kubali ulikosea mkuu
hatuanzishi thread za kichawi kama hizi!
ni balozi hapo vipi?
kwa thread yako kila anayefeli kitu ana tatizo la kiroho, kuanzia lowassa, kafulila, na wengine wote regardless kuwa yuko kwenye siasa au la
hata wewe kuna vingi unafeli katika maisha ila sio eti tatizo la kiroho
slaa may be he is relaxed more than angekuwa chadema leo hii
bado nakusisitiza achana na hii thread, inaonyesha ulivyo na roho mbaya ya visasi kwa watu wako ambao uliwapenda awali wakaenda mbali na wewe
eti huwa hadumu, nani huwa anadumu?hasla huwa hadumu mkuu! its nature u r talking obviously
na lowassa mbona hajadumu sehemu nyingi, kafeli vingi
bado nakubishia mkuu, ulichozungumza is just life na asilimia 90 ya watu wapambanaji huwa hivyo! lakini hawana matatizo ya kiroho