Kwa hali hii, namtoa mwanangu kule Moshi- CCP

Kwa hali hii, namtoa mwanangu kule Moshi- CCP

Graduates wa CCP, kuna wasomi wameajiriwa na international security organizations, siyo kweli kuwa wanakuwa indocrinated for loyalty to CCM, hiyo ni huku mtaani dependig na kitebgo alichokuwa stationed
Polisi 4 form ndio kigezo... Hakuna mwenye tofauti na hiyo... Huoni hata akili zao ni za kifofofooofoooooo asee
 
Siyo kweli, analipwa kinachostail kwa rank na seniority yake, like wise ktk utumishi wa umma, graduate doctor anapoanza kazi anakuwa na mshahara mdogo kuliko senior diploma holder (nurse) aliye mkuta kazini.
😂😂Yani uajiriwa kama Daktari alafu ulipwe kwa Rank🤣🤣

Wameshafanya marekebisho. Askari mpya ambaye kaajiriwa kama Daktari anakula 1.5M. Nadhani ni sawa na mshahara wa Daktari wa Wizara.
 
Ccp yenyewe kwani huwa wanabembeleza watoto wa watu kwani? Ukiegemea tu mti kule unafukuzwa mafunzo , mwambie mtoto wako aegemee mti kesho utakua nae nyumbani kashafukuzwa mafunzo wala usipate shida kumfata
 
Ni connection tu.
Punguza hasira

Ameshapasi kuitwa kwenye usaili.
Kama huna connection wala D mbili huwezi elewa post yangu inahusu nini ninachomaanisha.

Au unadhani ule usaili wa TRA hakuna wahusika ila wanaita wengi ili kupoteza ushahidi?
Kaa hivyo hivyo na nadharia yako hii
Pangilia uongo wako vizuri basi. Kuitwa kwenye usaili ni jambo moja na kutokea kwenye mkeka wa kupiga timamu CCP ni vitu viwili tofauti.
Hata kama ni connection unadhani asipoenda kijana wako kozi zitaahirishwa na Jeshi litaacha kufanya kazi zake?
 
Hebu lete vyeti vya polisi mwenyew dvs 2 hapa!!.
By that time wajinga na waliofeli na mijtu yenye ufinyu wa fikra ndio walikuwa wanapelekwa hizo course!. Kazi ya polisi ni ya watu wasio na akili tu.... Umeona wenye akili kina PETER MADELEKA waliukataa. Yaani mtu na akili zako unaweza kulazimishwa kua mtu asiye na hatia ukakubali tu kisa mshahara wa 300k per month?.
Angalia mkeka wa walioitwa kwenye usahili ndiyo utaelewa Jeshi limefikia kwenye viwango gani kwasasa.
Kama imefikia hatua ya kupeleka graduates kwenye kila kata unadhani ni Jeshi lile la darasa la saba B?
 
Pangilia uongo wako vizuri basi. Kuitwa kwenye usaili ni jambo moja na kutokea kwenye mkeka wa kupiga timamu CCP ni vitu viwili tofauti.
Hata kama ni connection unadhani asipoenda kijana wako kozi zitaahirishwa na Jeshi litaacha kufanya kazi zake?
Basi tuliza kitobo chako cha nyuma na uwe msoma mada za wenzio wenye D 2.
Zwazwa wa CCM wewe
 
Ni connection tu.
Punguza hasira

Ameshapasi kuitwa kwenye usaili.
Kama huna connection wala D mbili huwezi elewa post yangu inahusu nini ninachomaanisha.

Au unadhani ule usaili wa TRA hakuna wahusika ila wanaita wengi ili kupoteza ushahidi?
Kaa hivyo hivyo na nadharia yako hii
Kwani kuitwa kwenye usaili ndo kufika Ccp? Unaweza ukaitwa kwenye usaili na Ccp usikanyage.

Kwanza waliotuma maombi ni watu 46,000+ wakati polisi wenyewe walipo kazini sidhani hata kama wanafika 50,000 kwahiyo idadi ya walioomba kazi wanakaribiana na idadi ya waliopo kazini , kwa wingi wa watu wanaohitaji hiyo kazi sidhani kama polisi wanamuhitaji huyo mtoto wako
 
Soma between lines ndipo utaelewa.
Usicomment kwa mihemko wewe CCM
 
bora aende jkt Kama ni hivyo ,kuna ukakamavu gan uko zaidi ya ugaigai

😂😂Yani uajiriwa kama Daktari alafu ulipwe kwa Rank🤣🤣

Wameshafanya marekebisho. Askari mpya ambaye kaajiriwa kama Daktari anakula 1.5M. Nadhani ni sawa na mshahara wa Daktari wa Wizara.
uko sahihi lakini kama atapanda ranks e.g rank ya commisioner mshahara na incentives ni mkubwa kuliko mtu mwenye masters ya MD ambaye si polisi, so ranks matters na elimu inasaidia kukwea hizo ranks effortlessly
 
Soma between lines ndipo utaelewa.
Usicomment kwa mihemko wewe CCM
Nisome between lines uzi wa kilaza asiejua kupangilia uongo wake? Watu hata usaili hawajafanya unasema mtoto wako kafaulu kwenda Ccp au umekurupuka ulivyoona tangazo la watu kuitwa kwenye usaili ukapata na wazo la kuleta uzi wa uongo kutafuta attention ukidhani ndo wameitwa kuanza mafunzo?
 
Back
Top Bottom