KWA BIASHARA YA TIPPER TRUCKS (KUBEBA MCHANGA NA VIFUSI , KATI YA FAW NA HOWO IPI NI GARI BORA KWA MFANYABIASHARA MPYA ANAYETAKA KUANZA HIYO BIASHARA

hotstoryg

Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
18
Reaction score
13
Habari wadau? Naomba ushauri kwa wale wenye ufahamu n uzoefu wa hii biashara ya ma-tipper kati ya Howo na Faw zote zikiwa mpya 0km ni ipi bora kuanza nayo kwa mfanyabiashara mpya na ipi pia ukitaka kuuza baada ya kuitumia kwa mwaka mmoja au miwili inakuwa na demand kubwa toka kwa wanunuzi?
 
FAW brand ya zamani na bodi zake ni cbm zaidi ya 16
 
FAW brand ya zamani na bodi zake ni cbm zaidi ya 16
FAW ya Zaman anapata wapi.

Ila sehemu zake za kufanyia Kazi ndio ataamua yeye kama mazingira magumu Basi Chombo Ni howo Ila kama ni easy game basi achukuwe FAW Tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…