SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
Ninayo masikitiko makubwa kuwaambia rasmi kuwa na hama jukwaa hili nakuhamia jukwaa la la siasa na jukwaa la katiba mpya maana naona kunamatatizo katika nchi yetu.nashukuru sana kwa upendo wenu na kunilea kama mtoto wenu.
Kweli ninawapenda lakini nikiangalia matatizo ya kisiasa ni mengi ndio maana nahama rasmi jukwaa hili ili nikalete mabadiliko katika nchi hii.
Pia nawaalika wana MMU wanaoshinda hukuhuku tuhamie jukwaa la siasa tushirikiane kwa pamoja kutatua matatizo ya nchi yetu.asanteni.