SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
- Thread starter
- #101
karibu sana kwenye ukombozi wa fikra...siasa ni ngumu jiandae kununiana na watu kuna watu wako tayari kutetea mavi na kusena ni makande kisa kapewa buku saba..pia kuna ban
umesema kweli mkuu jana niliingia siasana nilipotoa hoja yangu tu nikakwaruzana na jamaa mmoja naye akapaa kabisa hata comment kwenye thread yangu tena na akasema anajuta ku comment kwenye thread kauli yake ili niuma sana.lakini basi sina namna ni taendeleza harakati zangu za ki siasa hivyo japokuwa inakatisha tamaa.