Puppy
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 2,995
- 2,540
Hao vijana mbona hukuwahi kuwapigania awali?Kama huo uchumi ulikuwa unakua kwa huku kung'oa roho za vijana wetu kwa viroba, basi ufe na utokomee kabisa!
Iweje leo uwe na uchungu nao hivyo?
Hao vijana mbona hukuwahi kuwapigania awali?Kama huo uchumi ulikuwa unakua kwa huku kung'oa roho za vijana wetu kwa viroba, basi ufe na utokomee kabisa!
Michael gobarchov walipokuja kushituka tayari urusi ilishasamabaratika!!Tunaua uchumi wetu kwa makusudi kabisa
Sijui hiyo awali ni wakati upi haswa ila jambo hili limekuwa linipigiwa kelele na wadau wengi kila pembe ya nchi kwa muda mrefu sasa.Hao vijana mbona hukuwahi kuwapigania awali?
Iweje leo uwe na uchungu nao hivyo?
Kwa hiyo konyagi ya viroba inaathiri afya ila konyagi ya chupa haiathiri?Hiyo ni kutaka kulazimisha waendelee kuuza Viroba ili vijana na taifa la kesho liangamie...haiwezekani lazima watanzania Fujifunze kutofautisha biashara na afya za vijana wetu. Kwa hili waondoke tu!
[emoji87]muda si mrefu bar zitageuka makanisa na misikiti
Bahati mbaya serikali haikukusudia kumfanya Mwananchi asinywe pombe hiyo bali imechukizwa Na vifungashio vyake(nylon)Hiyo ni kutaka kulazimisha waendelee kuuza Viroba ili vijana na taifa la kesho liangamie...haiwezekani lazima watanzania Fujifunze kutofautisha biashara na afya za vijana wetu. Kwa hili waondoke tu!
Ivi nyie mnaosema kuharibu nguvu kazi, kwani serikali imezuia viroba sababu ya afya za watu?.boraaaa hata maana si kwa kutuharibia nguvu kazi ya vijana kwa kiasi hiki
Trust me kiroba hakina madhara kama johnwoker au Jack DViroba vilisaidia kukuza uchumi, kama tatizo ni vijana kuharibika kwanini vijana hawa wasipewe somo juu ya madhara ya pombe na kuhakikisha mnunuaji ana kitambulisho awe na umri Zaidi ya miaka 21 au zaidi?
Bapa linafunguliwa km una buku unapimiwa linafungwa kusubiri wengine nao biashara iendeleeBroo mahari ya konyagi ...au nimeelewa vibaya
utakuwa haufikiri vizuri kama unadhani kuzuia viromba umeokoa vijana unapotokaViroba vimezuiliwa kwa sab nyingi mojawapo ikiwa uharibifu wa mazingira. Athari ya sigara sio kubwa kama ya viroba. Kama serikali inakurupuka kuokoa vijana kiafya na madhara mengine wacha ikurupuke tu kwani kuna faida.
Kwahiyo tatizo lako ni kutofungia viroba pale uliposhauri kwahiyo kufungia sasa ni kosa. Very funny.
Hiyo ni kutaka kulazimisha waendelee kuuza Viroba ili vijana na taifa la kesho liangamie..
Chief vipi kuhusu sigara unaonaje tukifunga kiwanda.. Maana nayo inamaliza sana nguvu kazi yetu..Kama huo uchumi ulikuwa unakua kwa huku kung'oa roho za vijana wetu kwa viroba, basi ufe na utokomee kabisa!
Chief vipi kuhusu sigara unaonaje tukifunga kiwanda.. Maana nayo inamaliza sana nguvu kazi yetu..Kama huo uchumi ulikuwa unakua kwa huku kung'oa roho za vijana wetu kwa viroba, basi ufe na utokomee kabisa!
Nimecheka sana, lakini mzee wa upako huwa anachanganya na maji kwenye chupa ya maji huku akiwa madhabahuni na kutoa maneno ya shomboToba . mzee wa upako habari hii anayo
Hatua kwa hatua...wameanza na viroba, inshaalah watafika huko.Chief vipi kuhusu sigara unaonaje tukifunga kiwanda.. Maana nayo inamaliza sana nguvu kazi yetu..
hahah serikali iliona ndio ni uharibifu wa mazingira sikatai na mimi nimeona ina haribu nguvu kazi ya vijana sasa kuna shida gani hapo? au hatukuelewana serikali inamtazamo wake na mm huo ndio mtazamo wangu kutokana na yale ninayoyashuhudia huku mtaani kwangu.Ivi nyie mnaosema kuharibu nguvu kazi, kwani serikali imezuia viroba sababu ya afya za watu?.
Kwa taarifa yako serikali imezuia viroba sababu ya mazingira, sio nguvu kazi kama unavyosema wewe. Inasemekan plastic za viroba zilikuwa zinachafua mazingira.
Nakushangaa wewe unaejitungia sababu eti serikali imezuia viroba sababu ya kulinda nguvu kazi!!.
Na sio kwamba wamezuia uzalishaji wa viroba, bali wamezuia viroba vya plastic na sasa hivi viroba vitakuwa vinawekwa kwenye chupa.
Halafu unaposema viroba pekee ndio vinaua nguvu kazi ya taifa, Je madhara ya sigara utayaongeleaje?, aina ya pombe zingine kama bia? Mbona zenyewe hazijazuiwa kama ni suala la afya za watumiaji?.
NB: Be a critical thinker