Kama huo uchumi ulikuwa unakua kwa huku kung'oa roho za vijana wetu kwa viroba, basi ufe na utokomee kabisa!
Kutokana na agizo la serikali lililopiga marufuku uzwaji wa viroba hapa nchini Kiwanda cha TDL maarufu kama Kiwanda cha Konyagi kimeanza kufunga virago na kupunguza wafanyakazi, baada ya kuona wanapata hasara kubwa kwani wanazalisha lakini hawana Soko.
Wakizungumza baadhi ya viongozi wakubwa kiwanda hapo walisema kiwanda hicho kilikuwa kimesha uza mashine za kuzalisha Konyagi ya chupa na kuagiza mitambo ya kuzalisha viroba.
Jambo hilo limefanya waanze kupunguza wafanyakazi na kudai wataendelea kupunguza kwani mtambo mmoja wa kuzalishia Konyagi unaendesha na watu watatu tu kwahiyo wafanyakazi wengine wote waanze kutafuta sehemu ya kwenda.
Heeee hivi ametimiza ahadi yake ya kwenda kuuuza gongo?Toba . mzee wa upako habari hii anayo
Broo mahari ya konyagi ...au nimeelewa vibayaNimekuta mahari konyagi kubwa inafunguliwa wanapima kipimo kinachoendana na hera yako halafu inafungwa kusubiri mteja mwingine
the main issue here is why the young people are the major consumers of viroba?
Mimi ninaona ni kwasababu vijana hawana shughuli zinazoipa chenga akili yao, hii inatokana na boredom.Bibie, young ones walipata kirahisi kutokana na uholela. Viliuzwa hadi viduka vya mangi. Imagine na mamlaka zikawa zinafumba tu macho. Na kanuni na sheria za pombe zinajulikana.
Mbona enzi za Totapak haikua hivi?
Waondoke tu kwa kweli wametuongezea mazebe wengi sana nchiniKutokana na agizo la serikali lililopiga marufuku uzwaji wa viroba hapa nchini Kiwanda cha TDL maarufu kama Kiwanda cha Konyagi kimeanza kufunga virago na kupunguza wafanyakazi, baada ya kuona wanapata hasara kubwa kwani wanazalisha lakini hawana Soko.
Wakizungumza baadhi ya viongozi wakubwa kiwanda hapo walisema kiwanda hicho kilikuwa kimesha uza mashine za kuzalisha Konyagi ya chupa na kuagiza mitambo ya kuzalisha viroba.
Jambo hilo limefanya waanze kupunguza wafanyakazi na kudai wataendelea kupunguza kwani mtambo mmoja wa kuzalishia Konyagi unaendesha na watu watatu tu kwahiyo wafanyakazi wengine wote waanze kutafuta sehemu ya kwenda.
Mimi ninaona ni kwasababu vijana hawana shughuli zinazoipa chenga akili yao, hii inatokana na boredom.
Tufike sehemu tujielewe vijana, hapa unaona ni bora vijana wafe na nguvu kazi ya taifa liishe kwa issue ya kiwanda. Ningekuwa rais hawa ningewatimua haraka sana. Ifike sehemu maslahi ya taifa liwekwe mbele, kiwanda chake kinatusaidia nini sisi kama wateja wake ambao ni nguvu kazi ya taifa wanakufa kwa viroba. Serikali fungeni viwanda vyote vinavyizalisha haya madude kisha mje kwenye viwanda vya mifuko ya plastiki. Mabadiliko lazima yaje na maumivu.hahaha bado kweli halafu maisha yakitushinda tunaenda magogoni akatupe chakula kila mahali watu wanapunguzwa na serikali haiajiri ................... hili ni bomu kaka wa bashite anajiundia mwenyewe hakuna viwanda hakuna ajira hakuna pesa kuna siku tutamdai kama tunavyomdai daudi basshite vyeti nayeye aende sa ni hatari sana kampuni yetu iliyodumu tangu mwaka 56inaelekea omega na ina wafanyakazi zaidi ya 400 tz nzima hatari hatari hatari
Viwanda 27 vya mifuko ya kijamii vinakuja ajira watu 1000000 na vingine vingi vinajengwa na kufufuliwa. Kiwanda cha konyagi kilianza na pombe za chupa baadae vikaja viroba vidogo havikupata soko wakasimamisha wakaendelea na chupa kisha wakaanzisha viroba vikubwa kidogo vikapata soko la landslide lkn za chupa ziliendelea kuzalishwa. Sasa kama hawataki kuimarisha pombe za chupa badala ya viroba waende tu. Afya na nguvu kazi ya vijana kwanza.hahaha bado kweli halafu maisha yakitushinda tunaenda magogoni akatupe chakula kila mahali watu wanapunguzwa na serikali haiajiri ................... hili ni bomu kaka wa bashite anajiundia mwenyewe hakuna viwanda hakuna ajira hakuna pesa kuna siku tutamdai kama tunavyomdai daudi basshite vyeti nayeye aende sa ni hatari sana kampuni yetu iliyodumu tangu mwaka 56inaelekea omega na ina wafanyakazi zaidi ya 400 tz nzima hatari hatari hatari
Uchumi ulikuzwa kwa kiasi gani na viroba? Na utapungua kwa kiasi gani? Je huo uliopungua utalingana na afya na nguvu kazi ya vijana inayoathiriwa na viroba? Watanzania wangapi wana vitambulisho vya kuonyesha kabla ya kuuziwa viroba? Think twice.Viroba vilisaidia kukuza uchumi, kama tatizo ni vijana kuharibika kwanini vijana hawa wasipewe somo juu ya madhara ya pombe na kuhakikisha mnunuaji ana kitambulisho awe na umri Zaidi ya miaka 21 au zaidi?