Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.[emoji3064][emoji848][emoji2827][emoji780]

Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa
 
mshana jr

I cant believe CHADEMA mnaimba nyimbo zile zile tulizozizowea kuzisikia kutoka kwa wanaCCM dhidi ya Dr Slaa,kisa?kapishana na Mbowe.Ila sishangai,yalianza kwa Dr Kaborou,akaja Wangwe,Zitto akafuatia na sasa ni zamu ya Dr Slaa,nani atafuatia?Oh yeah ni yule atakayepishan na --------- Mbowe.
njoo usome tena ulichoandika miaka 8 iliyopita kama bado uko hai
 
Lakini upadri na mapadri sio watumishi wa Mungu aliye hai.kiroho hawamo kabisa Ni watumishi wa mshahara ukisoma bible yako vizuri. Kama Kuna mtu yupo huko kwao anategemea mbingu aangalie matendo yake tu atapata jibu
 
Ndio maana heading inasema KWA JICHO LA KIROHO..
 
Mshana jr (nakupa phd ya heshima) kwanini wengine watunukiwe na sisi tusikutunukie bwana? Pokea phd yako. Nafuta neno anko kwenye kuku-address. You are, as from now and then Mshana jr phd[emoji23][emoji23]

You are the legendary! The real man who vehemently saw tomorrow! [emoji120]
 
..You are, as from now and then Mshana jr phd[emoji23][emoji23]..!
Napokea kwa heshima na unyenyekevu mkubwa [emoji7][emoji23][emoji173][emoji1545]
b224079f88d6af9ec2565073b8423285.jpg
 
..You are, as from now and then Mshana jr phd[emoji23][emoji23]..!
Napokea kwa heshima na unyenyekevu mkubwa [emoji7][emoji23][emoji173][emoji1545]View attachment 2736055
[emoji123][emoji123].

Sisi akina Thomaso sasa hata ukituhadaa tulete sadaka kwa nabii wewe nadhani njia haitatosha. Heko sana mkuu mshana jr phd.
 
Huwa nacheka sana mtu anapotumia "Mungu".

Vipi unamwita mtu baba (Padri) hapa dunianni kinyume na biblia halafu uvunge eti "kiapo". Soma:

Mat 23:9
Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.

Wajinga ndiyo waliwao.
 
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .

Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.

Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.

Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.

Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.

Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.

Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.

Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .

Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.
Wewe ni mjinga kama wajinga wengine
Kutoa maoni ni haki yake, kazi zake za ubalozi alizifanya sawasawa
Kupinga ujinga wa CCM kuuza bandari zetu ndiyo makosa?
Sasa chukueni na PhD yake ya darasani maana mama yenu ana ya kupewa bila kufika darasani
 
Silaa anachofanya ndicho sahihi anachotakiwa kutumikia watu, sio ule mchezo wa "bwana awe nanyi ".
 
Wewe ni mjinga kama wajinga wengine
Kutoa maoni ni haki yake, kazi zake za ubalozi alizifanya sawasawa
Kupinga ujinga wa CCM kuuza bandari zetu ndiyo makosa?
Sasa chukueni na PhD yake ya darasani maana mama yenu ana ya kupewa bila kufika darasani
Umeangalia kwa makini lakini hii ni post ni ya mwaka gani?
 
Back
Top Bottom