star wa kinegeria.
contact zake inabidi tushirikiane kuzipata coz nahisi sio rahisi.
 
wakuu nimechunguza sana nione ni nin hawa washkaji ktk hizi picha walichona cha zaidi sijaona...............!
Ila nimegundua kitu wakuu.........................!
jamaa wote aliotuwekea cheusitii wana vindevu......................!
hakuna hata mmoja wao asiye na ndevu kama mim.........................!
my take is................!
ukiwa na ndevu wewe ni handsome machoni kwa cheusitii..............................!
Dena Amsi ndiye anayefahamu uhandsome wangu.........................!
cheusitii mwanume husifiwa kwa mashine yake sio kwa urembo..........................!
 
Back
Top Bottom