Kwa bajeti ya milioni 28, nje ya Rav4 kuna gari gani nyingine SUV imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida?

Kwa bajeti ya milioni 28, nje ya Rav4 kuna gari gani nyingine SUV imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida?

kwa bajeti ya milioni 28 nje ya rav 4 kuna gari gani nyingine ya juu imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida ?
Chukua nissan xtrail t30 ukizingatia service zake parts original ina dumu me bro wangu anayi mwaka wa sita sasa bado iko njema wasikutishe ooh sijuhi zingine pasua kichwa hapana
 
kwa bajeti ya milioni 28 nje ya rav 4 kuna gari gani nyingine ya juu imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida ?
1. Toyota Hilux / Surf
2. Mitsubishi Outlander
3. Subaru Forester

Hizo ni chache kati ya nyingi unazoweza kumiliki. Karibu kwa Muongozo elimu na ushauri zaidi kabla ya kufikia uamuzi wa kununua / kuagiza
KARIBU OFISINI KWETU
TUPO ARUSHA KALOLENI KWENYE JENGO LA CONDO HOTEL LILILOPO MKABALA NA SHALOM CHURCH

OFFICE NUMBER 016 GROUND FLOOR

☎️ : +255797113153
 
Attachments

  • IMG-20260120-WA0284(1).jpg
    IMG-20260120-WA0284(1).jpg
    95.2 KB · Views: 13
Back
Top Bottom