Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

mshana jr

I cant believe CHADEMA mnaimba nyimbo zile zile tulizozizowea kuzisikia kutoka kwa wanaCCM dhidi ya Dr Slaa,kisa?kapishana na Mbowe.Ila sishangai,yalianza kwa Dr Kaborou,akaja Wangwe,Zitto akafuatia na sasa ni zamu ya Dr Slaa,nani atafuatia?Oh yeah ni yule atakayepishan na --------- Mbowe.
Ulisoma ukaielewa topic ya mshana jr. au umesoma jina Slaa na kujibu? Ona sasa yako wapi? Matusi yoote aliyoyatoa kwa viongozi wa CCM angekuja kulamba viatu vya baba Jesca/Bashite? Kukana kiapo chake ndo kunamponza, atazunguka mpaka atajikuta anavaa makopo.
 
Ulisoma ukaielewa topic ya mshana jr. au umesoma jina Slaa na kujibu? Ona sasa yako wapi? Matusi yoote aliyoyatoa kwa viongozi wa CCM angekuja kulamba viatu vya baba Jesca/Bashite? Kukana kiapo chake ndo kunamponza, atazunguka mpaka atajikuta anavaa makopo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
mshana jr

Acha kupotosha watu, kanisa katoriki lina sheria zake, ukiwa mtawa/Padre unaruhusiwa kuendelea na huduma maisha yako yote au unaruhusiwa kuomba kumpumzika na kuendelea maisha ya kawaida kama muumini mwingine wa kawaida. Dr Slaa aliomba kustaafu upadre kabla ya ujio wa Papa John II kuja tanzania miaka ya 1989 wakati huo akiwa na katibu wa TEC lkn kanisa lilimwomba asipumzike mpaka ziara ya PAPA ikamilike, kama ingekuwa ni dhambi basi kanisa lisinge mwomba kuendelea. baada ya ziara ya PAPA nchini Dr Slaa alikubaliwa na makao makuu kustaafu na kuagwa na kanisa kwa sherehe kubwa. Baada ya kustaafu Dr. Slaa alirudi kwao Karatu na kuanzisha miradi ya jamii, aliweza kupata wafadhiri mbalimbali hivyo kufanikiwa kuleta maendeleao Karatu. Baada ya wananchi kuona mafanikio yake, walimwomba agombee ubunge, na kweli akagombea kupitia CCM, CCM waliona kama ni mgeni katika siasa wakakata jina lake na kumpa mshindi wa tatu aliyekuwa mbunge wakati huo. Hivyo basi wananchi wakamshawishi kuhamia chama cha upinzani na kuwa wangempa kura, Dr Slaa akahamia CHADEMA wakati huo CHADEMA hakina umaarufu kama sasa, chama kilichikuwa maarufu kilikuwa ni NCCR mageuzi. Dr Slaa akashinda kwa kishindo na kuwa mbunge wa kwanza kutoka CHADEMA na Dr Warid Kabour kutoka jimbo la Kigoma mjini.

Kwa wasio jua Dr Slaa ndiye aliyeanziasha taasisi ya tiba ya CCBRT na ni mkurugenzi wa board. Nafikiri ni taasisi peke hapa nchini inayotoa tiba ya ulemavu wa viungo na macho kwa gharama nafuu.


In 1994: With the support of CBM, Dr. Willbrod Slaa, (still on the CCBRT Board) and Geert Vanneste founded CCBRT. Their mission was to contribute towards poverty alleviation by making rehabilitative services accessible and affordable to people with disabilities. In 1994, CCBRT was registered as a private Non-Governmental Tanzanian Society (NGO), under the Tanzanian Societies Act, No SO8261.
Katika Kanisa Katoliki hakuna neno la "KUSTAAFU" kwa Mtawa, padre wala Askofu kwa sababu kuu moja, "Katika Kanisa Katoliki kumtumikia MUNGU hakuna kustaafu bali ni jambo la milele uwe duniani ama mbinguni". Hakuna siku mtu akasema nimestaafu.

Kwa suala la Dk. Tlaa aliacha kufuata wito wa Upadre kwa utashi wake na sababu zake ila tusicheze na maneno eti 'alistaafu'. Hakuna padre anayestaafu. Hiyo si kazi ya kuajiriwa kama kwenye serikali au kampuni na taasisi binafsi.
 
NIMEANZA KUTOKUWA NA IMANI NA HAWA WACHUNGAJI JAPO SI WOTE, MSHANA, NAPATA MASHAKA KWA HILI LILOKOLE SLAA, AMEMSHINDWA HAWALA SIJUI MKE! ATAWEZA KUSHAWISHI WAJINGA WAJINGA WA RAISI WA VIWANDA! VINAVYOSUBIRIWA HAVIJAJA!
 
NIMEANZA KUTOKUWA NA IMANI NA HAWA WACHUNGAJI JAPO SI WOTE, MSHANA, NAPATA MASHAKA KWA HILI LILOKOLE SLAA, AMEMSHINDWA HAWALA SIJUI MKE! ATAWEZA KUSHAWISHI WAJINGA WAJINGA WA RAISI WA VIWANDA! VINAVYOSUBIRIWA HAVIJAJA!
Shekeli ndio dereva wa medulla yake kwa sasa
 
Sio Mbowe kwa wenye kufikiri kwa makini. Slaa ni mkiristo mzuri kuliko wengi wakristo maana alifikia ngazi ya Upadri. Hivyo anaijua vizuri Biblia. Kutokana na Biblia kuna yafuatayo:
1. Upatapo hasira jua linachomoza usikae na hasira hiyo hadi jua likazama.
2. Dhambi hata iwe nyekundu kama damu ukitubu inakuwa nyeupe kama karatasi.
3. Sauli alikuwa mwiba mkali kwa wafuasi wa Yesu, aliua kupindukia baadae akageuka na kuwa mtume.
4. Mussa alikaa kwa faraho akiwatesa Waisrael lakini ndiye aliongoza msafara wao kuwapeleka kuelekea nchi ya ahadi japo hakuwafikisha.
5. Yapo mengi.
Ukristo sio KUJUA Biblia Ukristo ni KUIISHI Biblia.
 
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .

Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.

Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.

Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.

Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.

Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.

Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.

Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .

Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.
Kabisa mkuu...mwangalie hata yule karugendo.maisha yake hayawezi kuwa sawa
 
mshana jr

I cant believe CHADEMA mnaimba nyimbo zile zile tulizozizowea kuzisikia kutoka kwa wanaCCM dhidi ya Dr Slaa,kisa?kapishana na Mbowe.Ila sishangai,yalianza kwa Dr Kaborou,akaja Wangwe,Zitto akafuatia na sasa ni zamu ya Dr Slaa,nani atafuatia?Oh yeah ni yule atakayepishan na --------- Mbowe.
Hadi sasa waweza toa majibu aina hiyo?
 
Screenshot_20220109-204248.jpg
 
NIMEANZA KUTOKUWA NA IMANI NA HAWA WACHUNGAJI JAPO SI WOTE, MSHANA, NAPATA MASHAKA KWA HILI LILOKOLE SLAA, AMEMSHINDWA HAWALA SIJUI MKE! ATAWEZA KUSHAWISHI WAJINGA WAJINGA WA RAISI WA VIWANDA! VINAVYOSUBIRIWA HAVIJAJA!
Slaa ni mkatoliki mwenzako.kaparuane nae huko parokiani
 
Back
Top Bottom