Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Huu uteuzi unaonesha ni jinsi gani Rais Magufuli anavyoona mbali. Hakika ataacha kumbukumbu kubwa ya utawala wake.
Tafakari kwa makini uteuzi huu unaenda kummaliza Dr... Ubalozi sio post ya milele.. Atatafutiwa kazi nyumbani atarejea na huo ndio utakiwa mwisho... Umeona alichofanyiwa Sefue?
 
Wewe umeleta taarifa ya uteuzi ukaiacha uchi, kumbe hoja ndiyo hiyo. Tusubiri kutimua kwa utabiri wako huo. Ila kwangu mimi, Dr Slaa kisiasa ni asset kubwa kitaifa, kama Balozi, ukizingatia agenda za CHADEMA alipokuwa Katibu Mkuu, siyo ya sasa CHADEMA maslahi.
 
Sefue.... Wamemfanyaje Mkuu?
 
Wewe umeleta taarifa ya uteuzi ukaiacha uchi, kumbe hoja ndiyo hiyo. Tusubiri kutimua kwa utabiri wako huo. Ila kwangu mimi, Dr Slaa kisiasa ni asset kubwa kitaifa, kama Balozi, ukizingatia agenda za CHADEMA alipokuwa Katibu Mkuu, siyo ya sasa CHADEMA maslahi.
Nimeirudisha hii mada makusudi soma tangu mwanzo... Dr ni msomi na atafanya makubwa ila kiapo kitamrudia iko hivyo always... Ataanza kwa mafanikio sana halafu from nowhere ataanguka... Fuatilia historia yake tangu alipotoka seminary utaniambia
 
Masikini Dr.
Sasa anaendeshwa kama vile ambavyo unaweza kumuendesha mkimbizi asie na mbele wala nyuma. Sii kwa hiari yake ni maisha yadhihirishayo ukosefu wa uadilifu ambayo yalipangwa na Mungu kwa maana ya kujua yote kabla ya kutokea. Hivyo basi Mungu alimwona Slaa akiishi maisha ya kutojiamini kama swala na kutokamilisha lolote hapa duniani. Hii ni kanuni ya maumbile kama Mungu alivyo yaumba kwamba ukiiharibu asili unavuna uharibufu. Hakuna wa kuweza kuigeuza hii kanuni ya maumbile ifanye tofauti. Hakuna anaeweza kumwokoa Slaa kuishi maisha ya kutangatanga. Upadre kashindwa, ccm ubunge jimboni kashindwa, chadema ukatibu kashindwa, uaminifu wa ndoa kashindwa, kila kiapo kaasi. Kibaya zaidi kaasi kiapo cha kumtumikia Mungu.
Ni afadhali uasi kila kitu na umuasi kila mtu lakini sii kumuasi Mungu kama alivyofanya Dr.
Ona kutoka kiapo cha useja hadi kupora mtu mke wa ndoa.
Na hata huu ubalozi ambao hana hiari nao hataukamilisha maana ana laana ya kutoivisha chochote hapa ktk sayari ya dunia.
 
Nimeirudisha hii mada makusudi soma tangu mwanzo... Dr ni msomi na atafanya makubwa ila kiapo kitamrudia iko hivyo always... Ataanza kwa mafanikio sana halafu from nowhere ataanguka... Fuatilia historia yake tangu alipotoka seminary utaniambia

Dhana yako hiyo, katika taaluma ya menejementi, huitwa Halo effect: you maintain a biased impression of somebody because of his/her past history, kwamba mtu anakua na hisia mbaya na binadamu mwenzake kutokana na alivyomfahamu awali.

Mkuu wa 'dunia ya giza', jicho lako la tatu linaanza kupungua nguvu, ati.
 
Siwezi kukubishia ni mtazamo wako lakini likitokea la kutokea usidhani Dr Slaa yule mkimbizi aliyepata hadhi ya ubalozi atabaki kuwa mkimbizi tena... Tuuache muda uamue
 
......Vipi tena unabii haujatimia!!!!! Hivi duniani humu kuna cheo cha milele hadi ubalozi kuojiwa? Maisha yenyewe ni ya muda mfupi! Kupanda na kushuka kwa mwanadamu yeyote ni jambo la kawaida sana...tunasoma katika Maandiko Matakatifu kuna nyakati na wakati kwa kila jambo....kuna wakati wa kulia.....kuna wakati wa kucheka! Ramli imegonga mwamba!
 
Maneno ya Jr. Mshana, ni hakika kabisa. Sio Dr. Slaa tu, yeyote aliyeapa kiapo akaenda kinyume na kiapo alichoapa, asitegemee mafanikio bali maanguko tu.
 
......Vipi tena unabii haujatimia!!!!! Hivi duniani humu kuna cheo cha milele hadi ubalozi kuojiwa? Maisha yenyewe ni ya muda mfupi! Kupanda na kushuka kwa mwanadamu yeyote ni jambo la kawaida sana...tunasoma katika Maandiko Matakatifu kuna nyakati na wakati kwa kila jambo....kuna wakati wa kulia.....kuna wakati wa kucheka! Ramli imegonga mwamba!
Ukifikiri kwa kino cha macho yako uko sahihi asilimia mia moja tena nakuunga mkono ila sasa nakuomba ufikiri kwa mtazamo wa kiroho... Majibu yatakuwa tofauti kabisa .. Kumbuka spiritual world is timeless... Sidhani kama unalifahamu hili na juu ya yote Jiulize kwanini nimeifufua hii mada ambayo kwa hali zote inapingana na hali ya sasa ya Dr Slaa
 
1.Kwanini umeifufua ni rahisi sana ni kwamba dhamiri yako inakushtaki kumbe ili kujiliwaza umeiweka hiyo taarifa, na kwa vile unajua mawazo ya watz, ili waseme mbona kaiweka wa kwanza.
2.Kwa mtazamo wa kiroho Mungu ni UPENDO, mtu wa kwanza ambaye Biblia imetuhakikishia yuko mbinguni ni yule Mwizi pale Msalabani. Hakuna lolote alifanyalo mwanadamu linalomwongeza Mungu kitu au linalompunguza Mungu kitu. Mungu is a PERFECT BEING. Hutende dhambi au hutende mema Mungu hapungui wala haongezeki kitu.....hayo yanatufaha sisi wanadamu na wokovu wetu.
3.Ni kweli kwa Mungu hakuna muda... siku moja sawa na siku elfu moja na siku elfu moja sawa na siku moja!!!!! Kabla haujaumbwa tumboni mwa mama yako nalikujua......nalikutakasa!
4. Nisichokubaliana na wewe ni madai yako kuwa Dr Slaa kwa vile alikuwa padre basi ataandamwa na mikosi. ABSOLUTELY WRONG. Kule Visiwa vya Haiti padre muhasi aliliongoza taifa hilo kwa ngazi ya URAIS
 
Hapa nazidi kuwatambua watabiri hatari humu Jf.

Jf ni habar ya mujini
 
1.Kwanini umeifufua ni rahisa sana ni kwamba dhamiri yako inakushtaki kumbe ili kujiliwaza umeiweka hiyo taarifa, na kwa vile unajua mawazo ya watz, ili waseme mbona kaiweka wa kwanza.
2.Kwa mtazamo wa kiroho Mungu ni UPENDO, mtu wa kwanza ambaye Biblia imetuhakikishia yuko mbinguni ni yule Mwizi pale Msalabani. Hakuna lolote alifanyalo mwanadamu linalomwongeza Mungu kitu au linalompunguza Mungu kitu. Mungu is a PERFECT BEING. Hutende dhambi au hutende mema Mungu hapungui wala haongezeki kitu.....hayo yanatufaha sisi wanadamu na wokovu wetu.
3.Ni kweli kwa Mungu hakuna muda... siku moja sawa na siku elfu moja na siku elfu moja sawa na siku moja!!!!! Kabla haujaumbwa tumboni mwa mama yako nalikujua......nalikutakasa!
4. Nisichokubaliana na wewe ni madai yako kuwa Dr Slaa kwa vile alikuwa padre basi ataandamwa na mikosi. ABSOLUTELY WRONG. Kule Visiwa vya Haiti padre muhasi aliliongoza taifa hilo kwa ngazi ya URAIS
Hivi wewe ni padre au paroko?
 
Back
Top Bottom