kwa kaka zangu wa JF.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa kaka zangu wa JF....

Discussion in 'Jamii Photos' started by cheusimangala, May 6, 2011.

 1. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  kaka,
  kama unamuonekano wenye viwango kama vya hawa ktk picha basi fahamu kuwa wewe ni handsome.

  Kama huna muonekano huu lkn account yako ina kiasi cha kutosha kumuhonga mwanamke PRADO, basi usihuzunike sana maana hata wewe ni handsome.

  kama huna muonekano kama wa hawa ktk picha na huna pesa basi wewe ni ugly man.

  NB:nafanya tu kama nyie wakaka mnavyoweka picha za wadada hapa na kutoa mitazamo yenu ambayo mingine inakera hivyo kwa atakayekereka anisamehe bure.

  week-end njema kwa mahandsome popote mlipo,
  kwa ma ugly men fanyeni kazi kwa bidii.

  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]  [​IMG]
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,723
  Likes Received: 1,229
  Trophy Points: 280
  Sawa,.........
   
 3. B

  Batale JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 896
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 80
  Mi niko katika kimdi la kwanza ingawa ndevu zangu zinamis mvi tu kama ni kigezo cha mtizamo wako Cheusimangala nitaweka dawa.
   
 4. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,019
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280
  Kaaazi kweli kweli.
   
 5. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,734
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mimi sina muonekano huo, wala sina pesa ya kuhonga PRADO lakini nimejaaliwa kuwa "mchezaji" mahiri, je na mimi sio handsome??.
   
 6. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  usiweke dawa,baki hivyo hivyo,madawa sio mazuri ktk mwili wa binadamu.Hongera kwa kuwa handsome.
   
 7. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ngojea nitakijibu baadae maana sitaki kukurupuka na jibu la hili swali muhimu.
   
 8. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 5,944
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 280

  Pesa kidogo ya kubadilisha mboga+ Jogoo imara mpanda mitungi= Handsome

  Ni Mtazamo tu washikaji..............
   
 9. m

  mkulimamwema Senior Member

  #9
  May 6, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi sipo kote ila kazi yangu nikikufanyia kila mara ukihitaji utawakimbia wote hao in short naweza and Iam blessed coz nina kifaa safi,kizito na chenye nguvu,naogopa kugusa mke wa mtu kozi wadada wengi nimewapiga chini ila wanaomba kuonja tu(Iam serious)
   
 10. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 5,602
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Mimi sina kwalifikesheni yeyote kati ya hizo ulizotaja, lakin ni mtaalamu wa kwenda uvinza na ni subscriber mzuri tu wa ule mtandao wetu,
  vp stil am ugly ??? :msela::bange:
   
 11. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  I love your confidence.
  keep it up.
   
 12. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mmmmmmmh huon kuwa kutumia ule mtandao kunakufanya ugly phisically n spiritually?
  hebu acha kutumia mitandao haramu japo uihandisamishe roho yako.
   
 13. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  tatizo unadhani sisi wakaka tunajali! Hujui psychology ya mwanaume na mwanamke ni tofauti! Kweli nakuonea huruma! Hata kama mimi ni ugly kiasi gani, bado nitapata k tu! Maana kupata k haijalishi unavyoonekana. Nyie mtu asiposema wazuri, basi mnaumia kweli!
   
 14. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  offcoz kama una pesa k utapata,
  lkn usitake kuniambia kuwa hamna wanaume wanaotamani k na hawazipati la sivyo msamiati 'nyeto' usingekuwepo.
  au kama ww ni ugly na pesa huna unaweza kupata K lkn ni zile ugly Ks..
  by the way what does K mean?maana najisemea tu hata sielewi maana yake.
   
 15. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,130
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mwanaume asifiwi uzuri..
   
 16. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  of course hadhi yako ina-determine kwa kiasi fulani hadhi ya k utakayopata! Ndio maana Jay Z anamla Beyonce. Lakini kukosa k...hapana sikia hiyo. Hata kichaa anapata angalau mara moja kwa mwaka. Nyeto inakuja pale ambapo hupati k wakati ule unahitaji. Ndio maana hata mademu pia wanapiga. Kuna kitabu kimoja nakisoma, kinaongelea men are visual creatures huku mademu wakiwa more relational. Ndio maana mademu mnajipamba ili ku-attract madume, na wanaume wanaongea ili kupata mademu. K = k*ma
   
 17. emma-chriss

  emma-chriss Senior Member

  #17
  May 6, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  being handsome is not an issue, the gud heart,confident and proper working D**K is everything!
   
 18. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #18
  May 6, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,985
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Hakuna kitu sipendi kama mwanaume kuvaa mashati ya vitenge au khanga!
   
 19. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  why?
  mim sivutiwi na wanaume wanaovaa hereni kama huyo aliyevaa kitenge,au wanaosuka au kufuga nywele,au wanaojiremba kwa poda.
   
 20. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  well said.
  mim hata ukiwa huna proper working Dickson lkn kama una moyo uliojaa mapenzi kwangu na kwa wengine naweza kukukubali na wala sitatafuta wakukusaidia......
   
Loading...