Kwa hali hii, namtoa mwanangu kule Moshi- CCP

Kwa hali hii, namtoa mwanangu kule Moshi- CCP

Hii kada ndio ilikuwa chaguo No.1 kwa mwanangu nyuma ya TPA na Jeshi la Wananchi kwa pass ya Grade 2 ya Point 19, Intake ya mwaka 2023

Ila kwa hali ya nchi inakoelekea sihitaji mwanangu atengwe na ndugu zake kisa kusomea hii kozi.

Majibu yametoka na kafaulu kwenda chuo cha Upolisi (CCP Moshi), ila naghahiri kumpeleka mara moja.

Serikali, naomba pia hili mliangalie kwani huko tunakoelekea sidhani kama kuna mzazi mwenye akili timamu atakubali mwanae achekwe au kudharaulika hadharani kisa hii kazi.

Mwanangu anaonekana kukosa amani tangu aone yanayoendelea nchini huku yeye mwenyewe akiwa mstari wa mbele katika kutimiza malengo yake.

Heri aende kozi ya Jeshi tu japo dirisha lishafungwa na Intake mpya imeveshwa gwanda pale Juzi Monduli ila atapeleka maombi hata mwakani.

Mimi mzazi wake ni kada kindakindaki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ila kwa hili hapana.

Wabillahi Tawfiq 🙏

Niwatakie Alhamis Njema.
Grade 2 ya point 19 ❎ Division 2 ya point 19 ✅. Kama utaishi na mwanao milele ndo unatakiwa ufanye hivyo. Huyo ni mtu mzima naye ana ndoto zake... usimuambukize hizo akili zako za kipumbavu
 
Hii kada ndio ilikuwa chaguo No.1 kwa mwanangu nyuma ya TPA na Jeshi la Wananchi kwa pass ya Grade 2 ya Point 19, Intake ya mwaka 2023

Ila kwa hali ya nchi inakoelekea sihitaji mwanangu atengwe na ndugu zake kisa kusomea hii kozi.

Majibu yametoka na kafaulu kwenda chuo cha Upolisi (CCP Moshi), ila naghahiri kumpeleka mara moja.

Serikali, naomba pia hili mliangalie kwani huko tunakoelekea sidhani kama kuna mzazi mwenye akili timamu atakubali mwanae achekwe au kudharaulika hadharani kisa hii kazi.

Mwanangu anaonekana kukosa amani tangu aone yanayoendelea nchini huku yeye mwenyewe akiwa mstari wa mbele katika kutimiza malengo yake.

Heri aende kozi ya Jeshi tu japo dirisha lishafungwa na Intake mpya imeveshwa gwanda pale Juzi Monduli ila atapeleka maombi hata mwakani.

Mimi mzazi wake ni kada kindakindaki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ila kwa hili hapana.

Wabillahi Tawfiq 🙏

Niwatakie Alhamis Njema.
Acha kufuru ukhty....

Mad0g0 wanalia huku mitaani...keka limetoka jana na mwaka wa 3 huu HAWAJALAMBA huko akataak0 mwanao.....

Maisha ni vita kila eneo....
 
Polisi ni miongoni mwa makundi maskini zaidi Tanzania
Yaaani hata waalimu wanawazidi kipato na uwezo wa kucompare with environment.
Ndo maana walio kule wengi wao ni wenye D2 Hakuhitaji akili nyingi saaana kuwa kule zaidi ya kuwa mjinga wa kiwango cha lami🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwahiyo ndio kusema ni kazi inayohitaji vilaza?
 
M
Polisi ni miongoni mwa makundi maskini zaidi Tanzania,Hivi mkuu hivi Police Constable ana vuta ngapi?
Mwanajeshi Luteni acha dharau... huko uliko unaweza kustaafu na bado "mema" wakala "... zile rank tukufu tu"...

Wewe unalamba stahk za kuwazd hao kwa ".. nature ya kazi yako.. muda w0w0te tu.....!

Karibu CIROC....
 
Mzazi anampangia career mtoto huu ujinga utawatoka lini nyie WAZEE?
Ni mtoto wangu,
Nimeingia labour mimi,
Nime-mnya mimi,
Na mimi ndio mama yake mzazi,
Huna nasaba yoyote kwa mtoto wangu na maisha yake kwa ujumla tangu hapa mpaka milele

Mitandao isikufanye kuropoka kila ufikiricho kichwani.
Ukipangia wewe wanao, inatosha.

Usinipangie maisha aisee.
Kwanza naomba usiendelee kunieleza ujinga wako hapa.
Pumbavu wewe.
 
Acha kufuru ukhty....

Mad0g0 wanalia huku mitaani...keka limetoka jana na mwaka wa 3 huu HAWAJALAMBA huko akataak0 mwanao.....

Maisha ni vita kila eneo....
Najua my dear.
Kwa Elimu na Div zake ni halali mwanangu kupata nafasi huko.

Lakini je, kupata hiyo nafasi ndio mwisho wa maamuzi Mkunazi Njiwa? Jibu ni hapana.

Sitaki kupata lawama mbele ya safari kwa kutomsimamia mtoto wangu kwenye maamuzi yake.
 
Ni mtoto wangu,
Nimeingia labour mimi,
Nime-mnya mimi,
Na mimi ndio mama yake mzazi,
Huna nasaba yoyote kwa mtoto wangu na maisha yake kwa ujumla tangu hapa mpaka milele

Mitandao isikufanye kuropoka kila ufikiricho kichwani.
Ukipangia wewe wanao, inatosha.

Usinipangie maisha aisee.
Kwanza naomba usiendelee kunieleza ujinga wako hapa.
Pumbavu wewe.
Acha hasira za kifukara. Ndoto zako sio lazima ndo ziwe za mtoto. Ungekuwa tajiri ungempa kazi kwenye makampuni yako. Kumtoa huko CCP ni kutaka kumpotezea mwelekeo mwanao. Pia kama hutaki maoni tofauti usiwe unaandika uzi wa mambo yako kifamilia.
 
Na huko mbeleni tutawasubiri wanapotoka kazini kwao, wakiwa hawana bunduki, mbwa ILI tichapane nao kavukavu.
Tunaelekea kuua familia zao, ndugu zao na kuharibu mali zao coz tumechoka na manyanyaso... Leo ntakuwa kituo cha polisi kimoja hapa chug..... Soon
 
1745492453439.jpg
 
Back
Top Bottom