Kwa herini wana MMU hamtaniona huku tena

Kwa herini wana MMU hamtaniona huku tena

leo ni siku yangu rasmi ya kuagana nawana MMU.kuanzia kesho na kuendelea sitakuwepo huku tena.kwa hiyo nataka kuagana nao vizuri mama sijawahi kugombana na mwana MMU yoyote mimi mtu wa amani tu.

Haya ukifika muda wa kuondoka nambie nikusindikize, hakikisha hakuna ulichosahau.
 
Hahhhahhhahaha ngoja akapambane na wazee wanaojua kupigisha wenzao ban
 
Ninayo masikitiko makubwa kuwaambia rasmi kuwa na hama jukwaa hili nakuhamia jukwaa la la siasa na jukwaa la katiba mpya maana naona kunamatatizo katika nchi yetu.nashukuru sana kwa upendo wenu na kunilea kama mtoto wenu.

Kweli ninawapenda lakini nikiangalia matatizo ya kisiasa ni mengi ndio maana nahama rasmi jukwaa hili ili nikalete mabadiliko katika nchi hii.

Pia nawaalika wana MMU wanaoshinda hukuhuku tuhamie jukwaa la siasa tushirikiane kwa pamoja kutatua matatizo ya nchi yetu.asanteni.

Ukienda mchukue na MAARIFA YA JAMII.
 
Chezea siasani wewe. Kule wapo watu Wenye roho ngumu kama ziraeli
 
kwa hiyo ukiamua kuwa mwanasiasa na mapenzi unaacha? mbona ma-big!
 
Poa jembe, siye tunatwanga kote kote. We hamia huko, ukitoa povu na upigwe tu! Hata mimi ningeachika ningewaza kuhama kama wewe
 
Ninayo masikitiko makubwa kuwaambia rasmi kuwa na hama jukwaa hili nakuhamia jukwaa la la siasa na jukwaa la katiba mpya maana naona kunamatatizo katika nchi yetu.nashukuru sana kwa upendo wenu na kunilea kama mtoto wenu.

Kweli ninawapenda lakini nikiangalia matatizo ya kisiasa ni mengi ndio maana nahama rasmi jukwaa hili ili nikalete mabadiliko katika nchi hii.

Pia nawaalika wana MMU wanaoshinda hukuhuku tuhamie jukwaa la siasa tushirikiane kwa pamoja kutatua matatizo ya nchi yetu.asanteni.

karibu sana kwenye ukombozi wa fikra...siasa ni ngumu jiandae kununiana na watu kuna watu wako tayari kutetea mavi na kusena ni makande kisa kapewa buku saba..pia kuna ban
 
nenda mwanakwao wasalimie akina kichwa cha mwenda wazim.......... Kule ukiikosoa CHADEMA utakimbia jukwaa watakavyokucharukia....... Lakin tambua MMU ni mtakuja

Amekosea kuaga, eti hatutamuona tena huku. Umri wenyewe bado sana hata huyo aliyempata kampata nusu, atakapomuoa akazijua changamoto za ndoa ndo angejiaminisha fifty percent kwamba hatarudi.
 
nilisema leo ndo mwisho kuwa humu lakini kwa sababu nimekuta maswali yenu wana MMU yenu ngoja ni wajibu kama ifuatavyo kwa leo tu.
 
Shika adabu yako, mimi si "MGOGO" mwenzio. Umatonya wako peleka kwingine.

ulivyo sema kalagabaho nikajua wewe ni mgogo samahani sana usije ni sababishia ban bure maana nimesha sikia habari zako.
 
Back
Top Bottom