miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
ushauri wangu nenda mwenyewe ila waambie kupata mabadiliko nikuchinja chinja kila kiongozi aliyo madarakani na kuanza upya that alll.... kama ni wale wale tu ni kupoteza mdamiss chagga usinifukuze sio kwana nawachukia wana MMU. ni matatizo tu ya kisiasa na kiuchumi ndo yamenisababisha kuchukua maamuzi magumu namna hii.nakuomba nawewe unipe kampani tuondoke pamoja maana kweli taifa letu la Tanzania linahitaji mabadiliko .tukishinda hukuhuku haya matatizo ya kisiasa hayataisha.