Kwa herini wana MMU hamtaniona huku tena

Kwa herini wana MMU hamtaniona huku tena

MMU ni pasua kichwa na rusha roho juu.

Karibu siasani, huko mambo shwari hakuna pasua kichwa wala rusha roho.

Subiri kidogo, kule kuna bayana tu hakuna mapenzi, unaweza kuiaga JF moja kwa moja ukileta za kuleta, tena nakutahadharisha, kule uwe makini la sivyo utaiaga JF kabisa. Maana kule kuna misukule kibao, kalagabaho.

mbukwenyi MGOGO mwenzangu asante kwa kunikaribisha siasani.pia nakushukuru sana kwa tahadhari uliyo nipa.
 
MMU ni pasua kichwa na rusha roho juu.

Karibu siasani, huko mambo shwari hakuna pasua kichwa wala rusha roho.

Subiri kidogo, kule kuna bayana tu hakuna mapenzi, unaweza kuiaga JF moja kwa moja ukileta za kuleta, tena nakutahadharisha, kule uwe makini la sivyo utaiaga JF kabisa. Maana kule kuna misukule kibao, kalagabaho.

vice versa is true!

kulaleki umetisha...

dogo ataenda robo saa tu tutamuona hapa!
 
MMU ni pasua kichwa na rusha roho juu.

Karibu siasani, huko mambo shwari hakuna pasua kichwa wala rusha roho.

Subiri kidogo, kule kuna bayana tu hakuna mapenzi, unaweza kuiaga JF moja kwa moja ukileta za kuleta, tena nakutahadharisha, kule uwe makini la sivyo utaiaga JF kabisa. Maana kule kuna misukule kibao, kalagabaho.

Msukule kama wewe uliyeshindikana....

Fool kabisa..
 
nenda tu ukila ban ndo utajua mmu nonu..

mimi ninamoyo wa uvumilivu nikiongozwa na kaulimbiu isemayo SILENT IS THE BEST ANSWER FOR ANY STUPID QUESTION. sina historia ya kupigwa BANN
 
miss chagga usinifukuze sio kwana nawachukia wana MMU. ni matatizo tu ya kisiasa na kiuchumi ndo yamenisababisha kuchukua maamuzi magumu namna hii.nakuomba nawewe unipe kampani tuondoke pamoja maana kweli taifa letu la Tanzania linahitaji mabadiliko .tukishinda hukuhuku haya matatizo ya kisiasa hayataisha.

Karibu Kamanda siasani....Hawa panya buku wa Lumumba akiongozwa na huyo ajuza Faizafoxy wanaleta shida sana....

Panya wote tutawawekea sumu..
 
nenda tena nenda ... loh sijui kama hunafaida. mkuuu nendaaaaaaaaa. tena kimbia
Wivu nini? Mbona unamkimbiza? (kwa vile kapata kidoshi) Au unaogopa maana anatafuta mke mwema, ingawa mpaka sasa kapata rafiki wa kike mwema. Si ajabu mbele ya safari tamu itabadilika kuwa chungu kiasi atakuwa si mwema tena na wewe ulivyo mwanamke mwema, mambo yakikataa kwa mchumba wake huyo unaogopa atakujia kukulilia na kama kawaida ili asijiue itabidi uwe mke wake mwema (unajihami).
 
Do not say goodbye if you still want to stay.....

kweli nilipenda kukaa huku lakini nchi inapoelekea kwa sasa imenilazimu kuhama.kweli ninaondoka lakini moyo wangu unauma na huzuni nyingi kwa kutengana nanyi.
 
MMU ni pasua kichwa na rusha roho juu.

Karibu siasani, huko mambo shwari hakuna pasua kichwa wala rusha roho.

Subiri kidogo, kule kuna bayana tu hakuna mapenzi, unaweza kuiaga JF moja kwa moja ukileta za kuleta, tena nakutahadharisha, kule uwe makini la sivyo utaiaga JF kabisa. Maana kule kuna misukule kibao, kalagabaho.

Mama Mkwe siku hizi umetulia kweli. No more Ban. Umekuwa kama Laigwanan Edo baada ya kuonywa
 
Ninayo masikitiko makubwa kuwaambia rasmi kuwa na hama jukwaa hili nakuhamia jukwaa la la siasa na jukwaa la katiba mpya maana naona kunamatatizo katika nchi yetu.nashukuru sana kwa upendo wenu na kunilea kama mtoto wenu.kweli ninawapenda lakini nikiangalia matatizo ya kisiasa ni mengi ndio maana nahama rasmi jukwaa hili ili nikalete mabadiliko katika nchi hii.pia nawaalika wana MMU wanaoshinda hukuhuku tuhamie jukwaa la siasa tushirikiane kwa pamoja kutatua matatizo ya nchi yetu.asanteni.

nenda mwanakwao wasalimie akina kichwa cha mwenda wazim.......... Kule ukiikosoa CHADEMA utakimbia jukwaa watakavyokucharukia....... Lakin tambua MMU ni mtakuja
 
watu8 yupo majukwaa yote yenye tija hapa JF, ubongo wangu haujakandamizwa mahali pamoja tu...

Hivyo labda nikukaribishe siasani na majukwaa mengine zaidi ya MMU utayopenda kushiriki...

nivigumu sana kushiriki majukwaa mengi kwa wakati mmoja maana mshika mawili moja humponyoka.
 
Wivu nini? Mbona unamkimbiza? (kwa vile kapata kidoshi) Au unaogopa maana anatafuta mke mwema, ingawa mpaka sasa kapata rafiki wa kike mwema. Si ajabu mbele ya safari tamu itabadilika kuwa chungu kiasi atakuwa si mwema tena na wewe ulivyo mwanamke mwema, mambo yakikataa kwa mchumba wake huyo unaogopa atakujia kukulilia na kama kawaida ili asijiue itabidi uwe mke wake mwema (unajihami).

nimemkimbiza ili asije anza michipuko aende kwenye siasa akapate stresss tu
 
miss chagga usinifukuze sio kwana nawachukia wana MMU. ni matatizo tu ya kisiasa na kiuchumi ndo yamenisababisha kuchukua maamuzi magumu namna hii.nakuomba nawewe unipe kampani tuondoke pamoja maana kweli taifa letu la Tanzania linahitaji mabadiliko .tukishinda hukuhuku haya matatizo ya kisiasa hayataisha.

Siku ukiona matatizo yanapunguwa ujuwe siku zako za kuishi duniani zimekwisha. Wewe karibu siasani, matatizo huyamalizi, kashindwa Nyerere itakuwa wewe?
 
nimemkimbiza ili asije anza michipuko aende kwenye siasa akapate stresss tu

jinsi ninavyo ridhika na niliyempata sijui kama nita anza michepuko.maana sifa zote za tabia njema anazo pia nayeye kajiunga na JF .Kama utapenda naweza kukutajia ID yake lakini mimi nayeye tunahamia jukwaa la siasa na jukwaa la katiba mpya.
 
safari njema uendako matatizo haya tatuliwi kwa kuchangia jukwaa la siasa zaidi ya kupondeana uzushi na ushabiki hadi kwa vitu muhmu all the best
 
Hadi saa 8:13 kwa saa za EAC huu hapa chini ndio mchango wako wa jumla kwa JF, kwa takwimu hizi ni bora ungesepa kimya kimya tu:

Habari na Hoja mchanganyiko:12
Mahusiano, mapenzi, urafiki:8
Jukwaa la Elimu (Education Forum):1
Complaints, Congrats, Advice:1
Tech, Gadgets & Science Forum:1
kwa takwimu hizi, aende tu....
 
nivigumu sana kushiriki majukwaa mengi kwa wakati mmoja maana mshika mawili moja humponyoka.

Hakuna ugumu wowote na huo msemo hutamkwa na watu wenye kukiri kushindwa kabla ya kujaribu

Mbona ukiwa shuleni uliweza kusoma masomo mengi kwa wakati mmoja? Iweje kufanya mijadala tu humu iwe tabu.

Utawezaje kuwa mwanasiasa au mfuasi wa siasa kama hujali kujifunza masuala mengi kwa wakati mmoja?
 
Back
Top Bottom