Kwa hali hii, namtoa mwanangu kule Moshi- CCP

Kwa hali hii, namtoa mwanangu kule Moshi- CCP

Umetoka humo na hujui kutofautisha kati ya o na 0 mkuu.

Sitaki mwanangu aende kaka.
Hapana.
Najua kut0fautisha dada....

Well....

Mimi si wa huko dada.. ninashauri tu kuwa maisha ni vita na kuwa nje ya hu0 umwera haina maana ndio "immunity" ya hy0 VITA....hakuna kuzuri sana na hakuna mteremko sana....

0K ukhty I agree to disagree !

Amani !!
 
Una dalili zote za kisoger... Napenda sana watu km wewe... Karibu uje na polisi mmoja.
Tukana tu mkuu...

Narudia kusema wewe ni dhaifu...endelea tu kula VEVE ya nn shari keyboard warrior?!!

Shari huiwezi wewe na angalia tu USIJE KUSILIBWA astr0glide.....ha ha ha
 
Najua kut0fautisha dada....

Well....

Mimi si wa huko dada.. ninashauri tu kuwa maisha ni vita na kuwa nje ya hu0 umwera haina maana ndio "immunity" ya hy0 VITA....hakuna kuzuri sana na hakuna mteremko sana....

0K ukhty I agree to disagree !

Amani !!
Asante sana kwa maoni yako.❤️
Najua ni vyema kuwa mzalendo na kuitumikia nchi yangu ila kuna vitu vichache sana vinavyobadili upepo wa hii nchi, polisi wakiwepo japo wanapata amri toka juu.

Shukrani.
 
Ccp wanafundishwa uti kwa mambo ya kipumbavu.
Graduates wa CCP, kuna wasomi wameajiriwa na international security organizations, siyo kweli kuwa wanakuwa indocrinated for loyalty to CCM, hiyo ni huku mtaani dependig na kitebgo alichokuwa stationed
 
Asante sana kwa maoni yako.❤️
Najua ni vyema kuwa mzalendo na kuitumikia nchi yangu ila kuna vitu vichache sana vinavyobadili upepo wa hii nchi, polisi wakiwepo japo wanapata amri toka juu.

Shukrani.
Shukran !

#JMT milele !!
 
Graduates wa CCP, kuna wasomi wameajiriwa na international security organizations, siyo kweli kuwa wanakuwa indocrinated for loyalty to CCM, hiyo ni huku mtaani dependig na kitebgo alichokuwa stationed
Mkuu una0ngea na ukuta....

Huyo keyboard warrior yuk0 na andasi ya mk0kaa.....
 
Hapa huyu mama anajifariji tu kwanza majina ndo kwaanza yametoka ya usaili halafu unakuja kudanganya watu hapa kuwa amefaulu, yaani ndo kwanza mambo bado na hata huko CCP anaweza hata asikanyage
 
Hii kada ndio ilikuwa chaguo No.1 kwa mwanangu nyuma ya TPA na Jeshi la Wananchi kwa pass ya Division 2 ya Point 19, Intake ya mwaka 2023

Ila kwa hali ya nchi inakoelekea sihitaji mwanangu atengwe na ndugu zake kisa kusomea hii kozi.

Majibu ya awali yametoka na najua ataenda tu Chuo cha Upolisi Moshi (CCP) bada ya usaili ila naghahiri kumpeleka mara moja.

Serikali, naomba pia hili mliangalie kwani huko tunakoelekea sidhani kama kuna mzazi mwenye akili timamu atakubali mwanae achekwe au kudharaulika hadharani kisa hii kazi.

Mwanangu anaonekana kukosa amani tangu aone yanayoendelea nchini huku yeye mwenyewe akiwa mstari wa mbele katika kutimiza malengo yake.

Heri aende kozi ya Jeshi tu japo dirisha lishafungwa na Intake mpya imeveshwa gwanda pale Juzi Monduli ila atapeleka maombi hata mwakani.

Mimi mzazi wake ni kada kindakindaki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ila kwa hili hapana.

Wabillahi Tawfiq 🙏

Niwatakie Alhamis Njema.
Umefanya maamuzi mazuri.
 
Hapa huyu mama anajifariji tu kwanza majina ndo kwaanza yametoka ya usaili halafu unakuja kudanganya watu hapa kuwa amefaulu, yaani ndo kwanza mambo bado na hata huko CCP anaweza hata asikanyage
Rudi kasome halafu ufungue zile " na mabano ndio uje kuandika unachodhani.
 
Ccp wanafundishwa uti kwa mambo ya kipumbavu.
Huo ni utumishi wa umma, unachosema si kweli, tuna polisi wengi wako desatsfied na status quo kama ilivyo watumishi wengine. Kuna faida kuwa mtumishi wa umma ila usiwe involved na hizo feelings na sympathy, zinazotokana na diversity ya ideologies za watu wengine
Mkuu una0ngea na ukuta....

Huyo keyboard warrior yuk0 na andasi ya mk0kaa.....
:CaptFailFish:
 
Yaaani hata waalimu wanawazidi kipato na uwezo wa kucompare with environment.
Ndo maana walio kule wengi wao ni wenye D2 Hakuhitaji akili nyingi saaana kuwa kule zaidi ya kuwa mjinga wa kiwango cha lami🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe Daktari aliyeajiriwa polisi analipwa mshahara mdogo kuliko mwalimu?
 
Hiyo kozi hawajifuzi ukakamavu pekee, usiwe biased for political reasons/ideology, kama yupo chuo acha amalize kozi, ni muhimi kwa CV yake hata kama hatalitumikia jeshi la polisi unalolichukia
bora aende jkt Kama ni hivyo ,kuna ukakamavu gan uko zaidi ya ugaigai
 
Mzazi Bora kuwahi kutokea big up sana
20240909_172504.jpg
 
Huo ni utumishi wa umma, unachosema si kweli, tuna polisi wengi wako desatsfied na status quo kama ilivyo watumishi wengine. Kuna faida kuwa mtumishi wa umma ila usiwe involved na hizo feelings na sympathy, zinazotokana na diversity ya ideologies za watu wengine

:CaptFailFish:
Polisi ni hovyoo wala sio Kazi!
 
Back
Top Bottom