Kwa hali hii, namtoa mwanangu kule Moshi- CCP

Nisome between lines uzi wa kilaza asiejua kupangilia uongo wake? Watu hata usaili hawajafanya unasema mtoto wako kafaulu kwenda Ccp au umekurupuka ulivyoona tangazo la watu kuitwa kwenye usaili ukapata na wazo la kuleta uzi wa uongo kutafuta attention ukidhani ndo wameitwa kuanza mafunzo?
Fungua mabano na " sio unakurupuka tu.
Kilaza ni wewe usiyejua kufasiri lugha ya alama na Div yako 4
Zwazwa wa CCM wewe, akili zako ziko makalioni au ziko wapi?

Wauwaji wakubwa nyie
Kwahiyo mlivyoenda kuwatupa Mabwepande ndio mkaona mmemaliza maisha?
 
Hii kada ndio ilikuwa chaguo No.1 kwa mwanangu nyuma ya TPA na Jeshi la Wananchi kwa pass ya Division 2 ya Point 19, Intake ya mwaka 2023

Ila kwa hali ya nchi inakoelekea sihitaji mwanangu atengwe na ndugu zake kisa kusomea hii kozi.

Majibu ya awali yametoka na "najua ataenda tu Chuo cha Upolisi Moshi (CCP) bada ya usaili" (Fungua mabano tuelewane kwanza) ila naghahiri kumpeleka mara moja.

Serikali, naomba pia hili mliangalie kwani huko tunakoelekea sidhani kama kuna mzazi mwenye akili timamu atakubali mwanae achekwe au kudharaulika hadharani kisa hii kazi.

Mwanangu anaonekana kukosa amani tangu aone yanayoendelea nchini huku yeye mwenyewe akiwa mstari wa mbele katika kutimiza malengo yake.

Heri aende kozi ya Jeshi tu japo dirisha lishafungwa na Intake mpya imeveshwa gwanda pale Juzi Monduli ila atapeleka maombi hata mwakani.

Mimi mzazi wake ni kada kindakindaki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ila kwa hili hapana.

Wabillahi Tawfiq 🙏

Niwatakie Alhamis Njema.

upolisi ni kada ya laana
 
Uandishi wako tu unaonekana Mentally retarded alafu uniite mimi division 4?

Huyo mtoto wako aliefaulu kwenda Ccp wakati usaili haujafanywa matokeo yake umeyaona wapi?
 
Ahahaha na mimi nimeona..ww ndo umepeleka mtoto na mishe zote unajua amepitiaje hata kama hawajaitwa unajua kupitia connection kuwa mwanao ataitwa tuu..sasa wanabisha nini?
Ndio hapo sasa

Mtoto wangu, kuumia waumie wao.
Nchi hii vilaza na wajinga kama akina Kibololo Mikazo hawataisha.

Connection nipewe mimi kuumia waumie wao.
Na wao watafute connection
 
Uandishi wako tu unaonekana Mentally retarded alafu uniite mimi division 4?

Huyo mtoto wako aliefaulu kwenda Ccp wakati usaili haujafanywa matokeo yake umeyaona wapi?
Fungua mabano.
Chupi la mkweo wewe.

Nyie ndio mnataka mtafuniwe kila kitu nyie muishie kumeza tu.

Na wewe toa tobo lako la nyuma upewe connection
 
Ndio hapo sasa

Mtoto wangu, kuumia waumie wao.
Nchi hii vilaza na wajinga kama akina Kibololo Mikazo hawataisha.

Connection nipewe mimi kuumia waumie wao.
Na wao watafute connection
Unaonekana huna kazi za kufanya ndo maana unajitungia stori za kusadikika baada ya kukurupuka kuskia polisi wameita watu kwenye usaili we ukafikiri ndo wamefaulu kwenda Ccp ukaamua kutunga stori yako kuwa mtoto wako kafaulu kwenda Ccp, siku nyingine kuwa makini kutengeneza stori
 
Siwezi kujibishana na mhaini kama wewe.
Na wewe toa tobo lako la nyuma ili upate connection mkuu.

Kazi njema kilaza mwenzangu🤭🤭🤭
 
Uandishi wako tu unaonekana mwanamke wa uswahili unaepaka mafuta ya kupikia njaa kali
 
Yaani ungejua uandikayo wala usingethubutu kupanua domo lako chafu kujibishana na wewe, ni vile tu sina cha kupoteza kutoka kwako ndio maana najibishana na PoliCCM wewe mwenye Div 4 ya 28 kama wewe hahahahah😂😂😂

Polisi wewe una hasira sana.
Nini mbaya baba?
Tema mate tumchape Saa100.
Pole kilaza.
Mwanamke wa uswahilini nakutoa jasho la meno
 
Andika comment fupifupi mwanamke wa uswahilini wewe
 
Hii kada ndio ilikuwa chaguo No.1 kwa mwanangu nyuma ya TPA na Jeshi la Wananchi kwa pass ya Division 2 ya Point 19, Intake ya mwaka 2023

Ila kwa hali ya nchi inakoelekea sihitaji mwanangu atengwe na ndugu zake kisa kusomea hii kozi.

Majibu ya awali yametoka na "najua ataenda tu Chuo cha Upolisi Moshi (CCP) bada ya usaili" (Fungua mabano tuelewane kwanza) ila naghahiri kumpeleka mara moja.

Serikali, naomba pia hili mliangalie kwani huko tunakoelekea sidhani kama kuna mzazi mwenye akili timamu atakubali mwanae achekwe au kudharaulika hadharani kisa hii kazi.

Mwanangu anaonekana kukosa amani tangu aone yanayoendelea nchini huku yeye mwenyewe akiwa mstari wa mbele katika kutimiza malengo yake.

Heri aende kozi ya Jeshi tu japo dirisha lishafungwa na Intake mpya imeveshwa gwanda pale Juzi Monduli ila atapeleka maombi hata mwakani.

Mimi mzazi wake ni kada kindakindaki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ila kwa hili hapana.

Wabillahi Tawfiq 🙏

Niwatakie Alhamis Njema.

Kama kweli unapenda mtoto wake awe na mwisho mwema muondoe huko ushenzini mkuu.
 
Dogo kaomba hizo ajira, hatua inayofata ni ipi??
Dogo lazima awe polisi na awanyooshe wale wapindisha haki bila kujali vyeo vyao.
 
Back
Top Bottom