Ndio hivyoKwani wamezuiliwa wasizalishe au kinachotakiwa ni kubadilisha vifungashio visiwe vile vi ji plastic?
Ni ukweli mtupu. Nifikishie salamu pia kuhusu sigara. Kwanini hawaziongelei wakati zina madhara makubwa tena ya mmoja kwa mojaHiyo ni kutaka kulazimisha waendelee kuuza Viroba ili vijana na taifa la kesho liangamie...haiwezekani lazima watanzania Fujifunze kutofautisha biashara na afya za vijana wetu. Kwa hili waondoke tu!
wala haijaleta matetemeko kafanyeni kazi na ndo hizii tunazidi kufukuza yehova baba uingeilie kati in gwajimaz voiceSerikali haina shamba
Tunaua uchumi kwa kunywa virobaTunaua uchumi wetu kwa makusudi kabisa
Uko sahihi kabisa, ukuaji wa uchumi unatokana na kuongezeka kwa tija katika uzalishaji. Suala hapa ni, tunazalisha nini na kwa namna gani na pia tunamlenga nani!?Kasi ya ukuaji uchumi ni inatokana na increase in production, na viwanda ndo wahusika wakuu kwenye hilo.Sasa vikianza kufungwa mnategemea nini!
Halafu hii excuse ya kusema viroba ndo vinaua nguvu kazi ya taifa, siafikiani nayo kabisa.
Viroba ni pombe, kama ndo hivyo basi watunge sheria ili kunywa na kutengeneza pombe ya aina yoyote ile iwe illegal.
wala haijaleta matetemeko ..................Serikali haina shamba
Viroba ni sumu,viroba vinaharibu nguvu kazi viroba havipashwi kuchekewa tuache siasa ktk mambo ya msingi.Kutokana na agizo la serikali lililopiga marufuku uzwaji wa viroba hapa nchini Kiwanda cha TDL maarufu kama Kiwanda cha Konyagi kimeanza kufunga virago na kupunguza wafanyakazi, baada ya kuona wanapata hasara kubwa kwani wanazalisha lakini hawana Soko.
Wakizungumza baadhi ya viongozi wakubwa kiwanda hapo walisema kiwanda hicho kilikuwa kimesha uza mashine za kuzalisha Konyagi ya chupa na kuagiza mitambo ya kuzalisha viroba.
Jambo hilo limefanya waanze kupunguza wafanyakazi na kudai wataendelea kupunguza kwani mtambo mmoja wa kuzalishia Konyagi unaendesha na watu watatu tu kwahiyo wafanyakazi wengine wote waanze kutafuta sehemu ya kwenda.
Wewe ndio umeandika hapa kweli... Nooo bhn utakua umeandikiwaViroba vilisaidia kukuza uchumi, kama tatizo ni vijana kuharibika kwanini vijana hawa wasipewe somo juu ya madhara ya pombe na kuhakikisha mnunuaji ana kitambulisho awe na umri Zaidi ya miaka 21 au zaidi?
We noma, avatar yko mkuumuda si mrefu bar zitageuka makanisa na misikiti
Hiyo ni kutaka kulazimisha waendelee kuuza Viroba ili vijana na taifa la kesho liangamie...haiwezekani lazima watanzania Fujifunze kutofautisha biashara na afya za vijana wetu. Kwa hili waondoke tu!
Afya za watanzania na ajira nini bora?Arachuga wataathirika sana huko kwa kukosa hii kituhahaha bado kweli halafu maisha yakitushinda tunaenda magogoni akatupe chakula kila mahali watu wanapunguzwa na serikali haiajiri ................... hili ni bomu kaka wa bashite anajiundia mwenyewe hakuna viwanda hakuna ajira hakuna pesa kuna siku tutamdai kama tunavyomdai daudi basshite vyeti nayeye aende sa ni hatari sana kampuni yetu iliyodumu tangu mwaka 56inaelekea omega na ina wafanyakazi zaidi ya 400 tz nzima hatari hatari hatari