Kwa dhambi hii ya kuiacha katiba mbovu inayomfanya Rais kuwa "Mungu Mtu", Nyerere hapaswi kuwa Mtakatifu

Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa mamlaka ya kidikiteita akaiacha hivyo hivyo.

Sasa wamekuja madikiteita marais waliopita na kuitumia kutesa, kuibia watanzania/ Watanganyika/kuuza rasilimali zao , kuteka, kuua, kupoteza watu , kupora watu ardhi zao etc etc
SASA TAGANYIKA INAUZWA KAMA NJUGU SOKONI, WAMASAI WANATESWA ETC ETC KWA VILE KATIBA HII ALIYOIACHA NYERERE
Kweli kabisa
 
Unataka kusema yeye Nyerere alishindwa kubadili ?
Jibu ndilo hilo.Alishindwa.Sasa tukianza kujiuliza alishindwaje napo tutapata majibu mengi.Labda aliamua tu au hakupenda,yote majibu.Kutupa lawama kwa mtu asiyekuwepo sioni kama ni msaada kwetu zaidi ya kutukumbusha tu kwamba hakuonesha jitihada za kutupatia iliyo mpya na nzuri kwa wakati wetu.
 
Uko sahihi, tumlaumu kuweka historia sawa. History should be written not forgotten! Tunajifunza kutokana na historia/yaliyopita.
 
Sasa kwa hapo tunaangalia jambo moja.Tatizo ni CCM na watu wake hawataki tupate katiba mpya.
Ipo siku watu wataamua, na nguvu ya Umma ipo
Kuna tatizo moja tu labda hata Rais anapoapishwa huwa anaambiwa ya katiba acha kabisa au achia uRaisi

Huwa nawaza sana, kwanini wanakataa kubadili vipengele na kwenda na wakati
Mwingine alisema Katiba kwa sasa sio kipaumbele
Tumesikia wakilikwepa kila mihula
 
Nyerere hakuwa kiongozi mzuri kwa sababu alijua kabisa katoba ni mbovu na hakufanya juhudi yoyote kuibadilisha.
Pia huyu Nyerere alijua huu muungano hauna ridhaa ya wananchi lakini bado alutetea hadi kufa
 
9

Retired .

Narudia tena, wasomi wetu nyinyi ni wajinga sana, yaweza kuwa mlipokuwa mkisoma, mama yangu ulikuwa ukimtangulia nafasi ya uelewa, hiyo haikufanyi uonekane unaakili

Narudia kusema...! Katiba ya kipindi cha kina Nyerere, iliwafaa sana wao na iliwafanya waijenge nchi vizuri na kutuweka tuwe na umoja na tunajivunia wao,

Kwa mahitaji ya sasa na jinsi dunia na kizazi kinachobadirikabadirika, kinahitaji katiba hiyo unayoisema wewe

Sasa, kwa akili yako unataka Nyerere atoke huko aliko aje kushughurikia katiba yenu mliopo sasa

Na huu ndio ujinga uliowajaa wengi mfano wenu
We are making the history right! it is not an issue of Nyerere kurudi. Hitler historia yake imewekwa sawa, it is not the issue of Hitler comming back!

I guess umezaliwa wakati wa CCM! mtu wa CCM utamjua tu. Hakuna mahali ambapo binadamu alitakiwa kuwa "Mungu Mtu" Ni dhambi kubwa na waliotangulia walimkosoa Nyerere kwa kuwa Mungu mtu! Concept hii ya katiba kumpa UMungu mtu Rais haikuanza leo. Kilichobadirika ni kuwa sasa watu wengi wanasema wazi kuwa Nyerere alitenda dhambi hiyo! umejazwa propaganda za CCM and I am sorry you can not reason beyond CCM propaganda!.
 
You may have an argument, but as you have answered here, you have made your argument weak and it is not known what exactly your argument is!

If the point is to blame Nyerere for failing to write a new constitution, we can talk about that, however, let me just remind you that, if Nyerere were to change the constitution and write a new one, it would still not be appropriate for these times, it would need to be revised again so that it is in line with this generation of yours with excessive fear!

Na hizo unazoziita nimejazwa propoganda na Masisimu, hii ni kwa sababu tu umejiwekeamoyoni mwako kwamba, kila anayekupinga, kwako wewe unamuona ni ccm,

Achana na mazoea hayo kijana! Jitokezeni peupe pe tuidai katiba na siyo kujifichia kwenye madhaifu ya waliowatangulia,

Waliowatangulia, wamesgafanya kazi yao na hawapo, hatuwezi kukaa hapo tena, tunalimbikiza sana matatizo kwa kuruhusu tukae mahali ambapo tulipashwa tutembee
 
Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa mamlaka ya kidikiteita akaiacha hivyo hivyo.

Sasa wamekuja madikiteita marais waliopita na kuitumia kutesa, kuibia watanzania/ Watanganyika/kuuza rasilimali zao , kuteka, kuua, kupoteza watu , kupora watu ardhi zao etc etc

SASA TAGANYIKA INAUZWA KAMA NJUGU SOKONI, WAMASAI WANATESWA ETC ETC KWA VILE KATIBA HII ALIYOIACHA NYERERE
Nyerere alikuwa mjanja kuzidi ule muda halisi aliyoishi. Wapo wanaodai kuwa alikuwa na TV nyumbani kwake hivyo aliyoyasema aliyaona siku moja kabla huko kwingineko, wanasema haya katika kuutia doa wasifu wake.

Lakini ukweli ni kwamba alijaaliwa uwezo wa kusikiliza hoja za wengine haswa katika muda ule ambao waasisi wenzake wa mataifa mengine ya afrika walikuwa wakiua sauti zote zilizopinga uwepo wa demokrasia, wakati huo yeye anasema kuwa mawazo hayapigwi virungu!.

Wamasai kuteswa ni habari za kichochezi zenye uhusiano na siasa za harakati za mitandaoni, walipelekwa eneo zuri tu kule Handeni na lengo la kufanya hivyo linajulikana kidunia.
 
You may have an argument, but as you have answered here, you have made your argument weak and it is not known what exactly your argument is!

If the point is to blame Nyerere for failing to write a new constitution, we can talk about that, however, let me just remind you that, if Nyerere were to change the constitution and write a new one, it would still not be appropriate for these times, it would need to be revised again so that it is in line with this generation of yours with excessive fear!

Na hizo unazoziita nimejazwa propoganda na Masisimu, hii ni kwa sababu tu umejiwekeamoyoni mwako kwamba, kila anayekupinga, kwako wewe unamuona ni ccm,

Achana na mazoea hayo kijana! Jitokezeni peupe pe tuidai katiba na siyo kujifichia kwenye madhaifu ya waliowatangulia,

Waliowatangulia, wamesgafanya kazi yao na hawapo, hatuwezi kukaa hapo tena, tunalimbikiza sana matatizo kwa kuruhusu tukae mahali ambapo tulipashwa tutembee
Wengi wanaomlaumu Nyerere kwa maamuzi aliyoyafanya miaka 50 au 60 iliyopita hawana mawazo mbadala ya wao wangefanya nini iwapo wangekuwa wamevivaa viatu vyake kwa wakati ule.

Wanakosoa kilichofanyika wakati ule Nyerere akiongoza Tanzania yenye watu milion 10 wakati wao wanaishi kwenye nchi yenye watu milioni 63.

Easier said than done.
 
Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa mamlaka ya kidikiteita akaiacha hivyo hivyo.

Sasa wamekuja madikiteita marais waliopita na kuitumia kutesa, kuibia watanzania/ Watanganyika/kuuza rasilimali zao , kuteka, kuua, kupoteza watu , kupora watu ardhi zao etc etc

SASA TAGANYIKA INAUZWA KAMA NJUGU SOKONI, WAMASAI WANATESWA ETC ETC KWA VILE KATIBA HII ALIYOIACHA NYERERE
Kabisa!
 
Sasa kwa hapo tunaangalia jambo moja.Tatizo ni CCM na watu wake hawataki tupate katiba mpya.
Suala hapa siyo Katiba mpya, inaweza ikawa mpya lakini bado ikawa ya hovyo, ndiyo maana hata ule mchakato wa Katiba mpya ulikwama baada ya Watawala kuona itawabana na kuamua kuikacha Rasimu ya Katiba ya Walioba.
 
Lakini,alilitambua hilo na kulisema waziwazi.Akaenda mbele na kuasa yachukuliwe yaliyo mema na mabaya yaachwe.Changamoto imekuwa kwa wapokeaji.
Kwanini hakuifanyia reforms wakati akiwa Rais tena kwa muda mrefu kabisa?

Ni kwamba katiba ilikuwa inamnufaisha na kweli aliitumia vibaya dhidi ya wananchi ndiyo maana hakuina umuhimu wa kuibadilisha.

Hawezi kuwa mtakatifu ana madhaifu mengi kuliko mazuri na aliyatenda makusudi.
 
Kuhusu utakatifu hilo ni lake na Mungu wake.INa,kila nikiangalia amri za Mungu kuhusu katiba kutokuibadili hakufanya dhambi.Vilevile nimeenda mbali na kuona kumbe hata Mungu hajatukaza kujipatia katiba mpya kama nchi.Uamuzi ni wetu tuliobaki.
 
Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa mamlaka ya kidikiteita akaiacha hivyo hivyo.

Sasa wamekuja madikiteita marais waliopita na kuitumia kutesa, kuibia watanzania/ Watanganyika/kuuza rasilimali zao , kuteka, kuua, kupoteza watu , kupora watu ardhi zao etc etc

SASA TAGANYIKA INAUZWA KAMA NJUGU SOKONI, WAMASAI WANATESWA ETC ETC KWA VILE KATIBA HII ALIYOIACHA NYERERE
Nyerere namkubali kwa jambo moja tu nalo ni kutokuwa na tamaa na mali za umma mengine yote simkubali
 
Hilo alilifuzu kwa asilimia 1,000,000,000,000. Alikuwa anajali sana ustawi wa watu wake, lkn hili la katiba kuiacha wakati akijua ni mauti yajayo, alikosea sana.
 
ndiyo maana ya maandamano kutumia nguvu ya umma, ingawa kwa tanzania might take some time.
 
Back
Top Bottom