Kwa hali hii, namtoa mwanangu kule Moshi- CCP

Ni mtoto wangu,
Nimeingia labour mimi,
Nime-mnya mimi,
Na mimi ndio mama yake mzazi,
Huna nasaba yoyote kwa mtoto wangu na maisha yake kwa ujumla tangu hapa mpaka milele

Mitandao isikufanye kuropoka kila ufikiricho kichwani.
Ukipangia wewe wanao, inatosha.

Usinipangie maisha aisee.
Kwanza naomba usiendelee kunieleza ujinga wako hapa.
Pumbavu wewe.
Mshamba kweli we kwanini hujawa POLISI AU MWANAJESHI … acha kujifanya kutumia kigezo cha kumzaa ndio iwe sababu ya kumpangia maisha Chizi wewe.
 
Usijibu kwa mihemko.
Chizi ni wazazi wako.
 
Acha ushamba , maisha yake machaguzi yake unakuta mtu yuko kazini hana furaha maisha yake yote kisa maamizi ya kipumbavu ya wazazi , tuna watu tunafanya nao kazi kutwa manunguniko kisa wazazi wa hovyo kama wewe kaa chini muulize unataka nini mwanangu kwani itakugharimu nini?
 
uko sahihi lakini kama atapanda ranks e.g rank ya commisioner mshahara na incentives ni mkubwa kuliko mtu mwenye masters ya MD ambaye si polisi, so ranks matters na elimu inasaidia kukwea hizo ranks effortlessly
tofauti ndogo sana kati ya hio kaz na ujambazi
 
Hii kada ndio ilikuwa chaguo No.1 kwa mwanangu nyuma ya TPA na Jeshi la Wananchi kwa pass ya Division 2 ya Point 19, Intake ya mwaka 2023

Ila kwa hali ya nchi inakoelekea sihitaji mwanangu atengwe na ndugu zake kisa kusomea hii kozi.

Majibu ya awali yametoka na "najua ataenda tu Chuo cha Upolisi Moshi (CCP) bada ya usaili" (Fungua mabano tuelewane kwanza) ila naghahiri kumpeleka mara moja.

Serikali, naomba pia hili mliangalie kwani huko tunakoelekea sidhani kama kuna mzazi mwenye akili timamu atakubali mwanae achekwe au kudharaulika hadharani kisa hii kazi.

Mwanangu anaonekana kukosa amani tangu aone yanayoendelea nchini huku yeye mwenyewe akiwa mstari wa mbele katika kutimiza malengo yake.

Heri aende kozi ya Jeshi tu japo dirisha lishafungwa na Intake mpya imeveshwa gwanda pale Juzi Monduli ila atapeleka maombi hata mwakani.

Mimi mzazi wake ni kada kindakindaki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ila kwa hili hapana.

Wabillahi Tawfiq 🙏

Niwatakie Alhamis Njema.

Mtoe mtoe .peleka jwtz huko pazuri ila polisi mmmmh
 
Ulitumwa umpeleke?

Btw, Kama hadi leo mtoto anapeleka na kutolewa chuo na mzazi…. Huyo ni boya
 
Back
Top Bottom