Kwa hali yangu hii kweli nitaweza kudumu kwenye mahusiano? Madaktari wananichanganya kabisa

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,402
Nimekuwa na changamoto kubwa ya kujihisi hamu ya kufanya mapenzi kila wakati. Nimezunguka hosp nyingi duniani wataalam wanipunguzie hii hali imeshindikana. Madaktari wanasema ni kutokana na maisha, mwili wangu na vyakula na vinywaji navyotumia.

Wanasema ni tatizo la kutokuwa na stress katika maisha , kula vizuri na kushiriki mazoezi. Nikajaribu angalau basi nitafute stress. Nimekuwa na wakati mgumu kupata stress. Ukiacha kipindi flani wakati nipo mdogo nilikuwa napata stress nile nini mezani.

Maana unakuta vyakula mbalimbali zaidi ya 50. Buffet kila mlo. Unawaza ule nini uache nini. Hapo kweli nlikuwa najikuta namwambia mzee amwajiri mtu awe tu anaangalia natakiwa niwe nakula nini. Ndo kumwajiri Prof mmoja wa Nutrition toka Italy na Msaidizi wake from India.

Sisi maziwa tunayokunywa toka wadogo ni maziwa ya Nyangumi. Ni very expensive na Fugu, Bluefin Tuna n.k so yaani ilikuwa shida. Kipindi nipo mdogo mashine ilikuwa inasimama hata siku 2 mpaka waje madaktari wanidunge sindano kuipoza.

Sasa nimekuwa naona hali bado ni mbaya. Madaktari wananiambia hata nikitaka kuoa basi minimum nioe wanawake kama 50 niwe nawachakata muda wote tu ndo angalau nitaridhika.

Yaani nawaza sana haya maisha kweli nutadumu na mahusiano? Maana wasichana wanachoka. Mtu ukimwaga bao moja ujazo wa lita 2 mwanamke anashangaa kabisa na ni sperms zenye uzito sana kama cream. Na bado najikuta nataka tena na tena.

Nashukuru wakati nipo kwenye Meeting last week nlionana na Elon Musk akaomba nimpe vigezo vya aina ya mwanamke namtaka anitengenezee special robot ambalo litakuwa ni heavy duty, lenye double booster n.k maana madaktari wangu wamemwambia. Hali ni mbaya.

Nawaza nlitaka angalau nioe mwanamke wa kitanzania ili nimkombie yeye na ukoo wao kiuchumi. Kuliko kwenda oa watoto wa kitajiri uarabuni na uzunguni kuzidi watajirisha. Bill Gate alitaka nimwoe bint yake na anilipe pesa nyingi tu au hata nimpe mimba tu apate mtoto kwangu nikakataa.

Nataka niwasaidie Watanzania hawa dada zenu maskini. Lakini sasa kwa hii hali wataweza?labda nioe wanawake kama 100 wawe wanapeana shift ya kuchakatwa na mimi.maana naumia.nguvu nilizo nazo madaktari wanasema labda nilimeza Viagra nikiwa mdogo.maana ni za wanaume 1,000. Marijali kweli kweli.

We imagine mashine inasimama mpaka week 3 au nne na hapo nameza dawa za kupunguza maumivu na kuifanya ilale. Natamani ningewapunguzia watanzania wengine hii hali. But sijui labda wawe wanapewa dose ya nanii zangu.
 
Sisi maziwa tunayokunywa toka wadogo ni maziwa ya Nyangumi.
ah, kmmk hii ni chai 🚮🚮
3.jpg
 
PRIAPISM is a disorder in which the penis maintains a prolonged, rigid erection in the absence of appropriate stimulation. Definitions vary regarding duration, but any erection lasting four hours or longer is generally considered priapism.
 
Back
Top Bottom