Ukiwa kwenye hali ya utulivu huwezi tambua uchungu wa maumivu ya mwenzio anayopitia kwa wakati huo

A43

JF-Expert Member
Nov 18, 2023
385
757
Aliyeshiba hamjui mwenye njaa

Ukiwa kwenye hali ya utulivu huwezi tambua uchungu wa maumivu ya mwenzio anayepitia kwa wakati huo, ndio maana wanasema pia uchungu wa msiba anayeujua ni mfiwa.

Uchungu wa mtoto anayeujua ni mzazi, tujifunze kutambua nakuthamini maumivu ya wenzetu.

Hii ndio tafsiri ya Utu. Ubin-a-Adamu, Thamani, na Upendo wa kweli.
 
Ila kuna msemo unasema ,shida zako zisiwe matatizo kwa wengine .Sasa sijui nani yupo sahihi?
 
  • Thanks
Reactions: A43
Back
Top Bottom