Kwa hali hii, namtoa mwanangu kule Moshi- CCP

Acha hasira za kifukara. Ndoto zako sio lazima ndo ziwe za mtoto. Ungekuwa tajiri ungempa kazi kwenye makampuni yako. Kumtoa huko CCP ni kutaka kumpotezea mwelekeo mwanao. Pia kama hutaki maoni tofauti usiwe unaandika uzi wa mambo yako kifamilia.
Screenshot_20250423_140226.jpg
 
Najua my dear.
Kwa Elimu na Div zake ni halali mwanangu kupata nafasi huko.

Lakini je, kupata hiyo nafasi ndio mwisho wa maamuzi Mkunazi Njiwa? Jibu ni hapana.

Sitaki kupata lawama mbele ya safari kwa kutomsimamia mtoto wangu kwenye maamuzi yake.
Lawama mkuu ?!!

Dogo akiwa huko na kuzd kus0ma atakuwa KAMISHNA...akiwa mtiifu kwa jamhuri anaweza kufika mbali mno katika utumishi.... akistaafu hata ubalozi.....

Tafadhali mshauri aende k0zi....nimet0ka kus0ma "wassillatu shafii" ndio nikaona thread hii..baraka zake zmenisukuma TUMRAI d0g0.....

#Ni vita kila eneo
 
Kuna namna mapolisi wana ushujaa wa kupambania uhai wa raia kwa kuweka uhai wao rehani kwenye matukio ya kigaidi. Hakuna jukwaa linalotambua juhudi zao. Zaidi mabaya yao tu. Mwanao hakuchagua ubaya alichagua ushujaa. Na ndo hivo yaani kama mume tu unasemwa vibaya na mkeo lakini anajua umuhimu wako.
Hili jeshi huoni umuhimu wake mpaka panya road wakuweke mtu kati.
Hili jeshi huoni umuhimu wake mpaka upewe kilema cha maisha na majambazi, wezi wa mifugo n.k
Hili jeshi huoni umuhimu wake mpaka pale club x wapige mziki wenye disturbance watu mshindwe kulala.
Hili jeshi huoni umuhimu wake mpaka uone ajali kubwa. Hapa kwemy ajali fatalities zikitokea wao ndo wanabeba miili ya ndugu zenu.
Hawa jamaa ni kama kunguni tu yaani hata wakija kufanya usafi kweny hospital bado kuna mtu atasema nawachukia. Yaaani hataki kukubali jema moja la kunguni hawa.

Ukiwa kama kada wa chama ni wazi unajua madudu ya vyama vyenu vya siasa yanazaa kadhia isiyovumilika kwa wananchi na kusababisha maandamano na machafuko. Guess what?? Ni hawa kunguni ndo wanalazimika kuja kuhakikisha kuna amani ili masoko yafunguliwe huyo machinga auze.

Nimalize kwa kusema ukimtoa kijana CCP, umemtoa shujaaa vitani, shujaa wa alama 19(za kawaida sana hakukua na haja ya kuzitaja). Pengine angekua chachu ya maboresho na mabadiliko ya jeshi. Kusingekua na mifumo ya hovyo ambayo haiundwi wala haiboreshwi na jeshi la polisi. Huu ubaya kuna taaasisi ilitakiwa waubebe OVER.
 
Na huko mbeleni tutawasubiri wanapotoka kazini kwao, wakiwa hawana bunduki, mbwa ILI tichapane nao kavukavu.
Tunaelekea kuua familia zao, ndugu zao na kuharibu mali zao coz tumechoka na manyanyaso... Leo ntakuwa kituo cha polisi kimoja hapa chug..... Soon
Acha uzwazwa wewe keyboard warrior.....

Unashindwa kuandamana... utaweza hayo wewe mla mk0kaa?!!

Sakala wewe
 
Kuna namna mapolisi wana ushujaa wa kupambania uhai wa raia kwa kuweka uhai wao rehani kwenye matukio ya kigaidi. Hakuna jukwaa linalotambua juhudi zao. Zaidi mabaya yao tu. Mwanao hakuchagua ubaya alichagua ushujaa. Na ndo hivo yaani kama mume tu unasemwa vibaya na mkeo lakini anajua umuhimu wako.
Hili jeshi huoni umuhimu wake mpaka panya road wakuweke mtu kati.
Hili jeshi huoni umuhimu wake mpaka upewe kilema cha maisha na majambazi, wezi wa mifugo n.k
Hili jeshi huoni umuhimu wake mpaka pale club x wapige mziki wenye disturbance watu mshindwe kulala.
Hili jeshi huoni umuhimu wake mpaka uone ajali kubwa. Hapa kwemy ajali fatalities zikitokea wao ndo wanabeba miili ya ndugu zenu.
Hawa jamaa ni kama kunguni tu yaani hata wakija kufanya usafi kweny hospital bado kuna mtu atasema nawachukia. Yaaani hataki kukubali jema moja la kunguni hawa.

Ukiwa kama kada wa chama ni wazi unajua madudu ya vyama vyenu vya siasa yanazaa kadhia isiyovumilika kwa wananchi na kusababisha maandamano na machafuko. Guess what?? Ni hawa kunguni ndo wanalazimika kuja kuhakikisha kuna amani ili masoko yafunguliwe huyo machinga auze.

Nimalize kwa kusema ukimtoa kijana CCP, umemtoa shujaaa vitani, shujaa wa alama 19(za kawaida sana hakukua na haja ya kuzitaja). Pengine angekua chachu ya maboresho na mabadiliko ya jeshi. Kusingekua na mifumo ya hovyo ambayo haiundwi wala haiboreshwi na jeshi la polisi. Huu ubaya kuna taaasisi ilitakiwa waubebe OVER.
Awesome c0mment !

#Kud0s
 
Lawama mkuu ?!!

Dogo akiwa huko na kuzd kus0ma atakuwa KAMISHNA...akiwa mtiifu kwa jamhuri anaweza kufika mbali mno katika utumishi.... akistaafu hata ubalozi.....

Tafadhali mshauri aende k0zi....nimet0ka kus0ma "wassillatu shafii" ndio nikaona thread hii..baraka zake zmenisukuma TUMRAI d0g0.....

#Ni vita kila eneo
Umetoka humo na hujui kutofautisha kati ya o na 0 mkuu.

Sitaki mwanangu aende kaka.
Hapana.
 
Hii kada ndio ilikuwa chaguo No.1 kwa mwanangu nyuma ya TPA na Jeshi la Wananchi kwa pass ya Division 2 ya Point 19, Intake ya mwaka 2023

Ila kwa hali ya nchi inakoelekea sihitaji mwanangu atengwe na ndugu zake kisa kusomea hii kozi.

Majibu yametoka na kafaulu kwenda chuo cha Upolisi (CCP Moshi), ila naghahiri kumpeleka mara moja.

Serikali, naomba pia hili mliangalie kwani huko tunakoelekea sidhani kama kuna mzazi mwenye akili timamu atakubali mwanae achekwe au kudharaulika hadharani kisa hii kazi.

Mwanangu anaonekana kukosa amani tangu aone yanayoendelea nchini huku yeye mwenyewe akiwa mstari wa mbele katika kutimiza malengo yake.

Heri aende kozi ya Jeshi tu japo dirisha lishafungwa na Intake mpya imeveshwa gwanda pale Juzi Monduli ila atapeleka maombi hata mwakani.

Mimi mzazi wake ni kada kindakindaki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ila kwa hili hapana.

Wabillahi Tawfiq 🙏

Niwatakie Alhamis Njema.
Amefaulu lini kwenda Polisi wakati ndiyo kwanza majina yametoka ya watu kuitwa kwenye usaili?
Nani alikwambia kwamba bila mwanao Jeshi la Polisi litakufa ama litapoteza ufanisi ikiwa falsafa ya Jeshi ni kuwa hakuna mtu muhimu jeshini?
Tena unaleta mbwembwe wakati mwanao mwenyewe ni kidato cha nne hana hata ujuzi wowote ule wa kulisaidia Jeshi au ametokea ukoo wa vilaza kiasi kwamba kupata hiyo Division two inayokaribiana na three ndiyo anaonekana msomi wa ukoo hadi kuliringishia Jeshi eti unamtoa mwanao?
Hebu angalia orodha ya walioitwa kwenye usaili graduates walivyojaa kwenye mkeka tena unakuta kuna MD's wa kutosha na wameiomba hiyo kazi kwa unyenyekevu wa hali ya juu hiyo ajira.
Punguzeni mbwembwe na mashauzi mtaani na uongo usio na ukweli kutudanganya tayari kapata nafasi na hata usaili haujafanyika
 
Kuna namna mapolisi wana ushujaa wa kupambania uhai wa raia kwa kuweka uhai wao rehani kwenye matukio ya kigaidi. Hakuna jukwaa linalotambua juhudi zao. Zaidi mabaya yao tu. Mwanao hakuchagua ubaya alichagua ushujaa. Na ndo hivo yaani kama mume tu unasemwa vibaya na mkeo lakini anajua umuhimu wako.
Hili jeshi huoni umuhimu wake mpaka panya road wakuweke mtu kati.
Hili jeshi huoni umuhimu wake mpaka upewe kilema cha maisha na majambazi, wezi wa mifugo n.k
Hili jeshi huoni umuhimu wake mpaka pale club x wapige mziki wenye disturbance watu mshindwe kulala.
Hili jeshi huoni umuhimu wake mpaka uone ajali kubwa. Hapa kwemy ajali fatalities zikitokea wao ndo wanabeba miili ya ndugu zenu.
Hawa jamaa ni kama kunguni tu yaani hata wakija kufanya usafi kweny hospital bado kuna mtu atasema nawachukia. Yaaani hataki kukubali jema moja la kunguni hawa.

Ukiwa kama kada wa chama ni wazi unajua madudu ya vyama vyenu vya siasa yanazaa kadhia isiyovumilika kwa wananchi na kusababisha maandamano na machafuko. Guess what?? Ni hawa kunguni ndo wanalazimika kuja kuhakikisha kuna amani ili masoko yafunguliwe huyo machinga auze.

Nimalize kwa kusema ukimtoa kijana CCP, umemtoa shujaaa vitani, shujaa wa alama 19(za kawaida sana hakukua na haja ya kuzitaja). Pengine angekua chachu ya maboresho na mabadiliko ya jeshi. Kusingekua na mifumo ya hovyo ambayo haiundwi wala haiboreshwi na jeshi la polisi. Huu ubaya kuna taaasisi ilitakiwa waubebe OVER.
Hiyo yote najua na ndio maana nilimruhusu kufanya process zote ikiwemo kuandika barua ya maombi, ya usaili mpaka kufika Chuoni Moshi.
Ila naona kama dharau zinazidi kwa hii kada.

Nikupe siri moja, kwetu kuna wanaukoo 3 ni askari na wana vyeo vikubwa tu na ndio sababu iliyonisukuma kumpeleka mwanangu huko, ila tangu huu mwaka na haya mavurugu yameanza naona kama itamletea dharau na kutokujiamini huko mbele ya safari.

Japo mwanangu naona kabisa hakubaliani na mimi ila naona kabisa yajayo huko.

Simpangii maana ni uamuzi wake ila kurekebisha na kuambiana ukweli ni jambo la kwanza na kutimiza wajibu ni jambo la pili.

Asante kwa mawazo yako
 
Amefaulu lini kwenda Polisi wakati ndiyo kwanza majina yametoka ya watu kuitwa kwenye usaili?
Nani alikwambia kwamba bila mwanao Jeshi la Polisi litakufa ama litapoteza ufanisi ikiwa falsafa ya Jeshi ni kuwa hakuna mtu muhimu jeshini?
Tena unaleta mbwembwe wakati mwanao mwenyewe ni kidato cha nne hana hata ujuzi wowote ule wa kulisaidia Jeshi au ametokea ukoo wa vilaza kiasi kwamba kupata hiyo Division two inayokaribiana na three ndiyo anaonekana msomi wa ukoo hadi kuliringishia Jeshi eti unamtoa mwanao?
Hebu angalia orodha ya walioitwa kwenye usaili graduates walivyojaa kwenye mkeka tena unakuta kuna MD's wa kutosha na wameiomba hiyo kazi kwa unyenyekevu wa hali ya juu hiyo ajira.
Punguzeni mbwembwe na mashauzi mtaani na uongo usio na ukweli kutudanganya tayari kapata nafasi na hata usaili haujafanyika
Ni connection tu.
Punguza hasira

Ameshapasi kuitwa kwenye usaili.
Kama huna connection wala D mbili huwezi elewa post yangu inahusu nini ninachomaanisha.

Au unadhani ule usaili wa TRA hakuna wahusika ila wanaita wengi ili kupoteza ushahidi?
Kaa hivyo hivyo na nadharia yako hii
 
Acha uzwazwa wewe keyboard warrior.....

Unashindwa kuandamana... utaweza hayo wewe mla mk0kaa?!!

Sakala wewe
Una dalili zote za kisoger... Napenda sana watu km wewe... Karibu uje na polisi mmoja.
 
ccp sio veta mkuu, asipoteze muda kuja kutumikia makafiri Bora ata and jeshi la wokovu
Hiyo kozi hawajifuzi ukakamavu pekee, usiwe biased for political reasons/ideology, kama yupo chuo acha amalize kozi, ni muhimi kwa CV yake hata kama hatalitumikia jeshi la polisi unalolichukia
 
Hebu lete vyeti vya polisi mwenyew dvs 2 hapa!!.
By that time wajinga na waliofeli na mijtu yenye ufinyu wa fikra ndio walikuwa wanapelekwa hizo course!. Kazi ya polisi ni ya watu wasio na akili tu.... Umeona wenye akili kina PETER MADELEKA waliukataa. Yaani mtu na akili zako unaweza kulazimishwa kua mtu asiye na hatia ukakubali tu kisa mshahara wa 300k per month?.
Amefaulu lini kwenda Polisi wakati ndiyo kwanza majina yametoka ya watu kuitwa kwenye usaili?
Nani alikwambia kwamba bila mwanao Jeshi la Polisi litakufa ama litapoteza ufanisi ikiwa falsafa ya Jeshi ni kuwa hakuna mtu muhimu jeshini?
Tena unaleta mbwembwe wakati mwanao mwenyewe ni kidato cha nne hana hata ujuzi wowote ule wa kulisaidia Jeshi au ametokea ukoo wa vilaza kiasi kwamba kupata hiyo Division two inayokaribiana na three ndiyo anaonekana msomi wa ukoo hadi kuliringishia Jeshi eti unamtoa mwanao?
Hebu angalia orodha ya walioitwa kwenye usaili graduates walivyojaa kwenye mkeka tena unakuta kuna MD's wa kutosha na wameiomba hiyo kazi kwa unyenyekevu wa hali ya juu hiyo ajira.
Punguzeni mbwembwe na mashauzi mtaani na uongo usio na ukweli kutudanganya tayari kapata nafasi na hata usaili haujafanyika
 
JF ina vitu vya ajabu sana, hata wanaosahau thread zao wanaanzisha uzi kama si wao.
 
Hiyo kozi hawajifuzi ukakamavu pekee, usiwe biased for political reasons/ideology, kama yupo chuo acha amalize kozi, ni muhimi kwa CV yake hata kama hatalitumikia jeshi la polisi unalolichukia
Ccp wanafundishwa uti kwa mambo ya kipumbavu.
 
Ni mtoto wangu,
Nimeingia labour mimi,
Nime-mnya mimi,
Na mimi ndio mama yake mzazi,
Huna nasaba yoyote kwa mtoto wangu na maisha yake kwa ujumla tangu hapa mpaka milele

Mitandao isikufanye kuropoka kila ufikiricho kichwani.
Ukipangia wewe wanao, inatosha.

Usinipangie maisha aisee.
Kwanza naomba usiendelee kunieleza ujinga wako hapa.
Pumbavu wewe.
Kama nimeipenda hivi
 
Kuna namna mapolisi wana ushujaa wa kupambania uhai wa raia kwa kuweka uhai wao rehani kwenye matukio ya kigaidi. Hakuna jukwaa linalotambua juhudi zao. Zaidi mabaya yao tu. Mwanao hakuchagua ubaya alichagua ushujaa. Na ndo hivo yaani kama mume tu unasemwa vibaya na mkeo lakini anajua umuhimu wako.
Hili jeshi huoni umuhimu wake mpaka panya road wakuweke mtu kati.
Hili jeshi huoni umuhimu wake mpaka upewe kilema cha maisha na majambazi, wezi wa mifugo n.k
Hili jeshi huoni umuhimu wake mpaka pale club x wapige mziki wenye disturbance watu mshindwe kulala.
Hili jeshi huoni umuhimu wake mpaka uone ajali kubwa. Hapa kwemy ajali fatalities zikitokea wao ndo wanabeba miili ya ndugu zenu.
Hawa jamaa ni kama kunguni tu yaani hata wakija kufanya usafi kweny hospital bado kuna mtu atasema nawachukia. Yaaani hataki kukubali jema moja la kunguni hawa.

Ukiwa kama kada wa chama ni wazi unajua madudu ya vyama vyenu vya siasa yanazaa kadhia isiyovumilika kwa wananchi na kusababisha maandamano na machafuko. Guess what?? Ni hawa kunguni ndo wanalazimika kuja kuhakikisha kuna amani ili masoko yafunguliwe huyo machinga auze.

Nimalize kwa kusema ukimtoa kijana CCP, umemtoa shujaaa vitani, shujaa wa alama 19(za kawaida sana hakukua na haja ya kuzitaja). Pengine angekua chachu ya maboresho na mabadiliko ya jeshi. Kusingekua na mifumo ya hovyo ambayo haiundwi wala haiboreshwi na jeshi la polisi. Huu ubaya kuna taaasisi ilitakiwa waubebe OVER.
Nimeipenda hii
 
Yaaani hata waalimu wanawazidi kipato na uwezo wa kucompare with environment.
Ndo maana walio kule wengi wao ni wenye D2 Hakuhitaji akili nyingi saaana kuwa kule zaidi ya kuwa mjinga wa kiwango cha lami🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acha uzushi we jamaa kwamba polisi anazidiwa maslahi na walimu UONGO MTUPU.
 
Back
Top Bottom