Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Licha ya Dr Slaa kutumika kisiasa kughafilisha mchakato wa katiba mpya.. Lakini yeye kama yeye ana matatizo binafsi makubwa sana
Maana ya kiapo cha upadri
Mahusiano
Kukosa mrithi wa kibailojia atakayeendeleza jina
Matatizo ya kiroho
Hofu na sense of guilty
Kinyongo na hasira ya kuona CHADEMA inazidi kushamiri, inazidi kupendwa na inazidi kuwa imara hata baada yeye kutumika kwa asilimia mia moja kutaka kukiuwa hiki chama.. Anaumia sana sana..!

Dr. Slaa anateswa na vingi..TUMSAMEHE.. With CHADEMA...NO HATE NO FEAR..ONE LOVE![emoji173]
 
Kabsaa kubwa zaidi....ni hilo la kukosa chalii wa kumdefine kama mwanaume Rijali, limempa Stress ziszozasayari hii.
 
Hicho ndicho mama yangu alikisema jana,akatoa mifano ya mapadre wengine walioasi kiapo na jinsi walivyoishia. Mimi namhurumia kuangukia ktk mikono ya yule mama, usiku nimeota kwamba she is an agent of the devil. Mama aliudhika sana kitendo cha Slaa kuwapakazia maaskofu.
Hivi mshumbusi yuko bado na dr mihogo

Slaa soma hapa!![emoji115][emoji115][emoji115]
 
Licha ya Dr Slaa kutumika kisiasa kughafilisha mchakato wa katiba mpya.. Lakini yeye kama yeye ana matatizo binafsi makubwa sana
Maana ya kiapo cha upadri
Mahusiano
Kukosa mrithi wa kibailojia atakayeendeleza jina
Matatizo ya kiroho
Hofu na sense of guilty
Kinyongo na hasira ya kuona CHADEMA inazidi kushamiri, inazidi kupendwa na inazidi kuwa imara hata baada yeye kutumika kwa asilimia mia moja kutaka kukiuwa hiki chama.. Anaumia sana sana..!

Dr. Slaa anateswa na vingi..TUMSAMEHE.. With CHADEMA...NO HATE NO FEAR..ONE LOVE![emoji173]
👉Kinyongo na hasira ya kuona CHADEMA inazidi kushamiri, inazidi kupendwa na inazidi kuwa imara hata baada yeye kutumika kwa asilimia mia moja kutaka kukiuwa hiki chama.. Anaumia sana sana..!👈

Mshanah is this true????Kweli CDM inazidi kupendwa,na nani........!!!!!!Really,I don't think so.Hata pamoja na udhaifu wa CCM,sidhani kama kuna mtu anayeweza kuipenda CDM kwa sasa.CDM ina-hitaji strategies mpya za kisiasa ili iweze kutoka ilipo,vinginevyo itasahaulika kabisa kwenye ulingo wa siasa.
 
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .

Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.

Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.

Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.

Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.

Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.

Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.

Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .

Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.
Dr nilikuwa namwamini lakini kwa Sasa hapana. Kashushia heshima mapadre kwa ajili ya siasa.

Ni afadhali angekaa kimya. Hili la Lissu aombe radhi. Hili suala la Lissu na kina Ben asiseme ninadhani, ameshataja wahusika tuombe kina kibatala waanze kukomaa nae mahakani.
 
[emoji117]Kinyongo na hasira ya kuona CHADEMA inazidi kushamiri, inazidi kupendwa na inazidi kuwa imara hata baada yeye kutumika kwa asilimia mia moja kutaka kukiuwa hiki chama.. Anaumia sana sana..![emoji118]

Mshanah is this true????Kweli CDM inazidi kupendwa,na nani........!!!!!!Really,I don't think so.Hata pamoja na udhaifu wa CCM,sidhani kama kuna mtu anayeweza kuipenda CDM kwa sasa.CDM ina-hitaji strategies mpya za kisiasa ili iweze kutoka ilipo,vinginevyo itasahaulika kabisa kwenye ulingo wa siasa.
Ni mtazamo pia Mathanzua
 
Sio Mbowe kwa wenye kufikiri kwa makini. Slaa ni mkiristo mzuri kuliko wengi wakristo maana alifikia ngazi ya Upadri. Hivyo anaijua vizuri Biblia. Kutokana na Biblia kuna yafuatayo:
1. Upatapo hasira jua linachomoza usikae na hasira hiyo hadi jua likazama.
2. Dhambi hata iwe nyekundu kama damu ukitubu inakuwa nyeupe kama karatasi.
3. Sauli alikuwa mwiba mkali kwa wafuasi wa Yesu, aliua kupindukia baadae akageuka na kuwa mtume.
4. Mussa alikaa kwa faraho akiwatesa Waisrael lakini ndiye aliongoza msafara wao kuwapeleka kuelekea nchi ya ahadi japo hakuwafikisha.
5. Yapo mengi.
Rubbish!
 
Licha ya Dr Slaa kutumika kisiasa kughafilisha mchakato wa katiba mpya.. Lakini yeye kama yeye ana matatizo binafsi makubwa sana
Maana ya kiapo cha upadri
Mahusiano
Kukosa mrithi wa kibailojia atakayeendeleza jina
Matatizo ya kiroho
Hofu na sense of guilty
Kinyongo na hasira ya kuona CHADEMA inazidi kushamiri, inazidi kupendwa na inazidi kuwa imara hata baada yeye kutumika kwa asilimia mia moja kutaka kukiuwa hiki chama.. Anaumia sana sana..!

Dr. Slaa anateswa na vingi..TUMSAMEHE.. With CHADEMA...NO HATE NO FEAR..ONE LOVE![emoji173]
mbona ana watoto kazaa na rose kamili? fuatilia utalijua hijo.
 
Attachments

  • JamiiForums-929811283.jpeg
    JamiiForums-929811283.jpeg
    88.4 KB · Views: 20
Back
Top Bottom